Un argue kitoto sana wewe. Unauliza swali la chekechea eti mbona haendi kujitetea, kweli jamiiforum imevamiwa na vijana waliobalehe juzi.Iko hivi!!
Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.
Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
Ha ha ha .......nmeupokea comment yakoHa ha haa,
Ngoja na Mimi ni komenti kama pro USA wengi wanavyokomentigi.
"USA is overrated".
Tayari nimeshakomenti.
Mkuu una sababu gani kuamini na kusambaza stori ya aina hii?? Kwanza hakuna vyanzo vya kuthibitisha ukweli, pili hakuna mantiki hata kidogo.Ukweli Umeanza Kujitenga sasa
Ugiriki wanasema Lile Shambulio la Kituo cha NATO Kilichokuwepo Kyive
Chini ya Arhi liliua Dazeni ya Dazen ya Makamanda wa NATO
Wanakuambia Wengi walikuwa Wamarekani
🇫🇲Greek media: dozens of NATO officers are buried in a secret bunker destroyed by "Daggers" in Ukraine
📝According to the Greek portal Pronews, received by the editors from “American sources”, “
💥As a result of the “terrifying blow”, as the article claims, “dozens of NATO officers” were killed.
❓In all likelihood, we are talking about the defeat of the “shadow general staff” of NATO in Ukraine, the existence of which Western officials stubbornly deny.
View attachment 2567554
Ndan ya siku 2 had 5 wataleta MREJESHOMzigo umefika salama Ukraine- hutaki jinyongee....
Germany and Britain have delivered the first consignment of battle tanks to Ukraine – providing much-needed ground support as Russian forces intensify attacks in the east of the country.
The Leopard and Challenger tanks were promised to Kyiv earlier this year and arrived on Monday in time for an expected spring offensive by Ukraine’s forces.
wanataka kuizunguka toka kaskazini, na hii tumeambiwa wiki ya 3 sasa. Tatizo la warusi siyo wingi hapana, tatizo lao sugu ni silaha ya kisovient miaka ya 1943.Hivi bhakmut warusi wa kwamtogole wameichukua au bado wanaizunguka na kucheza ukutiukuti[emoji1787][emoji1787]
Vipi nyie mmeokoa kiji gani baada ya kuizunguka bukhmut hao Wagnerwanataka kuizunguka toka kaskazini, na hii tumeambiwa wiki ya 3 sasa. Tatizo la warusi siyo wingi hapana, tatizo lao sugu ni silaha ya kisovient miaka ya 1943.
Silaha wanazotamba nazo na hawawezi kuzitumia ni zile ballistic missiles na zile na Nuclear.
India, South Korea, Saudi Arabia and the UAE secretly supply arms to Ukraine despite official neutrality - Intelligence Online
Aisee inaonesha wewe kwenu ukoo mzima matajiri.Shemeji yangu analo gari la hivi
wanataka kuizunguka toka kaskazini, na hii tumeambiwa wiki ya 3 sasa. Tatizo la warusi siyo wingi hapana, tatizo lao sugu ni silaha ya kisovient miaka ya 1943.
Silaha wanazotamba nazo na hawawezi kuzitumia ni zile ballistic missiles na zile na Nuclear.