He also thanked the UK for its decision to send 14 Challenger 2 tanks, which paved the way for other nations to follow suit. He added:We are ready for more intense training of Ukrainian servicemen. We’re ready to send our pilots to be trained in fighter jets. We keep saying ‘please give us your experience’.
Today is the time for Britain to become a leader to also open the door to use aircraft and long-range rockets.
Hili nalo ni la kubisha !!?? ....Aseee amefanya safari 75 katika nchi 22.wapi na wapi hahaha?
Hili jambo ndio limepelekea kutofanyika kwa counter offisive waliyokuwa wanaisema mara kwa mara.
Makamanda wa ku coordinate na ku organize hiyo Counter offensive ndio hao wameuliwa.
Inabidi Zelensky ale pause kwa muda.
Nasikia huyu mama aliposikia tangazo la mkuu Putin akapata na siku zake bila kutarajia .Baada ya tangazo la Putin ( mwamba)..........panya wamejitokeza wanataka mazungumzo
Putin shikilia hapo hapo[emoji28]
.Bulgaria calls for negotiations after Moscow to put warheads in Minsk
Bulgaria’s Vice President Ilijana Iotova has called for negotiations between Russia and Ukraine after the Kremlin’s announcement of plans to transfer Russian nuclear weapons to Belarus.
The situation is becoming “increasingly dangerous and frightening”, she said, adding that is why she and Bulgarian President Rumen Radev keep calling for negotiations.
“These are not empty words,” Iotova said.
6h ago
(11:38 GMT)
Hii ni hatar,Kornet ya Mrusi ni Habari nyingine
Yaani kifaru cha Ukrein kimepigwa mpakakikaweka Mnara wa Kumbukumbu
Hapa Kisitolewe Pajengwe Vizuri Liwe sehemu ya Maonyesho na Kumbukumbu Utalii ujao
View attachment 2567325
Walikua ndan ya icho kifaru,Kornet ya Mrusi ni Habari nyingine
Yaani kifaru cha Ukrein kimepigwa mpakakikaweka Mnara wa Kumbukumbu
Hapa Kisitolewe Pajengwe Vizuri Liwe sehemu ya Maonyesho na Kumbukumbu Utalii ujao
View attachment 2567325
We jamaa alie kutuma inabidi akuongezee mshahara kazi yako unaifanye vyema na saiv umeanza pata wafuasi.Mkuu katika dunia ya intaneti hakuna "prove" - je hujui??? Kuna dalili za kupokea blogu hii, hasa pamoja na yale tunayoona uwanjani. Mara ngapi washabiki wa Putin walisifu hapa T14 Armata, na kumkemea yeyote mwenye mashaka... Lakini hadi leo hazikufika uwanjani. Labda kun akiba kubwa Mwezini au mafichoni chini ya ardhi.
Ukipenda kuamini, amini tu.
Napendelea kufikiri na kuona.
Sioni mafanikio ya Putin, sioni jenasi, sioni tekinolojia ya juu, na hasa sioni bado dalili ya kuwepo kwa vipuri vingi vya kukarabati vifaru vilivyokaa miaka kwenye matope ya Siberia.
Putin ndo nabii alietabiriwa kuikomboa Dunia,Ukitaka kujua General Vladimir Putin ni mtu smart na mwenye ushawishi mkubwa dunaini angalia dunia ambavyo huchangamka kila anapomaliza kutoa speach.
Hivi karibuni baada ya kusema atasafirisha nukes kwenda Belarus, tayari bara zima la ulaya lishaanza kuhangaika utadhani mgonjwa wa tumbo la kuhara. Putin anaweza akaongea sentensi moja tu yenye maneno yasiyo zidi kumi lakini ikatikisa mamia ya vyombo vya habari duniani.
Kiufupi, Speach ya Putin ni furaha na ukombozi kwa dunia pia ni tumbo joto kwa mabeberu na vibaraka wao.
NI FAHARI KUBWA SANA KWA TAIFA KUONGOZWA NA MTU SMART KAMA PUTIN [emoji635]
Kazi iendelee,Haya kenya Wameamua kuachana na Dolla kununua mafuta bado Sisi Sijui tunasubiria nini
[emoji1139] Kenya to Buy Oil Using Local Currency Instead of US Dollars: Kenyan President William Ruto signed an agreement with Saudi Arabia to buy oil for Kenyan shillings instead of US dollars.
Mafunzo ya kutumia jenezaMafunzo yamekamika kutumia Kifaru cha Challanger 2, Sasa Kazi.
Ukrainian troops complete training on British Challenger tanks
The British government said that Ukrainian crews who have been training to use Challenger 2 tanks are now ready to be deployed to the frontline.
“Ukrainian tank crews have completed training on Challenger 2 tanks in the UK and have returned home to continue their fight against Russia’s illegal and unprovoked invasion,” the ministry of defence said in a statement.
Ngoja ncheke famasihara nn kipanya? Yaani F22 fifith generation istafu mwakani wakati ni modern,and current air craft.??OPINION: US to Retire 310 Aircraft – Does Ukraine Need Them?
The U.S. Air Force is planning to retire hundreds of aircraft through to 2024, including A-10 attack aircraft, F-22 and F-15 fighters, and MQ-9 Reaper reconnaissance and strike UAVs.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eti Chalenger 2 most effective battle tanks[emoji1787]Ukrainian soldiers completed training to operate Challenger 2 tanks in the UK, the Guardian reported on March 26.
“We have all been hugely impressed with the level of competence displayed and have no doubt that our friends will use the Challenger 2 tanks most effectively in the battles to come as they fight to defend their homeland,” Lieutenant Colonel John Stone, who oversaw the training, said, as quoted by the Guardian.
Learn more: Guardian: Ukrainian soldiers complete Challenger 2 tank training in UKView attachment 2567484
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Watapata tabu sana,Marekani kajaribu tena Hypersonic missile Na Kufail
Hahaha Alijua ni Mavi ya Kuku!
The War Zone
Broken ARRW: Air Force’s First Hypersonic Missile Fails During Inaugural Test
The prototype missile never left the wing of the B-52H bomber carrying it during the hugely anticipated test.
BY
JOSEPH TREVITHICK
|
PUBLISHED APR 6, 2021 11:23 AM
Broken ARRW: Air Force’s First Hypersonic Missile Fails During Inaugural Test
SHARE
JOSEPH TREVITHICK
View Joseph Trevithick's Articles
FranticGoat
The U.S. Air Force's hotly anticipated first live-fire flight test of a prototype AGM-183A Air-launched Rapid Response Weapon hypersonic missile, or ARRW, was unsuccessful. The service says there was "an issue on the aircraft," a B-52H bomber assigned to the 419th Flight Test Squadron out of Edwards Air Force Base in California, and it "did not launch" the weapon.
The abortive test was conducted over the Point Mugu Sea Test Range in the Pacific Ocean off the coast of Southern California on Apr. 5, 2021. This came a day after the end of a self-imposed 30-day deadline that the Air Force had announced on March 5. The plan had been for this launch to validate the performance of the missile's rocket booster, as well as the separation of a simulated unpowered boost-glide vehicle payload. The surrogate vehicle was not designed to actually fly and was expected to disintegrate after release from the missile body.
m-editor%2F1617721143357-arrw-pylon-inline.jpg
US Air Force personnel work on an AGM-183A captive-carry test article loaded on a B-52H bomber during an earlier test., USAF
"Instead, the test missile was not able to complete its launch sequence and was safely retained on the aircraft which returned to Edwards AFB," according to an official Air Force press release. The Air Force has conducted seven previous flight tests involving captive-carry test articles that are not designed to be released from the B-52Hs carrying them. At present, the service plans to buy at least eight full-up AGM-183A prototypes, some of which could be deployed in a limited operational capacity depending on how future flight testing goes.
“The ARRW program has been pushing boundaries since its inception and taking calculated risks to move this important capability forward," Air Force Brigadier General Heath Collins, the service's Program Executive Officer for Weapons, said in a statement. "While not launching was disappointing, the recent test provided invaluable information to learn from and continue ahead. This is why we test."
A complete prototype of the AGM-183A with an actual hypersonic boost-glide vehicle inside its nose has also yet to be tested. Operational examples of these weapons will use their rocket boosters to loft those vehicles to an optimal speed and altitude. After that, the wedge-shaped vehicle is designed to glide toward its target along an atmospheric flight trajectory at hypersonic velocity, defined as anything above Mach 5.
The boost-glide vehicle is cable of making more unpredictable movements compared to traditional ballistic missiles, even those with maneuverable reentry vehicles. This gives the hypersonic weapon distinct advantages for penetrating through hostile air and missile defenses to reach time-sensitive or other high-value targets. The combination of speed and maneuverability also presents novel challenges to opponents when it comes to spotting and tracking these weapons, which, in turn, makes it extremely hard to defend against them in any way, including simply trying to move critical assets out of the target area.
The Air Force has previously said that ARRW will only need between 10 and 12 minutes to hit targets 1,000 miles away. This could suggest the weapon has an expected average speed of between 5,000 and 6,000 miles per hour, or roughly between Mach 6.5 and Mach 8.
This first flight test had already been much anticipated, having been pushed back twice already since the end of 2020. Notices to Airmen (NOTAM), which the Federal Aviation Administration (FAA) had begun issuing 10 days ago, regar
Hii ni leo.msafara wa T-64M(new upgrade) ukielekea uwanja wa vita.Mkuu katika dunia ya intaneti hakuna "prove" - je hujui??? Kuna dalili za kupokea blogu hii, hasa pamoja na yale tunayoona uwanjani. Mara ngapi washabiki wa Putin walisifu hapa T14 Armata, na kumkemea yeyote mwenye mashaka... Lakini hadi leo hazikufika uwanjani. Labda kun akiba kubwa Mwezini au mafichoni chini ya ardhi.
Ukipenda kuamini, amini tu.
Napendelea kufikiri na kuona.
Sioni mafanikio ya Putin, sioni jenasi, sioni tekinolojia ya juu, na hasa sioni bado dalili ya kuwepo kwa vipuri vingi vya kukarabati vifaru vilivyokaa miaka kwenye matope ya Siberia.
Ha ha ha.......
Akamwambie mkuu wa UNICEF na wale watoto alowavisha magwanda washiriki vita frontline [emoji16]President of Ukraine Volodymyr Zelensky held a meeting with British actor, UNICEF Goodwill Ambassador Orlando Bloom.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app