Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️The Ministry of Foreign Affairs of Ukraine demands an urgent meeting of the UN Security Council because of Russia's intention to deploy nuclear weapons in Belarus.

The MFA appealed to Belarusian society to prevent the deployment of nuclear weapons on their territory in violation of its obligations under the Non-Proliferation Treaty.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo hufuatilii taarifa au utakua umebase kwenye taarifa zinazotolewa upande mmoja.
Jiulize black sea tena karibu na cremia drone ,ghali ya upelelezi ya kimarekani ilikua inatafuta nn? Kipindi hiki cha vita.?

Angalia umbali wa marekani hadi black sea utajua kua lengo la marekani lilikua ni ovu dhidi ya russia ndo maana urusi hakuchelewa kufanya maamuzi.

Pia kaa ukijua kua commanding center nyingi za kurusi zinazo ongoza SMO ukrane zipo cremia.
pia kuna maghala, Mengi ya siraha yapo cremia.Nadhani utakua umeshajua lengo la ile drone ni nn?

Na ilikua ni siku chache baada ya kombora hataree la warusi kuwafyeka makamanda wa Nato wengi walikua ni wamarekani na waingereza.
Nadhani lengo lilikua ni kulipa kisasi.

Bado majuzi hapo bomba ya kimarekani B 52 ilijichanganya kujaribu kuingia anga la warusi ikafurushwa.

Hicho kipigo cha hizo hypesonic mbili zinachimbua ardhi zimeacha majonzi makubwa Nato,Wanajaribu jinsi ya kulipa kisasi ila wanashindwa.
Pro russia kwa propaganda ni kama baba yenu putin.

Haya ona hiyo habari ya warusi wenyewe sio wewe mrusi wa kazuramimba.
 
Attachments

  • Screenshot_20230326-200619.jpg
    Screenshot_20230326-200619.jpg
    251.8 KB · Views: 17
Baada ya kile kipigo tu
Akaanza Kuhaha kupata Hotline ya Xi Akaambulia Patupu
Hata mimi nilishangaa kidogo hivi iweje huyu Mtu ambaye anawaona Wamerikani ni Mungu wake wa Dunia, leo hii anahaha kupewa/pata hotline ya Comrade Xi - ili ampigie simu ili iweje - si Xi alitaka kuwa mpatanishi kati ya Putin na Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky kutokana na kiburi anacho pewa na Biden akamtolea nje Xi kutokana na shinikizo la Biden kwamba hasimsikilize Xi - lakini baada ya kushuhudia kitu kizito kikiwatoa pumzi washauri wake wa kijeshi kutoka Merikani,UK na Poland wakiwa vaporized 400 feet underground in a reinforces concrete bunker - ndio akashtuka kwamba kumbe Putin hana mchezo akidhamilia kufanya kitu hana simile.

Zelensky anapashwa kushukuru sana Waziri mkuu wa Israel aliye waho kumuomba Putin hasimuue Muyahudi mwenzake Zelezensly, ndio maana Zelensky yu hai mpaka sasa.
 
Unaponunua gari ili utafute vipuli basi ni lazima lianze kufanya kazi.vifaru vya Urusi ambavyo vipo active(tayari kwa vita ni zaidi ya elfu 10).bado anaendelea kutengeneza na bado anaendelea kufanya upgrage ya baadhi ya vifaru kama T-64, T-72, T-80 na pia kuna upgrade na T-90 japo bado ni vya kisasa.

Urusi kwa miezi mitatu hii ukiangalia kama wamepoteza vifaru vingi basi ni 300.maana yake kwa mwaka wana uwezo wa kupoteza vifaru 1200.ndo maana Medved kasema kwa kila mwaka vifaru vipya 1500 vitakuwa vinatengenezwa na vile vya zamani vitaendelea kufanyiwa upgrade ili kwenda na wakati.

Urusi hata akikaa miaka 8 pasipo kutengeneza vifaru vipya na bado hatoitaji kutumia T-55 maana T-80 zipo, T-72 zipo na T-64 Zipo.

Kuna T-62 hatumii kabisa leo hii aje kutumia T-55.wakati T-62 ni bora na kipya kwa T-55. Na T- 62 anavyo vingi tu kwenye store
Mkuu kama nimemwelewa Medvedev sawa aliwatisha wakurugenzi wa viwanda kwa maneno ya Stalin. Maana yake: angependa kupata vifaru vipya 1500 kwa mwaka, anajua hawezi kupata, hivyo ana watisha kwa matumaini watapata njia kuongeza idadi kidogo.
Makadirio ninayoona kwa sasa ni hizi:

How quickly can Russia rebuild its tank fleet?​

It has one tank factory, and is increasingly reliant on refurbishing old models​

na hii:

Russia has just one tank factory churning out 20 tanks a month, with demand outstripping production by a factor of ten, says report​

Joshua Zitser Feb 28, 2023, 1:24 PM

Pamoja na kurudisha vifaru kutoka maegesho (vinavyohitaji matengenezo baada ya kukaa miaka mingi kwenye maegesho porini) wanatoa labda vifaa 90 kwa mwezi.
Ila vipuli kwa elektroniki ya kisasa ni haba. Elektroniki hasa za darubini zinaleta tofauti kama kamanda wa kifaru anaweza kulenga kilomita 2 au 4, na kama anaweza kuona chochote wakati wa usiku. Kwenye mapigano mara nyingi ni tofauti kati ya kifo na uhai.
 
Mi naona unanipotezea tu muda wangu bure.nishakwambia uwezi pata takwimu ya mambo ya Urusi kwa vyanzo vya kutoka uingereza au Marekani.mbona mgumu kuelewa maana naona unalazimisha vitu.
 
Mkuu ambacho hujaelewa n nn?? Spy plane au spy UAVs zinatafuta eneo lenye concentration ya adui, mahali vifaa vilipo au depot ya mafuta.

Inaangalia njia za ukozi za adui au njia za adui kuingia ama kutoka then zinatuma picha videos na varaities of information kwenye commanding center kwa ajili ya analysis.

After analysis taarifa zinatumwa kwenye kikosi cha mizinga either cha ardhini hapa tunapata HIMARS, au artillery in general, au kwa kikosi cha anga hapa tunapata matumizi ya ndege vita kama SU 25 etc. Pamoja na drone. SASA...

Hiyo drone ya marekani iliwahiwa kabla hata yakupata coordinates za maana.

Kipindi kama hiki cha vita unadhani hiyo ndege ilikua inatafuta samaki black sea?? Jibu ni hapana ila ilitaka ipate eneo la kupiga Ili aduni apate maumivu makali bahati mbaya au nzuri ikawahiwa.

Kama unakumbuka mwaka jana kuna kipindi milipuko isiyoisha ilikua inaripotiwa kwenye ardhi ya urusi.na kipindi hicho spy plane za marekani pamoja na drone zilikua zinazunguka sana karibu na mpaka wa rusia huko poland na romania.

Ila ghafla tukaacha kusikia report za hizo ndege kuendelea kufanya hiyo kazi na milipuko ndani ya russia ikapungua sana hadi leo.Sasa sijui nini kilitokea kwa hizo ndege.
 
Pro russia kwa propaganda ni kama baba yenu putin.

Haya ona hiyo habari ya warusi wenyewe sio wewe mrusi wa kazuramimba.
Mkuu ambacho hujaelewa n nn?? Spy plane au spy UAVs zinatafuta eneo lenye concentration ya adui, mahali vifaa vilipo au depot ya mafuta.

Inaangalia njia za ukozi za adui au njia za adui kuingia ama kutoka then zinatuma picha videos na varaities of information kwenye commanding center kwa ajili ya analysis.

After analysis taarifa zinatumwa kwenye kikosi cha mizinga either cha ardhini hapa tunapata HIMARS, au artillery in general, au kwa kikosi cha anga hapa tunapata matumizi ya ndege vita kama SU 25 etc. Pamoja na drone. SASA...

Hiyo drone ya marekani iliwahiwa kabla hata yakupata coordinates za maana.

Kipindi kama hiki cha vita unadhani hiyo ndege ilikua inatafuta samaki black sea?? Jibu ni hapana ila ilitaka ipate eneo la kupiga Ili aduni apate maumivu makali bahati mbaya au nzuri ikawahiwa.

Kama unakumbuka mwaka jana kuna kipindi milipuko isiyoisha ilikua inaripotiwa kwenye ardhi ya urusi.na kipindi hicho spy plane za marekani pamoja na drone zilikua zinazunguka sana karibu na mpaka wa rusia huko poland na romania.

Ila ghafla tukaacha kusikia report za hizo ndege kuendelea kufanya hiyo kazi na milipuko ndani ya russia ikapungua sana hadi leo.Sasa sijui nini kilitokea kwa hizo ndege.
 
Hata mimi nilishangaa kidogo hivi iweje huyu Mtu ambaye anawaona Wamerikani ni Mungu wake wa Dunia, leo hii anahaha kupewa/pata hotline ya Comrade Xi - ili ampigie simu ili iweje - si Xi alitaka kuwa mpatanishi kati ya Putin na Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky kutokana na kiburi anacho pewa na Biden akamtolea nje Xi kutokana na shinikizo la Biden kwamba hasimsikilize Xi - lakini baada ya kushuhudia kitu kizito kikiwatoa pumzi washauri wake wa kijeshi kutoka Merikani,UK na Poland wakiwa vaporized 400 feet underground in a reinforces concrete bunker - ndio akashtuka kwamba kumbe Putin hana mchezo akidhamilia kufanya kitu hana simile.

Zelensky anapashwa kushukuru sana Waziri mkuu wa Israel aliye waho kumuomba Putin hasimuue Muyahudi mwenzake Zelezensly, ndio maana Zelensky yu hai mpaka sasa.
Mkuu

Putin ni mtu mstaarabu sana. Ndio maana hadi leo ujaona anashusha mabomu Ikulu ya Ukraine au Kwenye Bunge la Ukraine au kwenye Mahakama kuu ya Ukraine au kwenye makao makuu ya Jeshi la Ukraine etc.

He knows how to holds his cards.

Lile pigo la 80m chini ya ardhi la kuwaua Military Specialists wa NATO kule underground lilikuwa ni warning tu kwa Zelensky na NATO.
 
Iko hivi!!

Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.

Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
Angekua mwanachama mbona angeenda!
Pia Usa nae mbona aliitwa mbona hakuenda na mahakama hakuna kitu ilimfanya Hadi leo
 
Back
Top Bottom