Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

'Execution on the Spot' - Russian Commanders Threatening to Shoot Troops for Refusing to Fight

Intercepted conversations between Russian servicemen is the first evidence of the use of barrage detachments directly from the occupiers from the front line.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi unafikiri USA wako tayari kurisk kuvitanua zaidi hivi vita? Kuna baadhi ya mambo ambayo RUSSIA anajizuia sana kuyafanya na ndio maana hii aniita SMO.Hivi juzi kuna Jenerali mmoja wa RUSSIA karudishwa nyumbani kwa sababu alitoa tamko kuwa njia sahihi ya kuimaliza hii vitu ni kuusambaratisha kabisa mji wa KIEV kama ambavyo NATO huwa wanafanya kuwa intimidate wagomvi wao kwa overwelming use of force of destruction.Lakini URUSI wanaihitaji UKRAINE ikiwa katika hali nzuri iwezekanavyo katika hali hii ya mapambano.Usisahau kuwa kuna asilimia kubwa sana ya waukraine wanamafungamano ya kindugu na Urusi.
Kumbuka PUTIN alishawaonya wenzake wa europe na NATO kwamba wasitarajie kabisa vita atakayopigana nao itakuwa kama hii SMO yake na UKRAINE.Bado kuna madude mengi ya maangamizi hekima inawakataza kuyatumia kuwapiga UKRAINE.Ndio maana kila mara UKRAINE anapopewa silaha zaidi za offensive na NATO basi warusi huwakumbusha tu zitazidi kuleta maafa zaidi kwa UKRAINE.
Kwa hali ilivyo sitarajii kabisa kuziona F16 zikipelekwa kuhadhirishwa UKRAINE.
Ngoja askari wa urusi waendelee kusagwasgwa huko battle front, kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
'Execution on the Spot' - Russian Commanders Threatening to Shoot Troops for Refusing to Fight

Intercepted conversations between Russian servicemen is the first evidence of the use of barrage detachments directly from the occupiers from the front line.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
I'd mpya hizi, zinazoibuka hivi karibuni ni za kuzitazama
Vita baina ya RUSSIA na USA ni MAD maana yake ni uhakika wa kuangamizana kabisa kila upande.Hautokuja kushuhudia USA au RUSSIA akimpiga mwenzie kombora .Forget about cost,ile muttually assurred destruction ni kizuizi tosha cha kila mmoja kumuheshimu mwenzie.Ukifuatilia maandamano yanayoendelea US hivi sasa ,moja ya malalamiko ya waandanamanaji ni hofu ya taifa lao kumpush RUSSIA to the point of no return na kuamua kutupeleka dunia nzima kwa Muumba kabla ya wakati.Achana na US pekee nusu ya arsenal ya Nuclear ya RUSSIA inatosha kuifuta dunia nzima.
Ndugu yangu sisi tuombe mungu atuvushe salama na aendelee kumpa subra bwana PUTIN dhidi ya uchokonozi anaofanyiwa na LGBTQ.
 
Na nyongeza ya swali hapa, mafuta wamespray vipi?

Kwani ipo hiyo option ya kumwaga mafuta wakati chombo kiko angani?

Au inakuaje yani, angalau wadau mtueleweshe tupate mwanga juu ya hili tukio.
Maana Rusia naona wanatufanyia mengi yasioyozoeleka kuonekana (Unexpected things).

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nadhani this should be the main key question
 
Negotiations on the extension of the Black Sea Grain Initiative are continuing at the ministerial level, with Turkey making efforts to extend the grain deal for 120 days, not for 60, as previously stated by Russia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The #UnitedStates and a coalition of countries that support #Ukraine in resisting Russia's large-scale aggression are at a crucial moment in the course of Ukraine's fight for freedom and are demonstrating unity and resolve.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The UK Supreme Court has ruled in favor of #Ukraine in a $3 billion bond loan case: the case will now go to a full trial to investigate Russian aggression.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kilichoangusha ndege sio hayo mafuta bali baada ya kuimwagia wese, moja ya ndege ya Urusi ilienda kujigusishia kwenye pangaboy za hiyo drone ndipo pangaboy za hiyo drone zikasambaratika drone ikakosa mwelekeo ikadondoka.
Drone yenyewe sio ndogo sababu inaweza kubeba mabomu 8 ya hatari. Wewe fikiria mbawa zake tu zina urefu wa futi 65
Hili sio jambo la kuamua papo kwa papo Waeusi watakiwa walifanya utafiti ni jinsi Gani ya kuiangussha hiyo drone. Haya ni mahesabu makubwa sana
 
Ndege za super pawer wa kwenye makaratasi zinazidi kupukuchuliwa [emoji28]




Ukrainian defenders shot down a Russian warplane near #Bakhmut.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]




Fighters of the Air Assault Forces of the Armed Forces of #Ukraine repelled an attempted enemy assault in Donetsk direction, destroying a Russian tank.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma Sky News wao wanadai ile drone ni ya upelelezi na moja ya features ilizo nazo za upelelezi ni camera so Su-27 ziliimwagia mafuta kwa lengo la kufubaza hizi kamera so hazingeweza kupiga picha sasa sijui lengo lilitimia au laa Su-27 ya pili ikatokea chini yake ikaigonga propeller so nadhani hili likapelekea drone kuanza kuelea tu angani operator wa drone ndo wakai crush land baharini.
Russia kwa upande wao wanadai drone ilikuwa kwenye eneo lao ambalo wana exercise no fly zone ila hawasemi kwamba wameiangusha. Ni kama wanakubali kwamba wameifanyia hizo fitna ila hawajaingusha.
Hamna kitu hapa
 
[emoji298][emoji298]
1678901308279.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipigi hicho ni majibu ya Nord Stream bombing 🤣🤣🤣!
Wameeiingiza Urusi hasara ya almost 1.2 Trillion za kitanzania katika marekebisho tu ya damage.

Wao ki drone cha $16M kama 35 Billions wanataka kuifanya big deal sio. UN wanajifanya hawaoni kama US kafanya ushenzi ku bomb Nord Stream wanambwela mbwela tu.
Kuna blog zimasema no $56M zingine $32M wewe $16M sasa sijui bei halisi ni ipi? Ila kivyvyote tunarudisha gharama za ukarabati was bomba
 
Back
Top Bottom