Mtu hajui economics analeta mahaba kwenye vitu siriaz yaani wanaamin Russia ataumia wakt mpaka wao vitawahusu. Kwa kinachoendelea EPL kama Chelsea atashindwa sababu ya UKATA wachezaji kuna uwezekano wasilipwe mishahara yao tim imefungiwa account.
Chelsea akishindwa itapelekea tim zingine zigome kucheza kumbuka wenzetu wanaumoja sana. Tim zikigoma kucheza sponsors watasitisha mikataba itaathiri mapato ya tim, itaathir mapato ya EPL Zile Tv zinazirusha matangazo zitakosa wateja mfano DSTV kama hurushi EPL nan atanunua packages?? Itaathiri uchumi worldwide. West wasilete ubabe kwenye vitu kama hv shida wanashinikizwa na biden, unaona kabisa vikwazo vya kupaniki.
Huko italy viwanda vinafungwa, huko ujeruman viwanda vya magari vinategemea sana nishati kama production iko juu unafikir nini? Hawa wasipokaa mezani na Russia uchumi duniani utaanguka sana hapa namwona china atakavokuja juu sana.
Biden ajue anampa nafasi china acha walale wakishtuka muda umekwenda dunia ya sasa imechoka na utawala wa kidhalimu wa marakani mataifa mengi yanalia ndani kwa ndani. Siku ya kuanguka kwa US tutaskia mengi sana. Je ni kweli yale yaliyotabiliwa kwenye bible yanakwenda timia??????