Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine's top military leaders are determined to face down the Russian onslaught in Bakhmut, President Voldoymyr Zelenskyy said.

He discussed Bakhmut with the military command, who told him they were unanimously in favour of defending the eastern sector that includes Bakhmut.

"There was a clear position of the entire general staff: Reinforce this sector and inflict maximum possible damage upon the occupier," Zelenskyy said in his nightly video address.

Bakhmut has been the site of months of intense fighting with Russia pushing to take control of the area in Ukraine's Donetsk province.

Although it would provide a stepping stone for Russia to advance on two bigger Donetsk cities, Kramatorsk and Sloviansk, many analysts have repeatedly said it has little strategic value.

"I think it is more of a symbolic value than it is strategic and operational value," US Defense Secretary Lloyd Austin said earlier this month.

Valerii Zaluzhnyi, the commander in chief of Ukraine's armed forces, however, disagrees.

"The defensive operation in (Bakhmut) is of paramount strategic importance to deterring the enemy. It is key for the stability of the defense of the entire front line," he said during the meeting with Zelenskyy.
======================

Bakhmut bado pagumu

Ni vyema majeshi vamizi yarudi kwao, mazungumzo ya amani yafuate ili hivi 'vita vya wazimu' vifike mwisho.
 
Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Huko kwa magharibi uliposoma na kurudi na gari hamkufundishwa jinsi ya kuandika!?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Cuba Accepts Russia’s Mir Payment System — Reports

According to a TASS reporter, several banks in the Cuban capital city of Havana have started accepting Russia’s Mir payment system cards.

ATMs now display the logo of the Russian payment system and provide an option to withdraw funds at an approximate rate of 1.5 Cuban pesos to the ruble from cards issued by Russian banks.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Sijui kama watu wamekuelewa,hata Mimi nadhani sijakuelewa.

Kwa hiyo wewe unamchukia Putin ama Urusi?

Maana umesema unaipenda Urusi,lakini umeorodhesha makosa ya Putin.

Ukatoka hapo ukaka juu ya kusoma Urusi na kurudi na cheti na mke wa kirusi,Kaa hiyo mlikua mnalazimishwa kurudi na aanawake wa kirusi au na mapenzi yenu?
Ama kueusi na mkw wa kirusi ilikua ni kosa kisheria?

Ukaja Tena ukasema Putin kaja kua Rais mara kawa PM mara Kaa Rais Tena.
Kama katiba hao inaruhusu Kuna ubaya Gani?

Hebu miambia,Benjamin netamyahu amekua PM mara ngapi?yaninameinhia na kutokaars ngapi?

Kwamba Putin aliutangazia ulimwengu kuipiga Ukraine kwa wiki moja.
Ukweli ni kwamba hakuna hata andishi moja lililomnukuu Putin akiweka muda wa kuivamia Ukraine.

Ma pia umekuja na madai kua Putin aliutangazia ulimwengu kua atakae ingilia kuisaidia Ukraine atapigwa kipogo Cha mbwa Koko,.

Sasa wewe umepaonaje hapa.
Maana Mimi nilivyoelewa nchi yoyote kuingilia ni kuingiza maj wanajeshi nahari ya delays,ndege vita na melivita kama wanazo,nadhani hakuamaanisha kutuma silaha na ndio maana hakuna hata nchi moja iliyoingilia kijeshi,kama walivyofanya Libya na Kuwait na Kosovo .

Mwisho kabisa umetutangazia kua Urusi ndio atapigwa kipogo Cha mbwa Koko,na ukasema muda ndio utatuambia.

Ukweli bado sijakuelewa hapa Urusi atapigwa kipigo hicho na Ukraine au na nani?
Kama ni Ukraine,tayari jeshi lake limesha vunjwa uwezo,na ndio mojabyablengo la Putin.
Kwa hiyo hapa Urusi haitapigwa na Ukraine ,je itapigwa na nani?
Maana hata marekani yenyewe ilishasema kupitia Biden kua hawatapeleka jeshi Ukraine.

Sasa ni nani huyo atakaempiga Urusi zaidi ya Ukraine na Marekani?

Kwa kifupi wewe mwamba umedandia treni kwa mbele.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️US Black Sea Drone Crash: CBS Graphic Shows US Version Of Events

CBS has released a graphic showing the US version of how the apparent crash of the American MQ-9 Reaper UAV drone over the Black Sea occurred, which alleges a Russian Su-27 jet poured fuel on it before a fighter "collided" with the drone and damaged its propeller.

The Russian Defense Ministry said that jets were scrambled to intercept it after the drone violated the border with its transponder turned off. Still, they didn’t fire or come into contact with the Reaper before it crashed after an unsuccessful maneuver.

The $56.5 million Reaper system reconnaissance and attack drone has a maximum speed of 440 km/h, an altitude of about 15,000 meters, and can fly for an entire day. It can use eight laser-guided and 114 Hellfire air-to-ground missiles.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Howitzers Destroy Camouflaged Ukrainian Positions — MoD Footage

Msta-S self-propelled howitzers destroy camouflaged Ukrainian positions round the clock as artillery spotters and drones ensure accuracy, changing firing positions and shelters frequently dozens of times a day.

This tactic disorients the enemy, forcing them to waste munition, disperse positions, and, most importantly, save Russian servicemen’s lives.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
BREAKING: Russia & China sinking US economy as Run on US banks deepen! Okay, remember when I reported that Russia and China were de-dollarizing & have ordered other BRICS member states to De-Dollarize as well? De-dollarizarion is the process of substituting the US dollar as the

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA

Naomba iyo video ambayo inaonesha Putin akitangaziaa umma ataipiga Ukraine kwa week moja. Kama huna sema Mimi ni kilaza Pro max.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Another Ukrainian defense line collapsed in northern Bakhmut. Wagner forces managed to secure the northern industrial quarter including the "Vostokmash" plant, where Zelensky made a speech to Ukrainian troops, in December.

Despite reinforcements by Kiev, Wagner still advances
IMG_20230315_165726.jpg
IMG_20230315_165715.jpg
 
Attachments

  • IMG_20230315_165644.jpg
    IMG_20230315_165644.jpg
    85.9 KB · Views: 17
  • IMG_20230315_165644.jpg
    IMG_20230315_165644.jpg
    85.9 KB · Views: 14
Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Porojo Zile zile Ujuaji mwiingi Kumbe Zero tu
Kawadanganye Wenzie huko Gazeti Refuuu Kumbe Full Propaganda Kifupi Kila mmoja humu Ana Akili na Anajua Dunia ilivyo Vurugwa na hao Unao waona Bora
Putin Ndio Mwarobaini wa Amani na Ustahimilivu wa Dunia kwa sasa
 
This Is Worrisome For World Peace — Nelson Wong On Former US Security Adviser’s Taiwan Claims

Former US national security adviser Robert O’Brien has said America may destroy Taiwan’s electronic chip industry if China invades.

We welcome Nelson Wong, vice chairman of the Shanghai Center for RimPac Strategic and International Studies, to discuss this claim and how it reflects Washington’s stance on Taiwan.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukraine is suffering from a shortage of skilled soldiers after over a year of war with many being killed and replaced by inexperienced conscripts
IMG_20230315_172351.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwenye issue kama hizi huwa zina projections, wewe kama unaona ni uongo tupe projections zake.
Wewe si ndiye umesema Putin aliutangazia ulikwengu kuwa ataimaliza Ukraine Kwa wiki Moja?Nimekuambia lete ushahidi unaanza kusema sijui projections!Kwahiyo tumekubaliana hiyo wiki Moja ni projections zako na Wala sio za Putin na hakutangaza popote?
Narudia,jenga hoja bila kuingiza uongo!
 
Back
Top Bottom