LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Waliomtuma Zelensky (Marekani na NATO) wakata tamaa kuwa Putin haoneshi dalili yoyote ya kuutatua mzozo wake na Ukraine kwa njia za kidiplomasia.

Waambieni si wanadai kibaraka wao Zelensky anashinda vita hii kwa kuua maelfu ya wanajeshi wa Russia, sasa diplomasia ya nini tena? Mwacheni aendelee kushinda mechi hii

SmartSelect_20220312-180506_Chrome.jpg
 
Tunaendelea kujifunza. Its better to have our own systems here in Tanzania.
Mashule hayana madarasa ya kutosha wala vyoo wanafunzi bado wanajisaidia vichakani na zaidi ya nusu ya wananchi wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.

Huoni kwamba bado tuna kazi muhimu ya kufanya kuliko kuwaza vitu tusivyovielewa. Tusiwe kama North Korea.
 
Asante me ni kajinga... We mwerevu endelea kubwabwaja... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usibishane na mie mjinga utakuwa mjinga... Sawa Mr Mwerevu [emoji3577]
Ushamjua akili yake na uwezo wake Kiongozi.
Endelea kumpiga nondo mpaka aanze kujitukana mwenyewe.
Ila anajipa elimu ambazo hana
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashule hayana madarasa ya kutosha wala vyoo wanafunzi bado wanajisaidia vichakani na zaidi ya nusu ya wananchi wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.

Huoni kwamba bado tuna kazi muhimu ya kufanya kuliko kuwaza vitu tusivyovielewa. Tusiwe kama North Korea.
Mzee unaongelea North Korea!? Wanatuzidi mbaaaaaaaaali mno.
Mzee sisi bado tupo kwenye zama za ujima. North korea anamkoromea USA na anatulia tuliii kama maji kwenye mtungi.

Fanya kama unajikuna tujaribu sisi kukoroma.
 
Kama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?

Watakwambia zinatangaza propaganda, je Wanachokifanya BBC, CNN, AL JAZEERA, FRENCH 24 ni nini?

Oohh ni state sponsored sawa ni kweli zinafadhiliwa na Serikari ya Urusi.
Je BBC haifadhiliwi na serikari ya Uingereza, je wale wengine?
Nilipoangalia BBC, walileta mawazo kutoka pande zote mbili
Nilipoangalia TASS (Urusi), sijaona neno vita,
Ni vigumu kuangalia channel za Urusi sababu West wamezizuia usizione na Urusi hawana la kufanya kusaidia wapenzi watazamaji wa chaneli zake nje ya Urusi kuzitazama kwa uhuru.
Ugumu gani kaka? Angalia hapa Putin-TV:
https://www.rt.com/shows/news-on-rt-america/551008-george-w-bush-condemns-russian/
 
The main thing from the President's telephone conversation with Olaf Scholz and Emmanuel Macron:

— Putin told Macron and Scholz about the recent talks between Russian and Ukrainian representatives;

- Putin cited numerous facts of gross violation of the norms of international humanitarian law by the Ukrainian military;

- Putin called on the heads of the two republics to influence the Kiev authorities so that the crimes of the national battalions of Ukraine were stopped;

Putin, Makaron and Scholz agreed to continue contacts on Ukrainian issues. Galip SV Liwagu View attachment 2148037
Ujerumani na Ufaransa bila mashinikizo ya Marekani huenda huu mgogoro usingefika huku...
 
Makombora ya Russia (manane tu) yameshambulia na kuisambaratisha ngome ya jeshi la anga la Ukraine huko Kyiv Oblast (Vasylkiv militaryairbase) . Amesema maya wa mji huo bwana Nataliia Balasynovych.

Mwendo mchakamchaka

SmartSelect_20220312-182428_Chrome.jpg

 
The main thing from Zelensky's statements about negotiations with Russia and about NATO:

- Zelensky said that he was ready for negotiations with the Russian Federation and expressed the hope that the peace process would be started in practice, and not in words;

- according to him, the parties have already begun to discuss specific issues, and not to exchange ultimatums;

- Zelensky invited the Israeli prime minister to hold talks with the Russian Federation in Jerusalem;

- in his opinion, Israel can play an important role in resolving the conflict and become one of the countries-guarantors of security;

- Zelensky does not see the courage of NATO members to unite for the sake of Ukraine;

- at the moment, about 1,300 Ukrainian servicemen have died;

- Ukraine needs anti-missile systems, and the country is ready to buy them even on credit.
Galip SV Liwagu View attachment 2148088
Rais wa Ukrane imani imekufa kabisa kwa NATO.
 
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.

Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Hizi taarifa za kusema wanajeshi wa URUSI hawataki hii vita wewe mtu wa GONGO LA MBOTO umeitoa wapi...
 
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.

Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Tupe chanzo Cha huo utafiti unayosema Warusi wengi hawautaki vita?

Halafu hii sio vita kwa mtazamo wa kirusi.

Walichokifanya Warusi ni reciprocal inayotumika Dunia nzima.
Kumbuka Zelensky alialika wapiganaji Toka Mataifa mbalimbali kwenda kumsaidia hivyo Putin naye kajibu, Na Mataifa hasa Syria yamejibu yapo tayari
 
Hii vita kama Urusi wangefanikiwa ingia mji mkuu wa Ukrine on Day one wangeshamaliza ! Tatizo kuna invisible Hand kwenye hii vita (kuna Dogo ana ufahamu wa nguvu na uwelewa wa majeshi yote makubwa Duniani! Huyu ndo anapigana hivi Vita - kwake mbali na kusaidia pia anatest system zake za kijeshi.ambazo no country have or have a knowledge about their existing ! Patamu sana hapa🇮🇱 na kwao mwenzao ni Mwenzao na ukimchokoza mmoja wanakuja wote kumtetea na Kumsaidia .Baada ya madhara waliyoyapata toka kwa Hitler awa majamaa awataki yeyote awaonee tena au kumbully mmoja wao
Ni Nani huyo? Israel au?
 
Back
Top Bottom