Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katika nchi yenye mfumo thabiti kiongozi wa nchi haamuru polisi. Kazi ya kumkamata mtu au kutomkamata ni wajibu wa mkono wa sheria na mahakama inayoagiza polisi. Ila Afrika Kusini tumeshona hata huyu wa Sudan aliyetafutwa aliweza kuondoka tena. Kwa hiyo watapata njia panya kwa Vladimir.
Hakuna mahakama iliyokuwa juu zidi ya kiongozi wa nchi.mahakama izo zipo 10 tu katika dunia nzima.
Mke wa mugabe alimchapa mtu hapo hapo south na mahakama ikatoa warrant wa kuzuiwa na mwisho wa siku karudi Zimbambwe bila shida yoyote ile.

Ni mahakama gani Duniani inalipa mishahara Askari polisi na wanajeshi.kama hamna unategemea polisi au wanajeshi watatii mahakama na kuwaacha viongozi wao wanaowalipa mishahara.
 
Uwe unatumia akili sio kila jambo unataka kukurupuka tu.izo blogu kaandika nani?.maana mi nilijua utaleta blogu za serikali ya Urusi, unaniletea maoni ya mtu kutoka telegram [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nani kakwambia Urusi anagiza vipuli kutoka china?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani utengeneze vifaru kwako alafu vipuli uwagize china.ivyo si vichekesho.

Hakuna hata kipuli kimoja kinachotoka china acha kuongopewa.niambie icho.
kipuli cha T-72 kinachotoka china.kwa kukuongezea tu Warusi karibia vifaru 3000 vya T-72 wamevi upgrade na vingine wanaendelea kuvi upgrade.

Acha kusikiliza habari za kwenye vijiwe



[https://upload] Russia – 850 T-72B3, 550 T-72B3M, and 630 T-72B are in operation in 2022.[41] 270 T-72B3 received in 2013.[42] Additional 143 T-72B3 were delivered as of October 2014.[43][44] 300 were delivered during the year.[45] Planned to continue purchases.[46] 596 were upgraded to T-72B3 before 2015, more than 70[47] in 2015. 30 more as of May 2016.[48] About 1000 tanks have been modernized as of September 2016,[49] +300 (>1,300 up to 2017).[50][51] 40 tanks were delivered in September 2016.[52] +154 T-72B3M in 2017.[53] 2,030 T-72 active, 8,000 in reserve in 2020.[54] Deliveries and orders of modernized T-72B3Ms continue through 2022 even despite economic sanctions due to the invasion in Ukraine
Mkuu hakika sijaleta blogu ya serikali ya Urusi. Propaganda tumepata ya kutosha, na blogu za serikali - hasa wakati wa vita- ni propaganda, kama ni Urusi au Ukraine.
Uhaba wa vipuli - nadhani unajulikana. Ndiyo wanachukua kutoka China maana wanajaribu kupata kila mahali, mara nyingi kwa njiapanya maana walijiharibu vyanzo vyao katika magharibi.
Namba ulizoonyesha huko juu (bila kutaja chanzo - je uliogopa??) ukilinganisha na namba za uharibifu zilizothibitishwa kwa picha - basi tayari umepata maelezo kwa nini wameanza sasa kuchukua T 54-55 kutoka maegesho.
 
Katika hizo base 200 hakuna base hata moja inayoweza kutunisha msuri dhidi ya russia.
Ikitokea vita Kati ya mrusi na marekani lazima pentagon head quarter ndoo ihusike.

Hizo base zinapower kwenye nchi ndogo na kupambana na baadhi ya waasi,ambao hata siraha za kisasa hawana ila sio urusi.

Katika hizo base 200 ulizosema unakuta active kabisa hazifiki 30. Nyingine inaitwa base ya marekani unakuta inandenge moja na magari vita machache.

Kwa upande wa nyuklia ni kweli hauna mshindi na vita ya nyuklia haitaji man power wala kua na base za kijeshi nyingi.

Missile za nyuklia ziko programmed na coordinate za maeneo potential ya adui. Chukulia kwa mfano ikitokea potential area ya bongo labda ni daresalam,zenji, dodoma na morogoro.Missile.za adui za nyk zinakua zinaangalia huko..

Na saiv nyuklia zimekua modified zipo zenye magnitude ndongo na zipo zenye magnitude kubwa.
Kuna base za Marekani hata kifaru kimoja hamna.alafu ndo useme unaanza kupigwa kwenye izo base[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu kuwa serious kidogo
 
Non-Proliferation of Nuclear Weapons
US aondoe alizoweka German, Turkey na kazibe masilo/maandaki ya Nuclear aliyojenga huko Greece!!
===
Njia Rahisi ya kuelewa msimamo wa Russia juu ya hizo silaha kupelewa Belarus ni kusoma Nyaraka mbili muhimu ambazo Russia aliwatumia NATO, na EU kabla operation demilitarization and denazification of Ukraine haijaanza.
 
Wewe ndo hufuatilii taarifa au utakua umebase kwenye taarifa zinazotolewa upande mmoja.
Jiulize black sea tena karibu na cremia drone ,ghali ya upelelezi ya kimarekani ilikua inatafuta nn? Kipindi hiki cha vita.?

Angalia umbali wa marekani hadi black sea utajua kua lengo la marekani lilikua ni ovu dhidi ya russia ndo maana urusi hakuchelewa kufanya maamuzi.

Pia kaa ukijua kua commanding center nyingi za kurusi zinazo ongoza SMO ukrane zipo cremia.
pia kuna maghala, Mengi ya siraha yapo cremia.Nadhani utakua umeshajua lengo la ile drone ni nn?

Na ilikua ni siku chache baada ya kombora hataree la warusi kuwafyeka makamanda wa Nato wengi walikua ni wamarekani na waingereza.
Nadhani lengo lilikua ni kulipa kisasi.

Bado majuzi hapo bomba ya kimarekani B 52 ilijichanganya kujaribu kuingia anga la warusi ikafurushwa.

Hicho kipigo cha hizo hypesonic mbili zinachimbua ardhi zimeacha majonzi makubwa Nato,Wanajaribu jinsi ya kulipa kisasi ila wanashindwa.
Bla bla nyingi ili kuonesha unajua mambo lakini kuhusu ile drone haikutumwa kupiga hapo umechemka.

Lengo ovu hata kupeleleza ni lengo ovu.
 
Russia's intention to deploy tactical nuclear weapons in Belarus is a violation of the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The same thing and scenario For russia it's illegal but for usa and it's allies is legal.
For this double standard of westerners thus why we choose to stand with russia.
 
Mkuu hakika sijaleta blogu ya serikali ya Urusi. Propaganda tumepata ya kutosha, na blogu za serikali - hasa wakati wa vita- ni propaganda, kama ni Urusi au Ukraine.
Uhaba wa vipuli - nadhani unajulikana. Ndiyo wanachukua kutoka China maana wanajaribu kupata kila mahali, mara nyingi kwa njiapanya maana walijiharibu vyanzo vyao katika magharibi.
Namba ulizoonyesha huko juu (bila kutaja chanzo - je uliogopa??) ukilinganisha na namba za uharibifu zilizothibitishwa kwa picha - basi tayari umepata maelezo kwa nini wameanza sasa kuchukua T 54-55 kutoka maegesho.
Unaponunua gari ili utafute vipuli basi ni lazima lianze kufanya kazi.vifaru vya Urusi ambavyo vipo active(tayari kwa vita ni zaidi ya elfu 10).bado anaendelea kutengeneza na bado anaendelea kufanya upgrage ya baadhi ya vifaru kama T-64, T-72, T-80 na pia kuna upgrade na T-90 japo bado ni vya kisasa.

Urusi kwa miezi mitatu hii ukiangalia kama wamepoteza vifaru vingi basi ni 300.maana yake kwa mwaka wana uwezo wa kupoteza vifaru 1200.ndo maana Medved kasema kwa kila mwaka vifaru vipya 1500 vitakuwa vinatengenezwa na vile vya zamani vitaendelea kufanyiwa upgrade ili kwenda na wakati.

Urusi hata akikaa miaka 8 pasipo kutengeneza vifaru vipya na bado hatoitaji kutumia T-55 maana T-80 zipo, T-72 zipo na T-64 Zipo.

Kuna T-62 hatumii kabisa leo hii aje kutumia T-55.wakati T-62 ni bora na kipya kwa T-55. Na T- 62 anavyo vingi tu kwenye store
 
The same thing and scenario For russia it's illegal but for usa and it's allies is legal.
For this double standard of westerners thus why we choose to stand with russia.
Mkuu, Warusi walipojaribu kutembelea Kyiv safari iliyopita walitangulia kurusha mabomu na grenedi. Labda kama wangepiga hodi bila mabomu wangeruhusiwa kutembelea?
 
Mkuu hakika sijaleta blogu ya serikali ya Urusi. Propaganda tumepata ya kutosha, na blogu za serikali - hasa wakati wa vita- ni propaganda, kama ni Urusi au Ukraine.
Uhaba wa vipuli - nadhani unajulikana. Ndiyo wanachukua kutoka China maana wanajaribu kupata kila mahali, mara nyingi kwa njiapanya maana walijiharibu vyanzo vyao katika magharibi.
Namba ulizoonyesha huko juu (bila kutaja chanzo - je uliogopa??) ukilinganisha na namba za uharibifu zilizothibitishwa kwa picha - basi tayari umepata maelezo kwa nini wameanza sasa kuchukua T 54-55 kutoka maegesho.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa jumla ya viwanda vyote vya silaha vilivyokuwa ulaya ni sawa na viwanda vilivyokuwa Urusi.Urusi ndo nchi yenye viwanda vingi vya silaha hapa duniani.
 
Muongo.

Ulaya kwa sasa bei ya gesi ni 43$

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu hujui kweli au unafanya mzaha, weka source ya taarifa Yako hebu poke hiki kitu ulaya wanalia acha matani
IMG_20230326_201358_199.jpg

The effect of anti-Russian sanctions on the European
Union

The picture shows the revenues of the European Union's gas suppliers in 2021 and 2022. It can be seen that the EU as a whole "overpaid" $270 billion [In 2021, it was $120billion and in 2022, it was $390 billion]
Current Gase price is $978 per 1000 cubic meter

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

#source
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Soldiers with the Ukrainian State Border Guard Service have used mortars to attack an area of concentration of Russian assault soldiers from the so-called "Wagner Group" in #Bakhmut, Donetsk region, eliminating at least 15 mercenaries.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#NATO has condemned the Kremlin's nuclear rhetoric as "dangerous and irresponsible" after Russia's statement on its intention to deploy tactical nuclear weapons in #Belarus and its continued nuclear threats against Ukraine and the collective West.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom