LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Athira ya vita ya Putin kwa Afrika: Njaa
My take: Tanzania itafaidika kidogo kuuza chakula nje wakati bado kuna ziada ya nafaka maana bei zinapanda. Lakini bei zitapanda pia kwa wananchi. -- Mbali na hayo bei ya mafuta na bei ya mbolea wa chumvi inategemea Ukraine na Urusi moja kwa moja, bei zitapanda. - Kama si njaa hapa, itakuwa kuongezeka kwa njaa nchi jirani na ugumu hapa.


Facts to Know About the Russia-Ukraine War’s Impact on Africa

  1. African economies are linked to Russia and Ukraine through food imports and tourism.
  2. Food prices and global food insecurity will likely increase without adequate access to wheat, corn, and oil imports — deeply impacting North Africa, with Egypt alone importing 70% of its wheat from Russia and Ukraine.

Who Is Most Affected and Why?

Citizens and Food Security

... A growing concern coming as a result of the conflict is its impact on food security and hunger rates, both globally and within Ukraine.

... Globally, food prices are expected to soar and hunger is expected to increase, as both Ukraine and Russia are major exporters of cereal grains and vegetable oil. On the African continent, the most impacted region is likely to be North Africa; it is a region that is highly dependent on Russia and Ukraine for cereal grains like wheat and corn, and will be affected significantly by not being able to import grains.

Russia and Ukraine collectively supply roughly 30% of the world’s wheat, with Ukraine being the fourth-largest supplier of wheat and corn in the world. The war will hinder access to these grains, harming African countries that are reliant on that access to feed their people, countries like Egypt, Tunisia, Morocco, Libya, and Algeria.

Due to the north of the continent currently experiencing the worst drought in decades, and some nations not having the industrial ability to support their populations with locally-sourced food, these countries have come to depend heavily on food imports from Russia and Ukraine to keep citizens from experiencing disastrous hunger rates.

Regions across Africa that are already on the verge of famine are also at risk, as aid agencies depend on wheat and cereal grains for famine relief. Countries on the continent that have been identified as hunger hotspots by the UN — as they are on the brink of famine — and need access to such relief foods include Madagascar, Ethiopia, South Sudan, Chad, Burkina Faso, and the Democratic Republic of Congo.

According to Egyptian news platform Enterprise, Egypt is the world’s biggest importer of wheat, and depends on Russia and Ukraine for 70% of its wheat supply. The country’s people were already facing economic strain and limited access to food as a result of Russia adding taxes onto its wheat exports, and now with access to the grain in danger because of the war, Egypt’s food security and economic and political stability are at risk.

The country’s government uses imported wheat to make subsidized bread, and many families deeply rely on this bread. In fact, expensive bread was part of the reason that the country saw an uprising in 2011.

Economies

Cereal grains and corn are not the only concerning factors when it comes to how the war will affect Africa and its citizens. The increased price in oil, which jumped dramatically to its highest price since 2014 after the announcement of Russia’s invasion, will impact the price of transport and subsequently bump up the price of groceries and other products across the continent, further digging into the pockets of people living in poverty on the continent — and pushing more people into poverty.

Russia is also one of the world’s biggest exporters of fertilizer, and the war has resulted in a sharp increase in its price. This has the potential to knock some of Africa’s countries’ food systems, particularly those that are largely dependent on agriculture to not only feed citizens, but also to manage their economies. This also has the potential to increase food prices, further cementing food insecurity on the continent.

Kenya’s Agriculture Cabinet Secretary, Peter Munya, highlighted this issue when he addressed the country’s parliament on March 1, where he noted that the country gets most of its fertilizer from Russia and China, and the price of fertilizer could dramatically increase without a subsidy in place.

Chanzo: How Will the Ukraine-Russia War Impact Africa? Here's What to Know.

Ona pia: Ukraine war piles pressure on global food system already in crisis


 
Ahsante kwa elimu mkuu, watu hawaelewi. Vikwazo vinafanya kazi kwa nchi masikini zisizo offer chochote duniani. Swali la kujiuliza kwanini Hawajaban SWIFT kwenye bank zote za Urusi?
Xi Jinping alimwambia Trump vita ya uchumi haina mbabe, leo hii mafuta yamepanda bei mara mbili USA, je anaumia Putin?

Ushabiki maandazi unawaponza Ulaya, tunapoenda watakataa ukoloni wa USA.
 

Tupe source ya kwamba wanajeshi wa Russia hawaoni umuhim wa hii vita. Ngoja nikusaidie kukuamsha usingizini asilimia kubwa ya wa Russia wanaunga mkono hili suala na wanaimani na putin. Uwepo wa NATO pale ukraine ni hatari sana kwa Russia ukizingatia walianza kutengeneza nyuklia usalama wa Russia ulikua hatarini mfano pale Cuba wakati russia anataka kuweka nyuklia marekani alifanyaje??

Same to Russia uwepo wa NATO pale ungekua hatari kwa russia na warusi wote ndomana putin akashtuka mapema usione mmarekan anachachafya amepoteza mambo kibao pale investment alokua anaifanya pale Ukraine ni pesa mingi imeshakufa ni hasara sana kwake Putin anaakili sana huyu mwamba ni genius.

Achana na western propaganda Warussi wanaona umuhim wa hii vita hawapo tayri adui akae mlangoni kwao. West wanawadanganya sana
 
Ushamjua akili yake na uwezo wake Kiongozi.
Endelea kumpiga nondo mpaka aanze kujitukana mwenyewe.
Ila anajipa elimu ambazo hana
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani vitu vingine kichekesho mno... Bora mjinga yuko radhi kuelekezwa kuliko mpumbav anayehis anajua kumbe hajui...

Hv mfano apa tz ile kiberiti tunaagiza kenya, na vichoko choko kibao tu twaagiza kutoka kenya af mara ghafla tunapiga marufuku kufanya biashara na mkenya ilhal tulivokuw tunavifata kenya hatujavtaftia mbadala....

Si ndo utakuwa mwanzo wa kununua kiberiti cha 100 kwa 500? Haya kule vinakotoka supply itakuwa kubwa maana ake ukija kwe "Demand na Supply rule" ni kwamba kule vinakopatikana vitashuka bei uku vinapanda bei...

Je ataathirika mkenya pekee au n ww mwenyewe uliyepiga marufuku...
Twende mbali zaidi uchumi wetu sie tunafanya imports sana kuliko exports kiasi cha mpaka kitu kiduchu tu ka sukari haitoshi tunaagiza kutoka nje...

Tukiwapiga marufuku hao wanaoleta tunaumia sisi au wao?.... Chinese products zilizosambaa apa Tz ukisema umpige mchina marufuku ataumia mchina au tutaumia sisi...?

Yan mtu mahindi yake kayalima mwenyewe unamringishia et hununui kwake kwan we ndo mnunuzi pekee?...

Tunajisahaulisha ka USA n just 4.25% of world population... Hyo 95.75% n rest of the world... Ko USA so dunia. Haya nenda mbali zaidi kwe hilo kundi la G7...

G7 labda kama halijui ni Canada, France, Germany, Italy, Japan, UK na USA mwenyewe... Je tfaut na yeye anategemea Germany ata terminate normal trade na Russia???

Huu ushabiki tungeuweka kando apa tungejifunza mengi mno ila sasa uzi umegeuka ka kijiwe cha kahawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Freedom is priceless.
Statement ya West wakikubali kuwa hizi sanction nao zitawaumiza ila lazima wazitoe. Huku wakiongeza msaada wa silaha.
 
Mpendwa, Ukraine imelalamika tangu miaka 12 kuwa NATO hakupokea Ukraine. NATO haiko Ukraine, kama ingekuwepo Urusi ingeogopa kuivamia. (Kama umemsikia mheshimiwa Rais Putin, aliona sehmu zote za Umoja wa Kisovyeti wa zamani zisingeruhusiwa kuondoka; sasa anashambulia Ukraine (ambayo si NATO) lakini hajagusa Latvia, Estonia, Lithuania ambao ni NATO.

Tuangalie pamoja jinsi gani genius Putin anazamisha uchumi wake.
Ukraine waliachana na silaha za nyuklia nyingi mwaka 1993 na kuzikabidhi kwa Urusi. Wakati ule Urusi iliahidi kimaandishi kuliunda umoja na usalama wa Ukraine. ("Paris agreement")
Tuangalie jinsi gani genius Putin anaongeza sifa za nchi yake na imani katika ahadi zake!
(Ukiwa na kijitabu cha historia soma tena: Marekani walichukia Kuba na Castro, walitisha vita wakati Warusi walileta makombora ya nyuklia, baada ya kuondoka kwa silaha waliendelea kuishi na jirani Kuba kwa kumchukia LAKINI bila kuvamia, bila kurusha mabomu, bila kuchinja watoto wake... - endelea kulinganisha!!)
 
The scale of the losses shows the utter unsuitability of the Russian army, - former Swedish Prime Minister Carl Bildt

"I heard calculations in Washington that after two weeks about a quarter of the Russian military equipment during the invasion of Ukraine had been destroyed or rendered unusable. I remember from ancient military times that a military unit with losses of a third is considered unfit," he wrote on Twitter.
 
 
Sijaelewa ulichoandika. Nadhani umeandika ukiwa kwenye mawazo yako binafsi ukidhani unaandika kwaajili ya public!?

Hivi unajua sababu ya Russia kuingia Ukraine!?
 
Sijaelewa ulichoandika. Nadhani umeandika ukiwa kwenye mawazo yako binafsi ukidhani unaandika kwaajili ya public!?

Hivi unajua sababu ya Russia kuingia Ukraine!?
je unajua wewe? Mimi sina uhakika. Najua anachosema Putin - ila si rahisi kuelewa anachofikiri kweli.
  • anasema anataka kuokoa Warusi katika Ukraine wanaochinjwa. Sijaona uthibitisho wowote, kinyume naona watu wa Kharkiv (asilimia 70+ Waukraine Warusi) wanapigana kwa nguvu dhidi ya jeshi la Putin.
  • anasema kwamba Ukraine si nchi , ni sehemu ya Urusi. Ni haki yake kuwaza vile lakini ni haki ya watu wenyewe kuamua kama wanataka kuendelea kuwa nchi huru au kujiunga naye. Hadi sasa hawakutaka. Wana ahadi ya Urusi ya kulinda Ukraine ya mkataba wa Paris - ila ahadi ya Putin ni kinyume...
  • Putin amelalamika kwamba NATO imeviringisha Ukraine - nikiona ramani NATO inapakana na Ukraine kwenye %% 5 ya miapaka yake. Hmmm. (yeye anaiona pia)
Wewe unajua nini??
 
“In terms of common sense, what Germany is doing is shooting itself in the foot. A shot at your industry, at a business, a shot at ordinary households.

Germany intends to abandon Russian coal by autumn, and from oil by the end of the year, said German Economy Minister Robert Habeck. This could end in an energy collapse, says Nikita Danyuk, a member of the Russian Public Chamber.

In a conversation with RT, he emphasized that in Germany today 30% is Russian gas, "just the one without which Germany's energy security simply cannot exist."

There is nothing to replace it, Danyuk added: “Neither American shale gas, nor gas from Norway (because there is not enough capacity), much less alternative energy.”
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…