concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Kwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.Urusi akidondoka anayefuata ni China na west watatafuta sababu mbalimbali mpaka wampate either military au kiuchumi.
Hivyo china inafahamu nini Cha kufanya kwa wakati huu.
Bado China inaapply mixed economy, huwezi tu kuingia soko la china hovyo hovyo.
Hapa russia anaweza kushusha bei ya raw materials zake akawauzia washirika kama china na india, production cost zitazid shuka huku za ulaya zikizid panda. Mfano kama tan moja ya chuma ishafika usd 100,000 unategemea scania gari za ulaya bei yake itaruka kwa mara mbili ya bei yasasa huku mchina akiendelea kupata chuma kwa bei rahisi, mwisho wa siku viwanda ulaya vitafirisika au vitalazimika kuhamia kwenye nchi ambazo raw material iko chin.
Mfano leo tu karibia nusu ya viwanda finland viko hoi sabab ya bei ya umeme hapa hatujafikisha mwez.
Nchi ulaya zinaenda firisika kwa mgogoro huu