Nina wasiwasi huenda hii mission ya kuikomboa Donbas ikawa ndio ya mwisho kwa WAGNER hapo Ukraine baadae watakuja kupambana africa especially Congo, mali na afrika ya kati
Baada ya hapo itapigwa full scale war na red army wenyewe hapo kyiv
Hii kampeni itamalizwa kwa pigo zito mfano wa vita ya pili ya dunia, baada ya hapo kubwa jinga mmoja atarudi matawi ya chini ila ataendelea kuwa na heshima na adabu kwenye huu ulimwengu.
Either america au russia atashikishwa adabu.
Alisikika mpemba aliyeshiba futari.