kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tbilisi tonight: the second day of pro-EU protests. No more Russian imperialism!
[emoji328]: Business Ukraine
[emoji328]: Business Ukraine
Mkuu huwezi kutoa your very best kama unaona una options zingine ambazo unaona under the circumstances prevailing zinaweza kuwa effective.Nadhani hiyo ndiyo mindset yao.Kwanini hatuioni Tu-160 sana kwenye hili mbungi la makombora? Si ndo chuma latest na hatari zaidi kwenye ugomvi wa makombora ya masafa marefu?
a
Zimehifadhiwa kwa ajili ya NATO siku wakiaplai atiko faivKwanini hatuioni Tu-160 sana kwenye hili mbungi la makombora? Si ndo chuma latest na hatari zaidi kwenye ugomvi wa makombora ya masafa marefu?
a
Bro umeishiwa na latest au unaweka msisitizo[emoji298][emoji298]The Special Operations Center A of the Security Service burned the Russian heavy flamethrower system Solntsepiok as it was firing off another salvo.[emoji298][emoji298]
Bro huna latest au zilizokuwepo hazikuvutii???Ukraine and the United Nations will advocate for the continuation of the "Black Sea Grain Initiative" after March 18, when the deadline of the previous agreement expires, the President Zelensky said at a joint briefing with the UN Secretary General António Guterres.
[emoji328]: Twitter / United Nations
Ili ulaya ijue USA anawatumia kama tishu...wewe unaambiwa donate silaha zako alafu nunua mpya USA, kwann USA asingetoa zote kama anaipenda Ukraine? Haipendi ulaya..anapenda pesa zao..wakifilisika awatumikishe..ni vibaya sana tajiri kumtumia mwenzie kwa maslahi yake ambae hana altenative way ya kuishi..tuishi kwa ujirani mwema tuache chokochoko...USA na UK hawawezi kuishi kama jiran mwema atafilisika kushinda TZ na KEHii Vita imeyapa faida kubwa mno makampuni ya kuzalisha silaha huko Marekani.
Putin ana washauri wa hovyo sana.
Ulishawahi kuangalia aljazeela au chombo chochote kikubwa Cha habari??.., habari ileile inarudiwa kuripotiwa zaidi ya mara 10 ndani ya siku Moja tu..,na siku inayofuata habari hiyohiyo inarudiwa Tena kuripotiwa,..,kama hauwezi kupata access ya hivyo vyombo vikubwa vya habari,basi nunua hata kiredio Cha shilling elf kumi na Tano (15000) Ili ufuatilie matangazo ya mashirika makubwa ya habari kama DW.., BBC Swahili..., RFI kiswahili.., na vinginevyo vingi Ili uone vinavyofanya kazi..,Nina uhakika utakuja Tena hapa kunishukuru [emoji106][emoji106]Bro umeishiwa na latest au unaweka msisitizoView attachment 2542777
Mara zote wamekuwa wakirudiarudia habar ili kulazimisha watu waelewe na ziwakae kichwani hizo propaganda zaoUlishawahi kuangalia aljazeela au chombo chochote kikubwa Cha habari??.., habari ileile inarudiwa kuripotiwa zaidi ya mara 10 ndani ya siku Moja tu..,na siku inayofuata habari hiyohiyo inarudiwa Tena kuripotiwa,..,kama hauwezi kupata access ya hivyo vyombo vikubwa vya habari,basi nunua hata kiredio Cha shilling elf kumi na Tano (15000) Ili ufuatilie matangazo ya mashirika makubwa ya habari kama DW.., BBC Swahili..., RFI kiswahili.., na vinginevyo vingi Ili uone vinavyofanya kazi..,Nina uhakika utakuja Tena hapa kunishukuru [emoji106][emoji106]
Siyo kila kinacho rushwa na mrusi ni bomu sasa hivi mrusi anazo drone fake na mabomu fake ya kuzimaliza siraha za adui pia hizo silaha fake zina fanya kazi ya kusoma vituo vya mashambulizi vya ukrain mara tu zinapo shambuliwa na kutuma taarifa makao makuu ya urussiLeo tumepigwa mvua ya mabomu
Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Kyiv - Ukraine Interactive map - Ukraine Latest news on live map - liveuamap.com https://t.co/j18pq33ARv
Mrusi mshenzi sana baada ya kuona yanatunguliwa sana leo kayapitisha moldova
Nakuelewa sana ila sio kirat yule sijui panya hawagi mkweliLeo tumepigwa mvua ya mabomu
Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Kyiv - Ukraine Interactive map - Ukraine Latest news on live map - liveuamap.com https://t.co/j18pq33ARv
Mrusi mshenzi sana baada ya kuona yanatunguliwa sana leo kayapitisha moldova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zimehifadhiwa kwa ajili ya NATO siku wakiaplai atiko faiv
Kwamba we hapo unajua kuliko Jeshi la Ukraine?Siyo kila kinacho rushwa na mrusi ni bomu sasa hivi mrusi anazo drone fake na mabomu fake ya kuzimaliza siraha za adui pia hizo silaha fake zina fanya kazi ya kusoma vituo vya mashambulizi vya ukrain mara tu zinapo shambuliwa na kutuma taarifa makao makuu ya urussi