kwa kweli! mana sikwa timbwili hiliGANGA ZUMBA tusitupane bhana. Kama kuna deal la kufanya PROPAGANDA na Mimi niunge tafadhali.
[emoji851]Unachukia uonevu ila unaipenda marekani hahahahaha
Ukraini ajaonewa anafunzwa adabu baada ya kuleta dherewi (zaidi ya dharau) kwa mkubwa wake kwa kujua tu atasaidiwa sasa ngoja anyooshwe kwanza
What a contradiction!!
Was this the reason for Putin's invasion over Ukraine?[emoji851]View attachment 2147751
Unatumia kichwa kufugia nywele au kuhifadhi maarifa!?Was this the reason for Putin's invasion over Ukraine?
🚮🚮🚮Unachukia uonevu ila unaipenda marekani hahahahaha
Ukraini ajaonewa anafunzwa adabu baada ya kuleta dherewi (zaidi ya dharau) kwa mkubwa wake kwa kujua tu atasaidiwa sasa ngoja anyooshwe kwanza
Ndio maana nimeuliza..nilijua ni vile Ukraine alitaka kujiunga na NATO..sasa naona lugha ya kashfa..was my question rude?Unatumia kichwa kufugia nywele au kuhifadhi maarifa!?
Nimekuuliza swali rahisi tu umeshindwa kulijibu!?Ndio maana nimeuliza..nilijua ni vile Ukraine alitaka kujiunga na NATO..sasa naona lugha ya kashfa..was my question rude?
Huo ni uongo mtupu.maprofessional kwenye battle Kama russian hawawezi kufanya ujinga kiasi hicho.hiyo picha sio kwamba walikwama Bali walikuwa wanawapandia maadui juu.Sijui ni kwa uzembe au walichukulia Ukraine poa hadi kujiamini kwamba wanaweza kuingia kundi lote ndani ya lifti na kupanda hadi juu ya jengo, lifti ilizimwa umeme na mwenye jengo jamaa wakabaki wamechanganyikiwa humo, hadi pale wanajeshi wa Ukraine walikuja na kuwakamata mateka, hamna kitu kigumu kama kuingia upigane na watu kwwenye nchi yao...
=======================
A team of Russian soldiers wanted to use the elevator to reach the roof of an office building. The Ukrainian administration of the building trapped them inside by cutting off the electricity. The Ukrainians also used an industrial camera to take this commemorative photo.
Meta Platforms wanazidi kupoteza mvuto...The United Nations has condemned the move by Meta to allow hateful remarks and calls for violence against certain Russians.
Mkuu, Katiba ya Russia ilibadilishwa mwaka 2020 na kumpa baraka Putin kukaa kuzidi 2024.President of Russia
The President of the Russian Federation is the head of state and guarantor of the Constitution and of human and civil rights and freedoms.
The President is elected for a 6-year term by the Russian Federation’s citizens on the basis of universal, equal and direct suffrage by secret ballot.