NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Russia and Ukraine are discussing issues, the parties have begun to agree on something, Zelensky said about negotiations with Moscow.
Galip SV Liwagu View attachment 2148057
Propaganda za kijingaWarusi wamepanick,wameanza kushambulia maeneo ya raia.Baada ya hospital Sasa wameshambulia msikiti!View attachment 2147924
Nimecheka kwa sauti.... Em nitafsirie basi nielewe vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya kumekuchaView attachment 2148066
Lazima iende maana Jeshi la Ukraine linapambana zaidi kwenye media kuliko kwenye uwanja wa vita na watachapwa sanaMaliupol teyari imekwendaaa
Hamna kitu pale ntantalila nyingii iiiwarusi wamesanda sasa mnategemea magaidi? πππππ
Mtashindwa tu na hicho ki Z chenu kinamaanisha ZERO.Pro RussiaView attachment 2147415
Stands for ZERO
Kwani wanaompa silaha Ukrain walikuwa wanategemea zikionekana na Urusi zitaachwa tu ziwafikie Ukraine?Putin kasema kuwa misafara itayopeleka silaha nchini Ukraine ni halali yake a.k.a. ataishambulia kama anavyoshambulia ngome za jeshi la Ukraine ππππ
Ninachompendea huyu mwamba huwa anasimamia anachokiongea
Ukraine war: Russia can only take Kyiv if it 'razes it to the ground', President Volodymyr Zelenskyy says
In his latest speech, the Ukrainian leader hinted that future peace talks with Russia could take place in Jerusalem. He also took aim at NATO, saying the alliance has lacked "bravery" in its response to Putin's invasion.news.sky.com
Kuna kazi ya kufanya, aisee ila kuwepo kwa watu kama Galip SV humu, Ina maana haupo peke yako huko mitaani.Basi tu me najiuliza kwanini tunashindwa kutafakari kwa utashi wetu na kupokea pokea habari au mtazamo flan kisa flan kasema...
Huo ulimbwetete wa toka utotoni mfano wa anord msemo wako ndo unatugharim mpk ukubwani...
Kuna mda unaeza kujikuta unachukia wanaokuzunguka kwa wale yaliyomo vichwani mwao ila mda mwingine unajisemea nao sio kosa lao... Bali ndo walivyo kua "programmed" kuwaza hivo toka wadogo...
Sasa mbali zaidi huwa najisemea bora sie ila kizazi kinachokuja hiki hiki ambacho kinakwambia "bora kikawe mbwa ulaya kuliko kua tajiri bongo ati mbwa waa ulaya wanaishi maisha mazuri" kaaazi ipo.
Kama hyo kauli ni kweli basi ngoja nione kama wataacha au wataendelea....Putin kasema kuwa misafara itayopeleka silaha nchini Ukraine ni halali yake a.k.a. ataishambulia kama anavyoshambulia ngome za jeshi la Ukraine [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ninachompendea huyu mwamba huwa anasimamia anachokiongea
Ukraine war: Russia can only take Kyiv if it 'razes it to the ground', President Volodymyr Zelenskyy says
In his latest speech, the Ukrainian leader hinted that future peace talks with Russia could take place in Jerusalem. He also took aim at NATO, saying the alliance has lacked "bravery" in its response to Putin's invasion.news.sky.com
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.Ndio maana wasyria wameitwa ambao ni mabingwa wa urban warfare.
Putin hajawahi kuwa mjinga.