Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iko hivi!!

Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.

Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
Un argue kitoto sana wewe. Unauliza swali la chekechea eti mbona haendi kujitetea, kweli jamiiforum imevamiwa na vijana waliobalehe juzi.
 
Mzigo umefika salama Ukraine- hutaki jinyongee....

Germany and Britain have delivered the first consignment of battle tanks to Ukraine – providing much-needed ground support as Russian forces intensify attacks in the east of the country.

The Leopard and Challenger tanks were promised to Kyiv earlier this year and arrived on Monday in time for an expected spring offensive by Ukraine’s forces.

Ukweli Umeanza Kujitenga sasa
Ugiriki wanasema Lile Shambulio la Kituo cha NATO Kilichokuwepo Kyive
Chini ya Arhi liliua Dazeni ya Dazen ya Makamanda wa NATO
Wanakuambia Wengi walikuwa Wamarekani

🇫🇲Greek media: dozens of NATO officers are buried in a secret bunker destroyed by "Daggers" in Ukraine

📝According to the Greek portal Pronews, received by the editors from “American sources”, “

💥As a result of the “terrifying blow”, as the article claims, “dozens of NATO officers” were killed.

❓In all likelihood, we are talking about the defeat of the “shadow general staff” of NATO in Ukraine, the existence of which Western officials stubbornly deny.
View attachment 2567554
Mkuu una sababu gani kuamini na kusambaza stori ya aina hii?? Kwanza hakuna vyanzo vya kuthibitisha ukweli, pili hakuna mantiki hata kidogo.
Kama ingekuwa kweli (hakuna dalili ya kuwa kweli) kwamba maafisa wa NATO wanashiriki katika vita ya Ukraine - wana kazi gani? Inajulikana kwamba Marekani wanawapatia ukraine habari za satelaiti zao na kuwapatia data za shabaha za thamani - ambako Waukraine wanachagua. Lakini menginevyo - maafisa wa NATO wana kazi gani machoni pako???
Na hata kama wako - kwa nini wafanye kazi hii Kyiv ??? Katika vita ya kisasa kamanda mkuu hana kazi mbele. Anaweza kuongoza online. Hadithi ya Kyiv haina mantiki.
Tena: kwa nini maafisa wa juu?? Mbona tumeambiwa mara kwa mara Ukraine haina jeshi kenye maana, kuna vikosi vingi vya NATO vinavyopigania Ukraine ???
(Isipokuwa hatujaona wafungwa au maiti mamia ya NATO bado... isipokuwa hao wachache waliojitolea).
 
Mzigo umefika salama Ukraine- hutaki jinyongee....

Germany and Britain have delivered the first consignment of battle tanks to Ukraine – providing much-needed ground support as Russian forces intensify attacks in the east of the country.

The Leopard and Challenger tanks were promised to Kyiv earlier this year and arrived on Monday in time for an expected spring offensive by Ukraine’s forces.

Ndan ya siku 2 had 5 wataleta MREJESHO
 
Hivi bhakmut warusi wa kwamtogole wameichukua au bado wanaizunguka na kucheza ukutiukuti[emoji1787][emoji1787]
wanataka kuizunguka toka kaskazini, na hii tumeambiwa wiki ya 3 sasa. Tatizo la warusi siyo wingi hapana, tatizo lao sugu ni silaha ya kisovient miaka ya 1943.

Silaha wanazotamba nazo na hawawezi kuzitumia ni zile ballistic missiles na zile na Nuclear.
 
Vipi nyie mmeokoa kiji gani baada ya kuizunguka bukhmut hao Wagner
 
[emoji298]️The Pentagon has released playing cards with pictures of 52 different NATO weapons systems for Ukraine's Armed Forces, the New York Times reported.

The idea is for soldiers to be able to quickly identify enemy equipment and distinguish it from friendly forces.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji636][emoji1200]Britain and Poland will reportedly build two temporary settlements in western and central Ukraine to provide housing for those displaced by the Russian invasion – Reuters.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
India, South Korea, Saudi Arabia and the UAE secretly supply arms to Ukraine despite official neutrality - Intelligence Online

Hivi mkuu, kwa common sense tu, vyombo vya magharibi vinavyo angaika kutaka kuharibu mahusiano ya India na Saudi Arabia kwa Russia, silaha ziende Ukrain kutoka Saudi Arabia na India, na vyombo vya magharibi wasitoe breaking news kweli.
 
London Think Tank: Russia Successfully Uses Nuclear Weapons In Ukraine Without Firing Them

The report from the highly-respected Chatham House also said there remained a 'non-zero chance that Vladimir Putin may order a nuclear strike on Ukraine'.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
wanataka kuizunguka toka kaskazini, na hii tumeambiwa wiki ya 3 sasa. Tatizo la warusi siyo wingi hapana, tatizo lao sugu ni silaha ya kisovient miaka ya 1943.

Silaha wanazotamba nazo na hawawezi kuzitumia ni zile ballistic missiles na zile na Nuclear.

Bakhmut hapahitaji matumizi ya ballistic missiles wala kinzhal, zile zinatumiwa mahali penye priority targets kama command centers wanazokuwemo NATO officers wakishirikiana na Ukrainian soldiers.
 
Back
Top Bottom