Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba kumbe meza ndogo anayo ila zele akijichanganya atakutana na meza ya futi 50.
FrRFN8sXoAAQ4Ka.jpg
 
Balozi wa Russia nchini marekani awapasha wamaerkani kuwa kuanzia Sasa mtu yoyote atakayechezea kwenye maji yake ataipata fresh.
⚡Russian Ambassador Antonov told the American side that the Russian Federation "will no longer allow anyone to break into its waters"💪

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Hiyo Russia nilikua naiogopa sana, ila kwa hiki wamefanyiwa na kainchi kadogo hapo, nimewaona wa hovyo sana, mnapaswa mhamie kwa Kim Korea.
Kainchi kadogo hizo Himars zinatoka Ukraine? 🤣 Tumia akili hata kidogo.
Kitendo cha NATO kumjaza silaha Ukraine ni kushiriki moja kwa moja kupigana na urusi.

Hata wewe ukigombana na ndugu yako namimi nikaja kumpa silaha za kukuumiza zaidi huwezi kusema ati unapigana na ndugu yako pekeako bali utakuwa unapigana na sisi wote.
 
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
Kwahiyo Iraq na Afghanistan walikuwa na tishio kiuchumi kwa US??
 

Syria's Assad offers Putin support​

Russia's President Vladimir Putin (R) shakes hands with his Syrian counterpart Bashar al-Assad during a meeting in Sochi on November 20, 2017.

Russia's President Vladimir Putin (R) shakes hands with his Syrian counterpart Bashar al-Assad during a meeting in Sochi on November 20, 2017.

Syrian President Bashar al-Assad offered Russian President Vladimir Putin his support in the conflict in Ukraine.

In a televised meeting with Putin in the Kremlin, Assad said Russia was fighting neo-Nazis and "old Nazis" in Ukraine, according to a Russian translation.

Without offering evidence, Assad said the West had taken in "old Nazis", and was now giving them support.

Kyiv and the West say Russian accusations that Ukraine has become a hotbed of Nazism and "Russophobia" are a baseless pretext for an unprovoked war of aggression in Ukraine.

Russia's military support for Assad helped him to turn the tide in a ruinous civil war that began in 2011 as a pro-democracy movement.

=========================

Ni vyema Assad naye apeleke jeshi huko Bakhmut kuongeza nguvu.
 
Hiyo ya kudump oil ni kitu cha kawaida,hata hizi ndege za abiria Zina option hiyo iwapo hitilafu ikitokea!Kuna ndege Moja hivi ya abairi(nimeisahau jina) ilikufa ingine zote mbili!Ili ndege isiwe nzito na waweze kufika nearest airport,ilibidi wamwage mafuta yote kutoka kwenye mbawa ambazo ndio Huwa zinakuwa na tanks za kubeba mafuta!
So hilo jambo si geni,ila kujua lengo la kuimwagia mafuta hiyo drone,ngoja tusubiri wajuvi wa mambo!
Kama umecheki movie ya Plane, Gerald Butler, hiyo kitu ipo baada ya ndege kupata hitilafu angani Captain akaamua kuishusha kwenye kisiwa ila kabla hajaishusha akamuamuru msaidizi amwage mafuta.

Inasaidia km ndege ikitua vibaya isilipuke kwa sababu itakuwa ya moto sana. Ndege ya moto iliyo na mafuta kwenye tank ni hatari. Kwa ndege za kiraia
 
Kuna ndege za kivita zimetengenezwa kuweza kuiongezea mafuta ndege nyingine ikiwa angani inasafiri.
Nadhani ndege hiyo ilikua na uwezo huo,lakini wao wakaitumia kiifanyia utundu ndege ya Marekani.
Inatoa mrija mrefu au mpira mrefu kama mpira ulio kwenye magari ya mafuta na kwenda kujichomeka kwenye tundu la mafuta la ndege nyingine.
Bomba linalotaka kufanana na Bomba la maji la gari la zimamoto.
Hii IPO kwa baadhi ya ndege za wakubwa hawa.usa Russia ,china UK,fr,German n.k
Shukrani sana kaka kwa kunifuta Tongo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya kudump oil ni kitu cha kawaida,hata hizi ndege za abiria Zina option hiyo iwapo hitilafu ikitokea!Kuna ndege Moja hivi ya abairi(nimeisahau jina) ilikufa ingine zote mbili!Ili ndege isiwe nzito na waweze kufika nearest airport,ilibidi wamwage mafuta yote kutoka kwenye mbawa ambazo ndio Huwa zinakuwa na tanks za kubeba mafuta!
So hilo jambo si geni,ila kujua lengo la kuimwagia mafuta hiyo drone,ngoja tusubiri wajuvi wa mambo!
Shukrani sana mze [emoji120]
Nmeanza kupata uelewa tayari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo wa hii thread Pro NATO walikuwa wanashangilia sana wakati ngoma bado ilikuwa kipindi cha kwanza uwanjani.

Sasa hivi ni kipindi cha pili dakika ya 50 wamekimbia uwanjani daaah HURUMA sana.

Uuuraaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

Mbaya zaidi wanaitana na anayeitwa akisoma COMMENTS za PUTIN anakimbia utamuona jukwaa la uhusiano

(KULA TUNDA KIMASOHALA)😂😂😂😂😂
 
Mwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000

Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa hao wapya au ingizo jipya litakumuisha makundi kama wagner na chenchen brother na wengine ambao tayar wanauziefu wa kijeshi na vita pia



Kwa tz unachukua kk security wale au suma jkt unawaingiza jeshin
 
Mkuu hata commercial airlines Zinaweza kudump mafuta,hii imetokea mara nyingi hasa kwenye dharura pale engines zinapoharibika ndege ikiwa angani!
Hii inapunguza uzito wa ndege na kuifanya kwenda umbali mrefu bila engine power!
Kuna kitu kinaitwa "crash landing",hii ni kutua Kwa dharura kutokana na hitilafu kwenye ndege!
Sasa pale mapilot wanapoona Kuna hatari ya moto during "crash landing" basi wanaamua kudump mafuta!
Acha uwongo wewe mwanamgambo wa Ukraine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1087]Denmark allocates a new military aid package for Ukraine worth $140 million, Danish Ministry of Defence reported.

It will include small arms ammunition, large-calibre machine guns and missiles for air defence.

Today, the Danish government also announced the creation of a $1 billion aid fund for Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom