Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky anapambana na wapumbavu wa dunia wanaodhani uendawazimu ni kitu cha kusifiwa. Mwendawazimu kadhani anaweza kuweka vibaraka wake Kyiv aliposhindwa kazusha vita ya kipumbavu kabisa. Zelensky amekuwa ni kama daktari kwa wendawazimu waliotopea kwenye ulevi wa madaraka.
Labda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?
 
Habari ya ushoga imeambatanishwa na haki za binadamu ambayo ipo kwenye katiba yao; haki za binadamu si sera ya chama kimoja ni sera ya taifa.
Kuna mahali nimesema kwamba mambo ya ushoga ni jambo la kisheria na siyo suala la Taifa la Marekani kuunga mkono hilo jambo. Na hoja hii imetokana na kesi waliyofungua wanapigani ndoa za jinsia moja kwa msingi kwamba ni kwa nini ndoa za jinsia moja zisiruhusiwe. Woa wanahoji ni nani kasema ni lazima watu wa jinsia tofauti ndiyo waone?

Kwa ivo siyo sera ya Taifa bali ni jambo la Kisheria. Kwa ivo hata kama hutaki sheria ndiyo inataka hivyo. Kwa ivo ninachokataa ni kusema kwamba wamarekani inaunga mkono Ushoga. Najua watu wengi wanachukia mambo ya ushoga kwa mtazamo wa kwa nini mwanaume aingiliwe na mwanaume mwenzake. Lakini hata humu JF watu wanashadadia sana mambo hayo dhidi ya wanawake, Kwa nini??
 
Labda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?
Humu kwenye huu uzi nilishaweka kwa urefu historia ya huu mgogoro. Tafuta bandiko hilo utaona maelezo yangu!!
 
Humu kwenye huu uzi nilishaweka kwa urefu historia ya huu mgogoro. Tafuta bandiko hilo utaona maelezo yangu!!
Kwa sasa huu uzi uko na post zaidi ya 110,000 sio rahisi kutafuta kitu kilichokua posted miezi iliyopita.

Nikumbushe bandiko lako lilikua post namba ngapi? Au lilikua na heading inasomekaje? Au lilikua tarehe ngapi?
 
Nakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.
Tutawalaani mashoga woote pamoja na munaowasapoti
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Medvedev: Ukraine's attempt to recapture Crimea will be grounds for Russia to use any weapon, including those provided for by nuclear doctrine

#UkraineRussiaWar #Putin #Russians #NATO #China
IMG_20230325_112411.jpg
 
Jana jeshi la Ukraine lilitoa taarifa kuwa vikosi vya WARUSI vimeondoka kwenye mkoa wa Nova Kakhovka.

baada ya taarifa iyo Wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajikusanya ili wavuke mto waingie Nova kakhovka, Kumbe Warusi wanawangalia tu wanachotaka kufanya.baada ya kuwaona wamejirundika kwa wingi ndo likatumwa mwana ukome kama lile lililochimbua military banker na kisha kuondoka na viongozi wa Nato.

Baaba ya wanajeshi wengi wa Ukraine kwenda na mma jioni yake ikabidi wakane ile taarifa waliyoitoa kuwa vikosi vya Warusi vimeondoka Nova kakhovka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watapigwa mpaka wachakae hao MAGAIDI wa KIUKRAINE
 
[emoji298][emoji298] U.S. Secretary of State Antony Blinken called Russia's autocracy and full-scale aggression against Ukraine a direct and acute threat to the national interests of the United States.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tabia ya US kuwapa wenzie majina mabaya ili iwe justfiction ya yeye kuwapiga kwa vikwazo na west wenzie tushaichoka..saivi hata angewaita autocracy autopilot automanual atajua yeye na shoga zake...safari hii atajua hajui
 
Mbona kombora limepiga pembeni... Amenusurika
Amenusurika wapi? Wamepiga pemben kumshtua arudi kwenye ubinadamu, wamemuonyesha wao wanatetea haki na sio kuua..wamemchukua kama PoW....tuonyesheni za ukrain wanawahurumia wanadamu wenzao, zaidi utaskia wanachochea warusi itengwe na dunia waishi dunia yao...kwa kauli hiyo haishangazi alipokua anaua warusi waliokua wanaishi huko Donbas na kwingineko...wale walioko pale sio waukrain halisi ndio maana wana roho mbaya kama hitler.

Serikal iliyojiwekwa madarakan pale haina uzawa pale...hasa jeshi lenyewe halina uzawa wa ukrain..hivi nchi gani ina kikundi chenye website kwaajili ya mauaji kama ukrain? "Ukrain kill list" ukiwekwa kwenye hiyo list utawindwa na kuuwawa..uwe mhalifu usiwe mhalifu..wao wakikuchukia tu lazima wakuue
 
Back
Top Bottom