Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji636]The second group of Ukrainian military completes training on a 155mm AS90 self-propelled artillery unit in the UK, the General Staff of the Armed Forces of Ukraine reported.
1679837552940.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja ni mtag huyu mbuzu,FUSO hii habari ni yako [emoji1217]


AudioLive TV
Log In



Wagner in ‘full control’ of AZOM plant in Bakhmut, reports Russian state media​

By Josh Pennington
Published 2:40 AM EDT, Sun March 26, 2023








CNN —
Russia’s private military group Wagner has taken “full control” of the AZOM metallurgical plant in the north of the city of Bakhmut, according to video posted by Russian state media and verified by CNN.
“Wagner has full control of the territory of AZOM, the Artemivsk [Bakhmut] non-ferrous metal processing plant,” a correspondent for RIA Novosti said in a video, which captures

Wagner kama mazombi. Ni wanakuja kama hawaji vile.
 
Toka kile kipondo kilichowachomoa roho majenerali wa NATO pale Kiev kwenye mapango naona kama Zelenks akili imekaa sawa hawaamini tena washirika wake wa Western na USA anajuq fika Urusi ikitaka kumuua ni mara moja tu...
Baada ya kile kipigo tu
Akaanza Kuhaha kupata Hotline ya Xi Akaambulia Patupu
 
Toka kile kipondo kilichowachomoa roho majenerali na NATO pale Kiev kwenye mapango naona kama Zelenks akili imekaa sawa hawaamini tena washirika wake wa Western na USA anajuq fika Urusi ikitaka kumuua ni mara moja tu...
Warusi wana uwezo mkubwa kijeshi kushambulia popote Duniani ndani ya muda mfupi na kisababisha madhara makubwa sana huku silaha zao zikikwepa air defense systems za maadui zake - hata Merikani/NATO wamekwisha kiri kwamba hawana uwezo wa kujikinga dhidi ya baadhi ya silaha za Urusi - kama Warusi waki-decide kizivurumisha missiles zao 2wards USA au UK ndio basi tena hakuna cha msalie Mtume.
 
Uku Russia anapanga kutuma vifaru 400+

Kule USA vs NATO allies wanabishana nani atume kwanza vifaru vyake, Yaani Abraham pc 15 au leopard PC 27[emoji1787]

Juz Poland katuma leopard 5 tu Ukraine,
keshaanza kumsimanga German anawategea wenzake kutuma silaha Ukraine, yeye katuma vitano,mbona kimya[emoji1787]
Mkishaanza mabishano adui hamtomuweza.
 
Je wajua ni Nchigani iliyo na Amani full yaani haina mambo ya makelele basi ni Mongolia
Kwanini ?
Sababu kubwa ni kuwa Imejitenga na US
yaani hii nchi imezungukwa na Mataifa makuu 2
Urusi&China
Hii nchi haihitaji ***** ***** za Mpuuzi Muanzisha Migogoro Marekani
Angalia Ramani hii
IMG_20230326_173241.jpg
 
Kwa hata hivyo vya kale NATO hawana?
Inakuaje wanategeana kutuma, Si nawao wasafishe stoo tu[emoji16]
Ukraine itapata pia vifaru vya zamani vya NATO, mfano Leopard 1. Ilianza kutoka kiwandani miaka 60 iliyopita, kwa hiyi ni kijana kuliko T54 / T55 na uwezo wake ni mkubwa. Jambo kuu ni elektroniki ya kisasa kama darubini ya mzinga wake pamoja na uwezo wa kutumia grenedi za kisasa. T54/55 hazina uwezo huu wala darubini hizo. Leopard 1 itakuwa dhaifu kujitetea dhidi ya T90 lakini inaweza kuishambulia na kushinda.
 
Hahaha wameanza Kuhaha Kauli ya Mwamba Moja tu panya Wanatoka Mashimoni
Yaani Marekani Kaweka Silaha za Nyuklia Hawaoni Nihatari ila Kwa Urusi Makalio Yanajamba!


⚡️European Union foreign policy official: Belarus hosting Russian nuclear weapons is a threat to European security
 
Vikosi vya Urusi havitumii T-55 sasa ebu lete picha inayonyesha wakiwa vitani na T-55 maana tusibishane kama watoto.

T-55 aliwapelekea waasi kama msaada tu la yeye atumii.Urusi anatumia T-90, T-80, T-72, T-64.

Juzi kati ndo alichukua T-62 kama vifaru 600 ambazo walizitoa kwenye matumizi akavifanyia modification akawapa waasi wavitumie.

T-72 Tank pekee zipo zaidi ya elfu 10.sasa huyo mtu anaishiwa vipi na vifaru.kwa msaada aliopewa Ukraine angekuwa anapigana na Africa basi angekuwa ashachukua bara lote la Africa.
Mkuu habari zako ziko mbali na uhalisia. Soma hapa blogu ya Kirusi Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inaeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.

70-Year-Old T-55 Tanks Are ‘Expendable’ In Ukraine. ​

Hizo T 72 ziko kwenye maehesho, hii ni kweli, lakini hali ni mbaya, zinahitaji matengenezo na vipuli haviko (bado). Wachhina wameuza vichache kwa bei za juu...
 
Mkuu hapa juu ulisema
"SMO is well calculated and all objectives will be achieved.
Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha."

Najibu: Urusi hairushi kombora la nyuklia kwa sabab iliambiwa na Biden itapata jibu kali sana. Hivyo Urusi inachagua njia ya kupeleka askari wake kwenye machinjo bila kutumia nyuklia zake.
Isipokuwa Bw. Medvedev anapenda kutisha vile kila baada ya siku chache,
Unatishika na mikwala ya Biden. Ameshamapa Kiduku mikwala kama hiyo mara ngapi ya kumzuia kutokujaribisha makombola yake??
 
Back
Top Bottom