Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Watanzania utawaweza!hapo yeye kashiba ndi mihogo ya kuchoma na dagaa mchele Yuko anashadadia mauti ya wenzaoHivi unapata faida gani wewe mtz kushadadia ukraine kuharibiwa ?
mnavyojipa hope huku mioyo ikivuja damuHamna kitu pale ntantalila nyingii iii
He here mrussi wa Naliendele naona umetubalishia na la Avatar umeweka ka ZERO kenu eeeh?Zero Ni failure....mtafeli njooni kambi la ushindiAtulisha matango pori
Mashule hayana madarasa ya kutosha wala vyoo wanafunzi bado wanajisaidia vichakani na zaidi ya nusu ya wananchi wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.Tunaendelea kujifunza. Its better to have our own systems here in Tanzania.
Ushamjua akili yake na uwezo wake Kiongozi.Asante me ni kajinga... We mwerevu endelea kubwabwaja... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usibishane na mie mjinga utakuwa mjinga... Sawa Mr Mwerevu [emoji3577]
Kwenye pita pita zako huko Ukraine, hao NATO umekutana nao wapi?
Mzee unaongelea North Korea!? Wanatuzidi mbaaaaaaaaali mno.Mashule hayana madarasa ya kutosha wala vyoo wanafunzi bado wanajisaidia vichakani na zaidi ya nusu ya wananchi wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.
Huoni kwamba bado tuna kazi muhimu ya kufanya kuliko kuwaza vitu tusivyovielewa. Tusiwe kama North Korea.
Nilipoangalia BBC, walileta mawazo kutoka pande zote mbiliKama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?
Watakwambia zinatangaza propaganda, je Wanachokifanya BBC, CNN, AL JAZEERA, FRENCH 24 ni nini?
Oohh ni state sponsored sawa ni kweli zinafadhiliwa na Serikari ya Urusi.
Je BBC haifadhiliwi na serikari ya Uingereza, je wale wengine?
Ugumu gani kaka? Angalia hapa Putin-TV:Ni vigumu kuangalia channel za Urusi sababu West wamezizuia usizione na Urusi hawana la kufanya kusaidia wapenzi watazamaji wa chaneli zake nje ya Urusi kuzitazama kwa uhuru.
Ujerumani na Ufaransa bila mashinikizo ya Marekani huenda huu mgogoro usingefika huku...The main thing from the President's telephone conversation with Olaf Scholz and Emmanuel Macron:
— Putin told Macron and Scholz about the recent talks between Russian and Ukrainian representatives;
- Putin cited numerous facts of gross violation of the norms of international humanitarian law by the Ukrainian military;
- Putin called on the heads of the two republics to influence the Kiev authorities so that the crimes of the national battalions of Ukraine were stopped;
Putin, Makaron and Scholz agreed to continue contacts on Ukrainian issues. Galip SV Liwagu View attachment 2148037
Mwenzio anatema hoja wewe unaleta matusi na dharau, kubali tu kujifunza.Wewe ni kajinga,kwa hiyo importation anayofanya US kutoka Russia itakula kwa nani?
Tunarudi pale pale Tyson na matumla nani ataumia?
Okey, asante. Ngoja niweke bundle na tuombee mtandao usiwe edge.Nilipoangalia BBC, walileta mawazo kutoka pande zote mbili
Nilipoangalia TASS (Urusi), sijaona neno vita,
Ugumu gani kaka? Angalia hapa Putin-TV:
https://www.rt.com/shows/news-on-rt-america/551008-george-w-bush-condemns-russian/
Hii ndio style aliyotumia kuipiga ISIL kule Syria.Picha za setiliti zaonesha majeshi ya Russia yakikaribia zaidi Kyiv huku yakinyesheleza mvua za mabomu zinavyounguza miji na kuigeuza kuwa vifusi na magofu
View attachment 2148084View attachment 2148085
Misafara yoyote ambayo itakuwa inapeleka silaha nchini UKRAINE itakuwa kwenye Target za URUSI (Itashambuliwa)Nimecheka kwa sauti.... Em nitafsirie basi nielewe vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rais wa Ukrane imani imekufa kabisa kwa NATO.The main thing from Zelensky's statements about negotiations with Russia and about NATO:
- Zelensky said that he was ready for negotiations with the Russian Federation and expressed the hope that the peace process would be started in practice, and not in words;
- according to him, the parties have already begun to discuss specific issues, and not to exchange ultimatums;
- Zelensky invited the Israeli prime minister to hold talks with the Russian Federation in Jerusalem;
- in his opinion, Israel can play an important role in resolving the conflict and become one of the countries-guarantors of security;
- Zelensky does not see the courage of NATO members to unite for the sake of Ukraine;
- at the moment, about 1,300 Ukrainian servicemen have died;
- Ukraine needs anti-missile systems, and the country is ready to buy them even on credit.
Galip SV Liwagu View attachment 2148088
Hizi taarifa za kusema wanajeshi wa URUSI hawataki hii vita wewe mtu wa GONGO LA MBOTO umeitoa wapi...Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.
Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Tupe chanzo Cha huo utafiti unayosema Warusi wengi hawautaki vita?Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.
Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Ni Nani huyo? Israel au?Hii vita kama Urusi wangefanikiwa ingia mji mkuu wa Ukrine on Day one wangeshamaliza ! Tatizo kuna invisible Hand kwenye hii vita (kuna Dogo ana ufahamu wa nguvu na uwelewa wa majeshi yote makubwa Duniani! Huyu ndo anapigana hivi Vita - kwake mbali na kusaidia pia anatest system zake za kijeshi.ambazo no country have or have a knowledge about their existing ! Patamu sana hapa🇮🇱 na kwao mwenzao ni Mwenzao na ukimchokoza mmoja wanakuja wote kumtetea na Kumsaidia .Baada ya madhara waliyoyapata toka kwa Hitler awa majamaa awataki yeyote awaonee tena au kumbully mmoja wao