DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Putin ni shujaa wa kimataifa,mwanao ataishia keko jela asee [emoji16] Tutamletea uji
Siwez kumuita mwanangu majina laini laini[emoji4]
Putin ni shujaa wa kimataifa,mwanao ataishia keko jela asee [emoji16] Tutamletea uji
Ha ha ha ...[emoji1787]Hahahahah Wagner wanazidi kunifurahisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamemtoa afisa Makombora kama panyabuku shimoni! Huyu ndio alikuwa anachelewesha mchakato Donetsk pumbavu zake. Wampe bakuli la pilipili atafune
Nakazia[emoji4]Bora jela kuliko kuja kuwa mwanachama wa upinde
Huyo lgbtq aliwaza kujenga base na manowari mwenzake duni base yake ipo Kremlin anaungurumisha makombora mpaka USA na MiNATO bila kusogea hata inch moja na mahypersonic yanagonga bila kupopolewa hapo ndipo utajua akili ni nywele.Mkuu upo sahihi, US kwa mfano ana Military zaidi ya 200 duniani, achana na hizo Submarine. Hii military base ya Poland ndiyo imeongezewa uwezo zaidi sababu ya uvamizi wa Ukraine - hapa tunapoongea ina wajeda zaidi ya 10,000.
Kwa hiyo ukipigana na Marekani - hakupigi kutokea Pentagon, sahau - anakutandika from nearby military base.
Sasa hapo tunasemea US, hatujagusa NATO na hatujagusa uwezo wa nchi moja moja za Ulaya. Putin si mjinga anajua kitakachotokea kama atatumia nuclear.
Mkuu ukiwa nazo, lete takwimu za Uralvagonzavod. Zile ninazojua mimi walitoa chini ya 20 kwa mwezi, si ya kisasa lakini sijaona walikuwa na mabadiliko makubwa sana ili wafikie mamia... mengine ni yale tunayoona uwanjani. T14 Armata imetangazwa tangu mwaka 2015 nisipokosei, haionekani.Mi naona unanipotezea tu muda wangu bure.nishakwambia uwezi pata takwimu ya mambo ya Urusi kwa vyanzo vya kutoka uingereza au Marekani.mbona mgumu kuelewa maana naona unalazimisha vitu.
Huo ndio ni mwanzo makubwa yanakuja - kwa nini mataifa ya Ulaya haya-form jeshi lao linalo jitegemea kuliko kuendelea kuwa chini ya Merikani na kuendelea kupewa amri kutoka Pentagon as if as if European Nations are not trurily independent - mataifa ya Ulaya kwa nini yanakubali kushikizwa na Merikani kujiingiza kwenye mgogoro wa Ukraine ambao ingeweza kumalizwa na Putin na Zelensky kidiplomasia/kwa mazungumzo badala yake yanapeleka silaha eti wanataka kuona wanamshinda Putin kivita -akili gani hizi?? Wanacho waza ni kunufahisha wamiliki wa makapuni ya kuunda silaha za kimerikani (Military Industrial Complex) hawajali binafamu wanao kufa vitani including civilians - wanapenda vita hii ya Ukraine iendelee indefinitely ili wapige hela ndefu.Waandamanaji Nchi Ufaransa wanaimba Biden Hatutaki vitayako
Na Kusema Ufansa Ijiondoe Kwenye Nato ya Marekani
"Biden, we don't want your war."
Thousands of anti-war protesters took to the streets of Paris to denounce the US's proxy war in Ukraine and demand the withdrawal of France from the US-led NATO bloc.
View attachment 2566459
Hahahah imeonekana kuna uwezekano wa raia wa NATO kumwagwa mavi zaidi na Putin 😀!Baada ya tangazo la Putin ( mwamba)..........panya wamejitokeza wanataka mazungumzo
Putin shikilia hapo hapo[emoji28]
.Bulgaria calls for negotiations after Moscow to put warheads in Minsk
Bulgaria’s Vice President Ilijana Iotova has called for negotiations between Russia and Ukraine after the Kremlin’s announcement of plans to transfer Russian nuclear weapons to Belarus.
The situation is becoming “increasingly dangerous and frightening”, she said, adding that is why she and Bulgarian President Rumen Radev keep calling for negotiations.
“These are not empty words,” Iotova said.
6h ago
(11:38 GMT)
Hiyo kitu Nihatari mwenyewe ingelikuwa Rahisi Tungeliweka pale Mlima KilimanjaroUlaya wamechanganyikiwa na Tangazo la Putin
Germany condemns Putin decision to station nukes in Belarus
Germany has condemned a decision by Russian President Vladimir Putin to station tactical nuclear weapons in Belarus, bringing the arms closer to the European Union.
The announcement was “another attempt at nuclear intimidation by Russia”, an official in the foreign office told AFP.
Putin justified the move on Saturday, saying: “There is nothing unusual here either. The United States has been doing this for decades.
“They have long placed their tactical nuclear weapons on the territory of their allies,” Putin said in an interview on Russian television.
Hawa jamaa wenyewe wanaogopa nyuklia kuwa karibu na wao[emoji23]
Sijakuelewa unavyosema sijui wanakufa ila awatoi vifaru uwanjani.lini umesikia wanajeshi wana uwaba wa vifaru?.video kila siku zipo zinaonyesha matreni ya vifaru yakielekea uwanja wa vita.au wewe ufatilii.Mkuu ukiwa nazo, lete takwimu za Uralvagonzavod. Zile ninazojua mimi walitoa chini ya 20 kwa mwezi, si ya kisasa lakini sijaona walikuwa na mabadiliko makubwa sana ili wafikie mamia... mengine ni yale tunayoona uwanjani. T14 Armata imetangazwa tangu mwaka 2015 nisipokosei, haionekani.
T90 ni kifaru cha kisasa, kinaonekana kwa idadi ndogo.
Kama uwezo unaopenda kutangaza upo kweli, AMA wanaficha vifaru vyao (na kuangalia jinsi askari wao wanakufa tu) au hawawezi kutoa vifaru uwanjani kwa sababu wanakosa vipuli vya kumaliza kazi (hii ni kadirio ya makala niliyoleta, kama umeisoma. Ila utalala vizuri zaidi ukikataa kusoma taarifa za "magharibi", maana kuna hatari kukuta habari zinazopingana na mtazamo unaopenda...)
Convyoy ya T-90M tank ikiwa uwanja wa vita.alafu wewe unakuja kusema sijui awana vifaru.mara wanatumia vya zamani.Mkuu ukiwa nazo, lete takwimu za Uralvagonzavod. Zile ninazojua mimi walitoa chini ya 20 kwa mwezi, si ya kisasa lakini sijaona walikuwa na mabadiliko makubwa sana ili wafikie mamia... mengine ni yale tunayoona uwanjani. T14 Armata imetangazwa tangu mwaka 2015 nisipokosei, haionekani.
T90 ni kifaru cha kisasa, kinaonekana kwa idadi ndogo.
Kama uwezo unaopenda kutangaza upo kweli, AMA wanaficha vifaru vyao (na kuangalia jinsi askari wao wanakufa tu) au hawawezi kutoa vifaru uwanjani kwa sababu wanakosa vipuli vya kumaliza kazi (hii ni kadirio ya makala niliyoleta, kama umeisoma. Ila utalala vizuri zaidi ukikataa kusoma taarifa za "magharibi", maana kuna hatari kukuta habari zinazopingana na mtazamo unaopenda...)
Hii propaganda hata Warusi wenyewe hawaitumii, wewe umeipata wapi ?Hujamwelewa kabisa jamaa alicho maanisha, wanao pigana huko Ukraine majoroty ni wanamgambo wa Kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi wakisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi pamoja na Wagner Group,, kwa maneno mengine Russia haijaona haja ya kuingiza wanajeshi wake kwa wingi na silaha nyingine za kisasa - wanasubiri USA/NATO wajiingize kwenye vita hii rasimi ndio Urusi ianze kufanya vitu vyake hivi sasa tunaweza kusema Russian military is saving her military assets and soldiers for a rainy day ili iweze ku-deal na US/NATO wakijiingiza kichwa kichwa kwenye mgogoro/vita hii.
Hizi T 90 nilihesabu. Niliona tisa. Ziko nyingine? Wapi? Nilisoma Uralvagonzavod wanaweza kutoa 29 kwa mwezi. Picha yako inalingana na taarifa. Ni takriban nusu mwezi. Zitadumu siku ngapi?Convyoy ya T-90M tank ikiwa uwanja wa vita.alafu wewe unakuja kusema sijui awana vifaru.mara wanatumia vya zamani.
Iyo T-90M unatafananisha na uchafu gani hapo Ukraine.shida mnaongea maneno matupu.View attachment 2566970View attachment 2566971
We jamaa una propaganda za kindezi sana. Baada ya ww2 Soviet ilikuwa na uchumi mkubwa namba 2 baada ya Usa kwa vigezo vyote ilikuwaje ashindwe kugharamikia uwekezaji kwenye siraha ambazo historia inaonyesha mpaka leo nchi za Soviet ya zamani zinatumia siraha na miundombinu ya jeshi iliyotengenezwa kipindi cha Soviet?Mkuu ni kweli baada ya vita kuu ya pili Urusi iliwekeza sana katika jeshi. Ila haikuwa na uchumi wa kugharamia uwekezaji huu. Hapo sababu Urusi ilifilisika kabisa mwaka 1989, ikaporomoka baada ya kushindwa Afghanistan.
Leo hii uchumi wake chini ya kanchi kama Uholanzi. Ila bado silaha za nyuklia hata zimeshashika kutu kiasi.
Mambo mengine yanashangaza sana - ninacho wasifia Wamerikani ni mabingwa sana wa kulalama na kuwafanya watu hawana akili.Russia's intention to deploy tactical nuclear weapons in Belarus is a violation of the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app