kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Dadeq, Putin atawamaliza warusi wenzie 😀 😀Ukrainian Commander Says Russia is Running Out of Men in Bakhmut
As the Kremlin seeks to sign up an additional 400,000 contract soldiers this year to replenish its ranks, it is dialing back plans for a further offensive in Ukraine and preparing for a long fight.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine amekuwa kama siafu aliyeng'ata korodani, dikiteta Putin hajui afanyeje kuondoa hii fedheha [emoji28]Dadeq, Putin atawamaliza warusi wenzie 😀 😀
Hii strategy ya kulalamika kuishiwa silaha imeangamiza wa Ukraine wengi sana.Mtambue kiongozi wa kundi la Wagner, yaani kama sisi tupigane vita na Uganda afu tusaidiwe na KK- Security 😀 😀 😀
The head of Russia's Wagner private army says it is not getting the ammunition it needs from Moscow, as it seeks to gain control of Bakhmut.
Taifa lenye 140,000,000 liishiwe watu na 40,000,000 ndio waendelee kuwepo?Dadeq, Putin atawamaliza warusi wenzie 😀 😀
Kwa maslah ya raia wa hali ya chiniKuna taarifa Zinasema Kwasasa Zele Anaogopa Waukrein kuliko Urusi
Taarifa zinasema Yupo kwenye Kitisho Kikubwa Cha Kuuliwa na Waukrein wenyewe kuliko Urusi
na Kuna maandalizi yalisha fanyika Kama hali ikiendelea kuwa mbaya Atakimbilia Israel
Hihv hizi video ki rat na FUSO wanaziona au wao wazee maandishi kaka waandishi gazeti la RisasiVUDEO
Mwanajeshi wa Ukrein Kashindwa kujizuia Kulia Akiwaanahojiwa na DW
Anasema Wanauliwa kweli kweli na Anakumbuka Wwnzie Walivyo Uliwa Kisha Analia.
Tunafichwa Vingi sana WAGNER nihabari nyingine
View attachment 2572297
Si wanapewa silaha hao wanalia nn?VUDEO
Mwanajeshi wa Ukrein Kashindwa kujizuia Kulia Akiwa anahojiwa na DW
Anasema Wanauliwa kweli kweli na Anakumbuka Wenzie Walivyo Uliwa Kisha Analia.
Tunafichwa Vingi sana WAGNER nihabari nyingine
View attachment 2572297