Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Utanielewa siku mwanao wa kiume akichumbiwa na mwanaume mwenzie hapo ndio utaelewa west ni watu wa aina ipi....LAANA WEWE kwa kuwatetea wanaupinde
ww kichwani humo kuna maharage![emoji56]
Hivi mbuzi wanao firana vingungutj wamefundishwa na west???
Usituletee mahaba humu![emoji35][emoji12]
Usifanye dhambi ya ushoga ni kubwa kuliko dhambi nyimgine!
Allah dhambi pekee Asiyo Samehe hii hapa!
[emoji116][emoji116]
إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 116 ]
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi kushirikishwa na kitu. Lakini Yeye husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.
 
Screenshot_20230315-205954_Samsung Internet.jpg
 
Yaani mkuu ulivyo andika ni kama Zelensky is an independent person from the West.No, you cannot separate the West from Zelensky,ni kitu kimoja,kwa hiyo Zelensky anacho-bwata ndicho alicho ambiwa na handlers wake the West aseme.Kumbuka kwamba this is an American-Russian war being fought in Ukraine by Ukrainian mercenaries.Europe wamekuwa dragged into the war lakini realistically haiwahusu.Europeans are so dumb.
Naona sikujieleza vizuri, lakini lengo langu lilikuwa ni hilo hilo - ie Zelensky anatumiwa ku-invent excuse za US/NATO kuingia vitani ana kwa ana na Urusi wakiwa na lengo la kuisambaratisha Urusi if possible, wapo radhi hata ku-resort kwenye matumizi ya silaha za Nuclear bila kujali retribution ya Urusi kwa USA itakuwa ya kiwango gani kama silaha za Nuclear zitatumika - kwa bahati mbaya wapo baadhi ya washauri wa kijeshi na kisiasa kwenye Biden Adminstration wenye element za kiwenda wazimu - hawajali chochote zaidi ya kumshinda Kivita Putin/Urusi kwa gharama yoyote hata kama ni kujiingiza kwenye WW3.
 
Watu wanashangilia taifa kubwa kama marekani kupoteza kadrone kamoja tu [emoji16][emoji28][emoji2][emoji23]
Kweli Kuna watu Wana uhaba wa habari njema,[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Puto tu Biden alitangaza mpka siku ya mapumziko kitaifa kusherekea je angeangusha drone huyo mzee ingekuaje?
 
Gazprom found object that looks like antenna near site of Nord Stream blasts - Putin
Hata mimi nili-suspect under water antenna kwamba ndio ilotumika ku- trigger mines zilizo blast Gas pipelines, haya mambo ya kudai eti sijui boya lililo tupwa na ndege ya Norway ndilo lilihusika ku trigger ulipuzi huo hiyo si kweli hata kidogo.
 
Kama Russia analeta askari wapya it means wale wa zamani wameshachinjwa au kutiwa vilema, just simple,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka sasa stock ya jeshi haijatumika
Anatumia migambo na wafungwa

Na hapa ndipo pamefanya nato washindwe kuvamia
Mwanzo walitarajia wanajeshi wa urus watakufa na kupungua sana na itakuwa rahis kuvamia

Hari imekuwa tofaut
 
Vyombo vya angani vinavyotumia jet fuel vyote vina option ya ku dump fuel hii iliwekwa makusudi in case of malfunctioning chombo kiweze kupunguza uzito na kutua kikiwa chepesi au kupunguza uwezekano wa mlipuko mkubwa wa chombo in case of emergency au crash landing, tukirud kwenye drone kumwagiwa mafuta kuna theory tatu za msingi ambazo zinaweza kuwa sababu
1. Walitaka chombo kilipuke ionekqne ni ajali iliyotokana na itilafu ya moto au kiungue na kufuta anya trace ya recoded data
2. Sababu ya pili inawezekana ni kujaribu ku weaken propela za chombo iwe rahisi kukidondosha
3. Inawezekana pia waliimwagia mafuta iwe rahisi kui locate ikiwa chini na wawe wakwanza kuiokota
[emoji120]Shukrani sana mkuu.
Nmeshaongeza kitu tayari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
SU-27 ingekuwa ime-intercept USA spy Drone in the Gulf of Mexico, hapa ninge elewa kwamba kumbe Warusi ni Wachokozi, sasa inakuwaje ki-drone cha USA kinasafari zaidi za 2500Km kuja kufanya upelelezi kwenye Russian air space kilikiwa kinategemea nini - kwamba kitapokelewa kwa kuzawadiwa hotdog au humberger.
 
ww kichwani humo kuna maharage![emoji56]
Hivi mbuzi wanao firana vingungutj wamefundishwa na west???
Usituletee mahaba humu![emoji35][emoji12]
Usifanye dhambi ya ushoga ni kubwa kuliko dhambi nyimgine!
Allah dhambi pekee Asiyo Samehe hii hapa!
[emoji116][emoji116]
إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 116 ]
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi kushirikishwa na kitu. Lakini Yeye husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.
Ignore button itumike tu kwa huyu mamdogo wa West.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naona sikujieleza vizuri, lakini lengo langu lilikuwa ni hilo hilo - ie Zelensky anatumiwa ku-invent excuse za US/NATO kuingia vitani ana kwa ana na Urusi wakiwa na lengo la kuisambaratisha Urusi if possible, wapo radhi hata ku-resort kwenye matumizi ya silaha za Nuclear bila kujali retribution ya Urusi kwa USA itakuwa ya kiwango gani kama silaha za Nuclear zitatumika - kwa bahati mbaya wapo baadhi ya washauri wa kijeshi na kisiasa kwenye Biden Adminstration wenye element za kiwenda wazimu - hawajali chochote zaidi ya kumshinda Kivita Putin/Urusi kwa gharama yoyote hata ile hata kama kujiingiza kwenye WW3.
Ipo chuki dhidi ya Russia iliyojengwa kwa muda mrefu sana mkuu.Hii imewafanya viongozi wa Marekani na the West in general waonekane dumb sana na hivyo kufanya decisions irrational na za kijinga sana.
 
Watu wanashangilia taifa kubwa kama marekani kupoteza kadrone kamoja tu [emoji16][emoji28][emoji2][emoji23]
Kweli Kuna watu Wana uhaba wa habari njema,[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Issue siyo gharama au uwingi wa drone....issue ni Kama ifuatavyo: drone ya Marekani imedondoshwa na aligedondosha ni Russia na Marekani hawezi kufanya kitu zaidi ya kulalamika tu
 
Mwamba Anauliza Kwani Wamesha Ipata Hiyo Drone yaoView attachment 2552859

Soldier destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, Ukrainian commander says​

From CNN's Radina Gigova and Olga Voitovych

A soldier from Ukraine's 93rd Mechanized Brigade destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, according to a commander.

The announcement comes after the head of Ukraine's President’s Office, Andriy Yermak, claimed earlier Wednesday that forces from the 93rd Mechanized Brigade also shot down a Russian military plane near Bakhmut.

Commander Oleksandr Syrskyi of the Land Forces of the Armed Forces of Ukraine said the Russian military "continues to unsuccessfully try to surround the city and advance."

"The soldiers of the 93rd Brigade, along with other defenders, are holding back the enemy's fierce pressure there. Due to their work, enemy tanks, infantry fighting vehicles, MLRS and ammunition depots are blown up," Syrskyi said in a Telegram post.


=========================
Bado mambo magumu Bakhmut
 
The MQ-9 was equipped with a VERY advanced surveillance system.

China, Russia and Iran have had problems in this area, where the US actually has a significant advantage. If Russia recovers the remains of this surveillance system it could be very interesting for "study" [emoji1009]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Issue siyo gharama au uwingi wa drone....issue ni Kama ifuatavyo: drone ya Marekani imedondoshwa na aligedondosha ni Russia na Marekani hawezi kufanya kitu zaidi ya kulalamika tu

Downed US drone "no longer" of intelligence value, US general says​

From Haley Britzky

While the US is working through recovery operations for a downed MQ-9 Reaper drone intercepted by Russian aircraft on Tuesday, Chairman of the Joint Chiefs of Staff Gen. Mark Milley said Wednesday that it is “no longer” of intelligence value.
"(I)t probably broke up, probably not a lot to recover, frankly," Milley said. "As far as the loss of anything of sensitive intelligence etc., as normal we would take — and we did take — mitigating measures. So we are quite confident that whatever was of value is no longer of value."
Milley said the US knows where the drone landed in the Black Sea, and that it is likely four to five thousand feet under the surface, which would make recovery operations "very difficult" for anyone. He said the US does not have any naval surface vessels in the Black Sea at the moment, but that "we'll work up options."
"(W)e don't have any ships there, but we do have a lot of allies and friends in the area," he added. "We’ll work through recovery operations, that's US property, and we'll leave it at that at this point."

=========================
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Marekani yatoa kauli ya Uoga[emoji1787][emoji1787]
John Kirby: America is not worried about the joint exercise of Russia, China and Iran in the Gulf of Oman.

Of course, we will certainly monitor it to make sure that there is no threat from this exercise to our national security or our allies in the region [emoji1782]
IMG_20230315_232109.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian fighter jet struck propeller of U.S. Military "Reaper" drone, forcing U.S. To bring it down over black sea - U.S. Military statement

Time to Reverse Engineer it Mr. PUTIN. [emoji1009]
IMG_20230315_232436.jpg
maxresdefault-80-768x432~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom