Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya XI kugoma kupokea simu hivi ndivyo Hali ilivyo.
Screenshot_20230412-090743.jpg
 
Mkuu huyo

Mkuu huyo Rais wa Ufarance amechemsha; kwa hiyo hataki tena kuwa chawa wa Merican bali anataka kuwa chawa wa Mchina au Mrusi? Mshaurini abakize maneno, kuna kesho.
Soma uelewe kenge wewe
Amesema hataki kuwa mfuasi wa usa katika mgogoro ukraine wala china kwa Taiwan
Manake anahitaji kama taifa washughulike nanmambo yao wenyewe na sio kuwa chawa
 
Mrusi kamatia hapo hapo hakuna kuachia wameanza kulegea


EU Nation Hit By Wave Of Bankruptcies

The number of bankruptcies in the Netherlands has more than doubled in the first quarter of 2023, the NL Times portal reported, citing data by Faillissements Dossier.

According to the report, cafes, restaurants, retail shops, and online retailers have been the most affected businesses.

Some 781 companies and institutions reportedly went bankrupt in the country from January to March, compared to 506 a year earlier. The data showed that the number of bankrupt cafes and restaurants nearly tripled to 54.

The report attributed the growing number of insolvencies in the Eurozone's fifth-largest economy to a sharp increase in energy prices and high inflation levels.

Subscribe to RT
 
Ukraine wameanza tena kuuza umeme Ulaya kama kawaida kuanzia jana,Waziri wa Nishati wa Ukraine German Galushchenko kasema.

‘Ukraine resumes electricity exports to Europe .
German Galushchenko, Minister of Energy of Ukraine, speaks with Reuters in Kyiv, Ukraine’
Fashisti Putin alifikiri atafanikiwa kuzuia mkondo wa maji Kwa matope!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]



The Armed Forces of Ukraine eliminated about 180,050 russian troops in Ukraine from February 24, 2022 to April 12, 2023, including 730 invaders over the past day alone.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298] U.S. Secretary of Defense Lloyd Austin has said that Ukraine currently has much of the capability for achieving success in its potential counteroffensive operation.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298] Munitions for air defense systems promised by Canada are already on their way to Ukraine, an official in the office of Defense Minister Anita Anand told CBC News.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii vita Ina Ukatili Mwingi tusio Ujua!!
Yaani Jana Jioni Nimetazama kipande cha Video Japo sijaweza Kimaliza
Askari wa Kirusi Akimchinja Askari wa Ukrein Huku akilia kwa Maumivu na Kuomba Asamehewe Sielewi Alifanya Nini!!
ila maranyingi Askari wa Ukrein ndio walio Kuwa Wahusika wakuu wakuchinja Askari wa Urusi mara kwa Mara
nilikuwa sijaona Askari wa Kirusi Akifanya hivyo!!
Kuna Sehemu Nimeuliza Mbona Askari wa Urusi huwa Hawafanyi Hivyo
Hii imekuwa kwa Kijana Huyo!
Nikajibiwa Kuwa Huyu nimoja wa Askari walio kuwa wakichinja Raia Walio Kuwa Wakiunga mkono Urusi Live na Kutuma Mitandaoni
pia Alihusika Kuchinja Askari kazaa wa Chenchen
Ndio wakaona Wampe malipo kama Aliyo wafanyia Wenzie!
Inasikitisha Aisee!!
 
Siyo sahihi. Kuna wengine huku kwa mfano ninaweza kuwa na purchasing power kutokana na sababu mbali mbali na nisiwe tajiri.

Mfano, Ulya, mtu anaweza kwenda dukani akasema anataka kununua gari let’s say Tesla inayogharimu euro laki moja, na hana hela hiyo, mnunuzi anaingia kwenye system ya credit information anacheki, kama huyo mteja hajawekwa kwenye orodha ya wadaiwa sugu, anaingia mkataba wa kununua gari kwa mkopo. Of course kinachoangaliwa hapo sasa ni uwezo wako wa kulipa kutokana na kipato chako cha kila mwezi na utachagua kiasi unayomudu kulipa kwa mwezi.

Gari unaweza kulipa hata miaka kumi. Hapo ukiiangalia utadhani mpuuzi ana hela kia purchasing power iko juu, kumbe ni mfumo tu wa ulipaji umewekwa na unafanya kazi.

Ulaya wengine wanaenda holiday kwa mikopo, una sign tu mkataba wa malipo. Mfano mimi 2021 nilitaka kuja bongo na mishe zangu, nikapiga hesabu nikaona kwa savings zangu sikutakiwa kuitumia kwenye nauli. Nilichofanya ni kwenda ofisi za wanaokata ticket, nikaingia mkataba, nikapewa ticket. Mpaka leo bado nalipa ile ticket wakati safari yangu nilimaiza almost miaka miwili iliyopita.

So to some extent, purchasing power does not necessarily mean people are individually rich. It could be due to some other factors too.
Kwani hiyo miopo ya magari na nyumba hapa bongo hamna? Ni watanzania wangap wanaweza kununua tesla kwa mkopo hata wa miaka 20? Nyumba tu za 75mill kwa miaka 15 hatukopesheki ndio tesla? Ukubali ukatae ukiona nchi watu wanamudu kununua tesla, ferrari etc, jua hiyo nchi wananchi wake ni Tajiri na hiyo ndio maana halisi ya high purchasing power.
 
[emoji779]️Minister of Foreign Affairs of Ukraine Dmytro Kuleba called to expel Russia from the UN after a video of the execution of a Ukrainian prisoner.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Prime Minister of Ukraine Denys Shmyhal believes that his visit to Canada on April 11 and the meetings held there were effective and productive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom