Hapana, bila shaka Putin anapata taarifa nyingi. Hivyo anajua matatizo ila -sawa na Zele- hajidili matatizo ya jeshi lake. Kuamnini propaganda yake si tofauti na kuamini propaganda ya Zelenski.Unaijua zaidi Urusi kuliko Putin!?
Kuhusu kuchukua vifaru vya zamani ya miaka 70 iliyopita, ona hapa blogu ya Kirusi:
Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inayoeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.