LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi akidondoka anayefuata ni China na west watatafuta sababu mbalimbali mpaka wampate either military au kiuchumi.
Hivyo china inafahamu nini Cha kufanya kwa wakati huu.

Bado China inaapply mixed economy, huwezi tu kuingia soko la china hovyo hovyo.
Kwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.
Hapa russia anaweza kushusha bei ya raw materials zake akawauzia washirika kama china na india, production cost zitazid shuka huku za ulaya zikizid panda. Mfano kama tan moja ya chuma ishafika usd 100,000 unategemea scania gari za ulaya bei yake itaruka kwa mara mbili ya bei yasasa huku mchina akiendelea kupata chuma kwa bei rahisi, mwisho wa siku viwanda ulaya vitafirisika au vitalazimika kuhamia kwenye nchi ambazo raw material iko chin.
Mfano leo tu karibia nusu ya viwanda finland viko hoi sabab ya bei ya umeme hapa hatujafikisha mwez.
Nchi ulaya zinaenda firisika kwa mgogoro huu
 
Nahakika kwa komenti zako zile wewe si mchumi.

Sio tu uchumi, wewe pia huwezi kuwa Mwanasheria, Accountant, Engineer of all forms, Huwezi kuwa expert wa Biashara hata Agribusiness ya pale SUA.

Kwa sababu tunatumia majina feki humu lakini mtazamo, uwezo , ufahamu, utaalamu, uzoefu unaonyesha kila kitu Cha mtu.
Sawa wewe ndio Mchumi.
 
We've also been hearing today from Russian Deputy Foreign Minister Sergei Ryabkov.

He has warned Western arms convoys to Ukraine could be “legitimate targets” for the Russian Armed Forces.

Speaking on state TV, Mr Ryabkov said: “We have warned the US that pumping weapons into Ukraine, which they have orchestrated, from a number of countries, is not just a dangerous move - it is a move that turns these convoys into legitimate targets.

"We have warned of the consequences that can result from this reckless transfer to Ukraine of such types of weapons as portable air-defence systems, anti-tank missile systems and so on.”

The minister then claimed that the US did not take Russia’s warnings seriously.

Tanzania na sisi tununue hizi MANPAD na zile drones za Uturuki, Russia kala kibondo sana
 
wamagaribu wametest uimara wa silaha zao na ukraine hata haelewi kama wenzake wapo kwenye practical field. tz hatuhitaji kupoteza hela kununua haya mavitu, hatutegemei kuwa na vita any time soon, vita dhidi ya nani? na kwasababu gani? labda dhidi ya zenji wakitaka kujitenga.
 
Mpendwa (!!!), ninakuita jinsi ninavyopenda. Menginevyo: Uliuliza kuhusu Putin, ulipata jibu la Putin mwenyewe, nukuu ya Kirusi - unataka nini zaidi?
Ukisema Putina ana eneo la kutosha - TUKO PAMOJA! NAKUBALI!! Ila jibu hilo umwambie Putin, si mimi.
Jibu lake hujapenda, sawa. Na mimi sipendi. Huyu ana njaa. Hivyo ndivyo maisha jinsi yalivyo.
Angalau hapa mtaani kwangu watu hawana matata kuangalia mawazo mbalimbali. Karibu kwetu!
Mtaani kweni maboya.
 
wamagaribu wametest uimara wa silaha zao na ukraine hata haelewi kama wenzake wapo kwenye practical field. tz hatuhitaji kupoteza hela kununua haya mavitu, hatutegemei kuwa na vita any time soon, vita dhidi ya nani? na kwasababu gani? labda dhidi ya zenji wakitaka kujitenga.
Yupo Malawi mzee.
 
Siyo kirahisi hivyo mzee. Ukiwa weak wakenya watakuchokonoa mpaka kwenye makalio
lakini vile vidude aisee vipo vizuri sana. vinadungua mavifaru, imagine umenunu akifaru kimoja kwa bilioni mbili mfano, halafu kaduke kamebebwa mkononi tu kanadungua na kuteketeza kifaru kizima. ni invention nzuri sana kivita. tunaweza kuwa na pesa chache tu tukanunua silaha za kutosha. drones zinauzwa kwa garama sana mabilioni, ila uto tudude sio gharama. serikali inunue hata tukiweka kabatini sio mbaya.
 
Mzee umeshawahi hata kupiga mguu pande mguu sawa!?
 
Kwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.
Hapa russia anaweza kushusha bei ya raw materials zake akawauzia washirika kama china na india, production cost zitazid shuka huku za ulaya zikizid panda. Mfano kama tan moja ya chuma ishafika usd 100,000 unategemea scania gari za ulaya bei yake itaruka kwa mara mbili ya bei yasasa huku mchina akiendelea kupata chuma kwa bei rahisi, mwisho wa siku viwanda ulaya vitafirisika au vitalazimika kuhamia kwenye nchi ambazo raw material iko chin.
Mfano leo tu karibia nusu ya viwanda finland viko hoi sabab ya bei ya umeme hapa hatujafikisha mwez.
Nchi ulaya zinaenda firisika kwa mgogoro huu
Hadi [emoji634] Italy hali ni kama ya finland
 
Back
Top Bottom