triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
1. Unaweza kunihakikishia ni kwa vipi taarifa ya hiyo blogu ya urusi sio propaganda bali kauli ya raisi wa urusi ni propaganda? Umetumia kigezo gani kusema hii sio na hii ndio?Hapana, bila shaka Putin anapata taarifa nyingi. Hivyo anajua matatizo ila -sawa na Zele- hajidili matatizo ya jeshi lake. Kuamnini propaganda yake si tofauti na kuamini propaganda ya Zelenski.
Kuhusu kuchukua vifaru vya zamani ya miaka 70 iliyopita, ona hapa blogu ya Kirusi:
Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inayoeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.
70-Year-Old T-55 Tanks Are ‘Expendable’ In Ukraine.
Siwezi kuamini habari ya blogu inayoelezea taarifa za silaha za nchi ambazo kimsingi ni classified. Wanapiga ramli tu.