Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Okay. Sasa nimekuelewa.

Kuhusu kurusha silaha ya maangamizi kama hiyo Nuke, tambua kwamba military Doctrine ya Russia inasema kwamba endapo ni kitisho kikubwa cha kuangamiza Russia ndio watatoa hizo Nukes.

Kwa hiyo ondoa hofu. Hapo Ukraine Wagner PMC wapo na watawachapa mdogo mdogo mpaka Ukraine wanyooshe mkino juu.
Tz inabd tufanye mpango tuwe na nukes Kwa usalama wa taifa letu[emoji4]
 
Kwa waafrika tutaichukia Russia na Putin kwasababu western and Americans media zimetuambia hivyo(kwakiasi kikubwa tunategemea habari zaidi Toka kwao). Lakin kiukwel kuanguka Kwa Americans na washirika wake niushindi kwetu waafrika maana mkoloni atakua ameanguka natutakua huru. Tumuunge mkono Putin amuangushe huyu mkoloni anaeivuruga amani ya Dunia
Ukraine imetumika kama tool tu,ila hiyo vita ni Russia alone vs USA and its allies
 
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita,

tu

Tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho hakijawahi kutokea,

kila ukitembea ukumbuke kuwa angani kuna nguvu Kuu mbili,

moja inaitwa MUNGU naya pili ni Makombora ya Hypersonic ya Urusi

'' Dmitry Medvedev ''View attachment 2566041
Medvedev nmkubali sana,
Huyu jamaa ndo symbol ya alpha male
Huwa hapepesi ana kaul za kishujaa sana[emoji16]
 
Kwa waafrika tutaichukia Russia na Putin kwasababu western and Americans media zimetuambia hivyo(kwakiasi kikubwa tunategemea habari zaidi Toka kwao). Lakin kiukwel kuanguka Kwa Americans na washirika wake niushindi kwetu waafrika maana mkoloni atakua ameanguka natutakua huru. Tumuunge mkono Putin amuangushe huyu mkoloni anaeivuruga amani ya Dunia
Ukraine imetumika kama tool tu,ila hiyo vita ni Russia alone vs USA and its allies
 
Kuna vitu vingine ukivitizama kwa haraka haraka unavichukulia poa ila ukizama kuvitafakari vinakuacha kinywa wazi.

Mfano hii kauli kutoka kwa defence minister wa United Shit of America Gen. Mark Milley: “For the first time in the nation's history, the United States is facing two major nuclear powers whose vital national security interests are in competition with the United States. Both the People's Republic of China and Russia have the means to threaten our interests and our way of life. But war with Russia or China is neither inevitable nor imminent.”

Akaongeza tena akidai kwamba "Record Defense Budget is Necessary to Deal with China, Russia." [emoji848]

Alas Navyofaham ama tunavyojua wote kwa sasa defence budget ya US iko juu zaidi almost three times ya Russia and China Combined
..

That's
[emoji631] Over $850 billions
[emoji630] Around $225 billions
[emoji635] Around $64 billions

We had never popote pale kuwahi kusikia either China or Russia any katika wao wana mpango wa kuongeza State Defence budget kushindana na US, why awe yeye kila siku? US in comparison to Russia ni karibu 11 times also US kwa china ni karibu 3 fold so why bado anaona alichokiweka hakitosh kupambana na nchi hizo 2?

Huh, hapo ndio laja jambo ambalo wachache sana hulikubali. Inakuja issue ya "Quantity and Quality"... [emoji631] akisimama upande wa Quantity huku [emoji635] and [emoji630] wakiwa upande wa Quality na at the end siku zote Quality beats Quantity.

Unampa mwanao 1Mil ya kutanua, watoto wa jiran wamepewa Lakh kila mmoja wao ila mwanao anakwambia Baba kwa hii ulionipa inabidi uniongezee ili niweze shindana na hawa watoto wa jiran yako katika matumizi vinginevyo siez toboa. Unafumba macho tu kwa uchungu how stupid en dumb your child izzzzz...
 
Dunia yenye Usalam na Amani Inawahitaji Hawa
Komesha ya Migogoro Yadunia
Fikeni Kote Mnako takiwa Kufika Kuiweka Amani Yenye Uhakika


WAGNER
IMG_20230326_141608.jpg

THEY STOP WARS
 
Perfectly said bro..!
Kuna vitu vingine ukivitizama kwa haraka haraka unavichukulia poa ila ukizama kuvitafakari vinakuacha kinywa wazi.

Mfano hii kauli kutoka kwa defence minister wa United Shit of America Gen. Mark Milley: “For the first time in the nation's history, the United States is facing two major nuclear powers whose vital national security interests are in competition with the United States. Both the People's Republic of China and Russia have the means to threaten our interests and our way of life. But war with Russia or China is neither inevitable nor imminent.”

Akaongeza tena akidai kwamba "Record Defense Budget is Necessary to Deal with China, Russia." [emoji848]

Alas Navyofaham ama tunavyojua wote kwa sasa defence budget ya US iko juu zaidi almost three times ya Russia and China Combined
..

That's
[emoji631] Over $850 billions
[emoji630] Around $225 billions
[emoji635] Around $64 billions

We had never popote pale kuwahi kusikia either China or Russia any katika wao wana mpango wa kuongeza State Defence budget kushindana na US, why awe yeye kila siku? US in comparison to Russia ni karibu 11 times also US kwa china ni karibu 3 fold so why bado anaona alichokiweka hakitosh kupambana na nchi hizo 2?

Huh, hapo ndio laja jambo ambalo wachache sana hulikubali. Inakuja issue ya "Quantity and Quality"... [emoji631] akisimama upande wa Quantity huku [emoji635] and [emoji630] wakiwa upande wa Quality na at the end siku zote Quality beats Quantity.

Unampa mwanao 1Mil ya kutanua, watoto wa jiran wamepewa Lakh kila mmoja wao ila mwanao anakwambia Baba kwa hii ulionipa inabidi uniongezee ili niweze shindana na hawa watoto wa jiran wako katika matumizi vinginevyo siez toboa. Unafumba macho tu kwa uchungu how stupid your child izzzzz...
 
Ila Viongozi wengi wa Ulaya ni Wapuuzi kiasi Hawajielewi kipi wazungumze
Huyu ni mojawapo Wa Ujerumani
yaani Akifanya Marekani Nihaki ila Sio Urusi
Ajabu wapo wapuuzi wanawashabikia hawa

German Foreign Ministry: "The deployment of US nuclear weapons in NATO countries, cited by the Russian president as an example, is misleading and cannot justify the deployment of Russian nuclear weapons in Belarus."
Washalishwa limbwata[emoji1787]
 
Dunia yenye Usalam na Amani Inawahitaji Hawa
Komesha ya Migogoro Yadunia
Fikeni Kote Mnako takiwa Kufika Kuiweka Amani Yenye Uhakika


WAGNER
View attachment 2566487

THEY STOP WARS
Kwa muda waliokaa UN pale Congo eti kutuliza amani(nahakuna chamaana waachofanya Zaid yakuendelea kuiba tu) nauhakika WAGNER ingewachukua miezi chini ya 6 tu hao M23 namagenge mengine wangekua waauza maji mtaani. Tusubir waalize hiyo SMO then watakuja Africa #inshaallah
 
Kwa waafrika tutaichukia Russia na Putin kwasababu western and Americans media zimetuambia hivyo(kwakiasi kikubwa tunategemea habari zaidi Toka kwao). Lakin kiukwel kuanguka Kwa Americans na washirika wake niushindi kwetu waafrika maana mkoloni atakua ameanguka natutakua huru. Tumuunge mkono Putin amuangushe huyu mkoloni anaeivuruga amani ya Dunia
Ukraine imetumika kama tool tu,ila hiyo vita ni Russia alone vs USA and its allies
Nikizaa mtoto wa kiume ntamuita Putin au Vladimir [emoji1787]
 
Nilichogundua,
Ukishakua na nukes USA hakusogelei
Imagine kiduku-North Korea bila nukes ingekuaje?
Imagine gadafi au sadam angekua na nukes, mNATO gan angesogeza pua yake kumvamia.
Gaddafi angekuwa na nukes nini kingemzuia kufyatua? Hizi nuclear zisikie tu kwa jirani yako.Ndio maana tunamuona Putin ni mwehu kutishia kufyatua nuclear.
 
Hadi sasa Urusi haikuonyesha uwezo wa kuzalisha hata vifaru 500 kwa mwaka... Hivyo wanachukua sasa vifaru vya kale kabisa T 54 na T55 kutoka maegesho huko Siberia na kuvisafirisha magharibi...
Vikosi vya Urusi havitumii T-55 sasa ebu lete picha inayonyesha wakiwa vitani na T-55 maana tusibishane kama watoto.

T-55 aliwapelekea waasi kama msaada tu la yeye atumii.Urusi anatumia T-90, T-80, T-72, T-64.

Juzi kati ndo alichukua T-62 kama vifaru 600 ambazo walizitoa kwenye matumizi akavifanyia modification akawapa waasi wavitumie.

T-72 Tank pekee zipo zaidi ya elfu 10.sasa huyo mtu anaishiwa vipi na vifaru.kwa msaada aliopewa Ukraine angekuwa anapigana na Africa basi angekuwa ashachukua bara lote la Africa.
 
Back
Top Bottom