Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Video ikionesha makomandoo wa jeshi la Russia wakiuteka uwanja wa ndege nchini Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Usiniite mimi mpendwa.Mpendwa, tafadhali: FUATA HABARI! Kabla ya uvamizi Putin alitoa hotuba ndefu ambako alirudia kwamba Ukraine si nchi kweli. Si mara ya kwanza, nimekuta hapa gazeti la kirusi Komersant ya 07.04.2008 https://www.kommersant.ru/doc/877224 ambako ananukuliwa "Когда же речь зашла об Украине, Путин вспылил. Обращаясь к Бушу, он сказал: "Ты же понимаешь, Джордж, что Украина — это даже не государство! Что такое Украина? Часть ее территорий — это Восточная Европа, а часть, и значительная, подарена нами!" Tafsiri yangu: “When it came to Ukraine, Putin flared up. Addressing Bush, he said: , George, that Ukraine is not even a state! What is Ukraine? Part of its territory is Eastern Europe, and part, and a significant one, was donated by us!"
Alirudia yaleyale, sasa sina nukuu ya Kirusi ya hotuba yake ya Februari- ona Business Insider 22.02.2022: "Putin said in a Monday speech: "Ukraine has never had its own authentic statehood. There has never been a sustainable statehood in Ukraine."
Russia wana mtindo wa kushambulia miundombinu na majengo na kuyavunja yote kwa makombora.Unaweza ukaifafanua zaidi?
Ulisikia wapi vita inamachoWarusi wamepanick,wameanza kushambulia maeneo ya raia.Baada ya hospital Sasa wameshambulia msikiti!View attachment 2147924
Ndio maana kuna hobby nyingi jamani msitupangie hobby zenu wengine mnapenda football, Music, Swimming wengine tunapenda kuona milipuko ya mabomu na uharibifu yaani hapo nafsi zinapata furaha tena ngoja niagize popcorn saa mbili imekaribia niwashe TVHe here mrussi wa Naliendele naona umetubalishia na la Avatar umeweka ka ZERO kenu eeeh?Zero Ni failure....mtafeli njooni kambi la ushindi
Jahazi linazama tangu day 1 ya kuvamiwa. Huenda maji ni mazito kama uji halizami haraka.Huoni hapo amekimbilia Israel ndio waokoe jahazi lake linalozama.
Wakipiga Nyuklia hata Belarus ambao ni washirika wao hawatapona, nyuklia itaathiri Northern Hemisphere yote...yaani mpaka London, Milan na Paris wataathirikaSema urusi mafala sana si wapige bomu Moja matata sana (hata la nyuklia ) sawa tu Ili marekani na washirika waingilie nao wapigwe mabomu ya masafa marefu (kwao) waonje joto la vita na wao kdg
Mkuu hii sio vita bali ni operation ya kijeshi, ndio maana anatoa hata muda wa raia kuondoka...Ila wadau kuna jambo natafakari sipati jibu. Ni nini hasa Russia anachokitaka maana hii yakutaka wananchi waondoke kwenye Miji/ nchi yao ndio nashuhudia kwa Mara ya kwanza kwenye hii Dunia.
Wapiiii! Ukraine Ina watu wewe!Ubalozi Ukraine njaa tupu
Yaani hawa maboya wanafundishana kwenye makazi ya raia ndio maana Wasoviet wanalipua majumba yote kuyageuza kifusi
Ataangukia kwenye mikono ya wanyang'anyi tuRais wa Ukrane imani imekufa kabisa kwa NATO.
Attack helicopter ya jeshi la Russia Ka-52 ilivyoangamiza magari ya kijeshi ya Ukraine
Wewe hapo mamzese kwa bi nyau unamiliki simu gani!?tuwe wakweli, haya mahelcopter ya hatari, madege ya hatari, mavifaru ya hatari ya russia, hatujaona kama yamefanya kile tulichotarajia. hata ukraine yenyewe haijaona hilo. kwa masilaha hayo tulitegemea hadi sasaivi biashara iwe imeisha, na wanajeshi wa urusi wasingekufa wengi namna ile. nimeamini vita mbali na silaha ni ujasiri na nia ya kuamua tu kupigana. ukiamua kupigana hata ukiumia lakini adui lazima naye aumie.
Mpendwa (!!!), ninakuita jinsi ninavyopenda. Menginevyo: Uliuliza kuhusu Putin, ulipata jibu la Putin mwenyewe, nukuu ya Kirusi - unataka nini zaidi?1. Usiniite mimi mpendwa.
2. Nakushauri ujifunze geopolitics.
3. Nimekueleza usidhani humu JF watu ni mbumbumbu kama mtaani kwako. Endelea kuwadanganya hapo mtaani kwako but not here.
4. Jifunze historia na upate kuijua Russia. Eneo la nchi ya russia ni kubwa kuzidi China, USA, India combine. But population yake ni ndogo ukilinganisha na USA. Sasa unadhani Russia wanauhitaji wa eneo!?.
5. Russia ni nchi inayoongoza duniani kote kwa kuwa na madini mengi. Unafikiria Russia anahitaji nini Ukraine.
Nakushauri: NENDA SHULE KAJIFUNZE KWANZA NDIO UJE KUJADILIANA NA MIMI.
Teh...teh...teh....Picha za setiliti zaongea zaidi (picha zilizochukuliwa kabla ya mashambulizi June 2021, na za baada ya mashambulizi March 9, 2022)tuwe wakweli, haya mahelcopter ya hatari, madege ya hatari, mavifaru ya hatari ya russia, hatujaona kama yamefanya kile tulichotarajia. hata ukraine yenyewe haijaona hilo. kwa masilaha hayo tulitegemea hadi sasaivi biashara iwe imeisha, na wanajeshi wa urusi wasingekufa wengi namna ile. nimeamini vita mbali na silaha ni ujasiri na nia ya kuamua tu kupigana. ukiamua kupigana hata ukiumia lakini adui lazima naye aumie.
Kaka na wewe hupendi jibu la Putin eti Ukraine si nchi kweli? Hongera!! Tuko pamoja!!Point ya 4 na 5... big Up Mzee
mwambie akatafute history two advance1. Usiniite mimi mpendwa.
2. Nakushauri ujifunze geopolitics.
3. Nimekueleza usidhani humu JF watu ni mbumbumbu kama mtaani kwako. Endelea kuwadanganya hapo mtaani kwako but not here.
4. Jifunze historia na upate kuijua Russia. Eneo la nchi ya russia ni kubwa kuzidi China, USA, India combine. But population yake ni ndogo ukilinganisha na USA. Sasa unadhani Russia wanauhitaji wa eneo!?.
5. Russia ni nchi inayoongoza duniani kote kwa kuwa na madini mengi. Unafikiria Russia anahitaji nini Ukraine.
Nakushauri: NENDA SHULE KAJIFUNZE KWANZA NDIO UJE KUJADILIANA NA MIMI.