Tokea mwanzo Macron amekuwa hayuko nao kimkakati na ndo maana ni yeye aliekuwa akienda Moscow kumuona Putin na si kiongozi mwingine yeyote wa EU.Wakuu
Kuna yule kibibi kinachoitwa Ursula von der Layen - President of EU Commission.
Huyu bibi alienda China pamoja na President Macron, ila wa China wakamdhalilisha kwa namna ambayo hakuweza kuamini.
Tokea atoke China, hajasikika kabisa, lakini kabla ya kwenda China alikuwa anachonga sana eti Chinese lazima waseme hadharani kwamba they are against Russia.
Lakini kimerudi sijui kimejificha wapi.
Mwenzake Macron amerudi amekuwa ni kama akili ndio zinaanza kumkaa sawa.
Hapo Biden anamchota akili Zelensky akubaliane nae vigezo anavyovitaka yeye ndio amsaidie tena...kamuacha ajipambanie kwakua anajua atashindwa ili Zelensky akishikwa tamaa basi ajikute ameweka mikataba ya kitumwa kwa nchi ya UkrainRussia has switched to 'scorched earth' tactics in Bakhmut, says top Ukrainian general
Fighting has been fierce in the Ukrainian city of Bakhmut for months, as Wagner Group mercenaries relentlessly push to gain control of the region.
Oleksandr Syrskyi, commander of Ukraine's ground forces, said today that Russian troops have switched to "scorched earth" tactics in the embattled eastern city.
This is a military policy in which the enemy attempts to destroy anything useful for its opponent to fight back. This can include bases, weaponry, supplies - and even crops.
"The enemy switched to the so-called scorched earth tactics from Syria," Mr Syrskyi said. "It is destroying buildings and positions with air strikes and artillery fire."
Despite this, the commander said that Ukraine's defence of Bakhmut continues.
"The situation is difficult but controllable," he added.
Mr Syrskyi also claimed that Russian forces were bringing in airborne assault units to aid their attack, as Wagner fighters have become "exhausted".
==========================
Asilimia 80% bado sio sawa na 100%, bado Bakhmut pagumu japo wavamizi wana 'upper hand'..
"It is not only the mobilized who should be mobilized, those who go to the front, but all the society should be mobilized,” Prigozhin said in an audio posted on his Telegram channel, in reaction to Russia’s new electronic conscription bill. "Starting from simple workers who are actually ready for this process."
Ufaransa alikuwa na kandarasi nono ya kutengeneza submarines za Australia. Marekani na Uingereza wakamrubuni Australia kitapeli na kupokonya kandarasi ile.Ufaransa kama Simuelewi elewi kwasasa
Kazuia EU kupeleka Vilipuzi Ukrein
View attachment 2585486
France blocked the EU decision on the supply of ammunition to Ukraine - РАР
Ndio maana jamaa kaamua kumwaga ugali!Ufaransa alikuwa na kandarasi nono ya kutengeneza submarines za Australia. Marekani na Uingereza wakamrubuni Australia kitapeli na kupokonya kandarasi ile.
Ufaransa hana hamu tena na matapeli hao 😆😆.
Kwa mtazamo wangu, naona Macron amechukizwa sana na taarifa za Pentagon zilizovuja zinazoeleza kwamba USA amewa set Europe kwenye huo mzozo wa Ukraine.
Ndio maana unaona kuna hizo kauli za Europe inatakiwa ijitegemee, iwe independent na isijiingize kwenye vita/migogoro isiyowahusu.
Yaani Jamaa amehangaika sana Mngemwambia Xi haongei na mashogaBaada ya kile kipigo tu
Akaanza Kuhaha kupata Hotline ya Xi Akaambulia Patupu
Sasa hivi utaona Antony Blinken anasafiri kwenda Europe kutuliza huu upepo.
Ufaransa kama Simuelewi elewi kwasasa
Kazuia EU kupeleka Vilipuzi Ukrein
View attachment 2585486
France blocked the EU decision on the supply of ammunition to Ukraine - РАР
Russia risks 'becoming an economic colony of China,' CIA director says
Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping arrive for a signing ceremony at the Kremlin in Moscow, Russia March 21, 2023.
Grigory Sysoyev | Sputnik | Reuters
Russia's reliance on China as one of its key remaining allies is growing amid its increasing isolation as a result of its invasion of Ukraine. Because of that, Moscow risks becoming something of an economic dependent on Beijing, the director of the CIA said.
"Russia is becoming more and more dependent on China and, in some respects, runs the risk of becoming an economic colony of China over time, dependent for export of energy resources and raw materials," CIA director WIlliam Burns said while delivering remarks at Rice University in Houston.
China's yuan has already become much more prominent in Russian markets. According to Russia's central bank, Russians purchased 41.9 billion rubles worth of the Chinese currency in March. That's more than three times the 11.6 billion rubles worth of yuan bought in February, the bank said.
During Chinese premier Xi Jinping's state visit to Russia in March, he and Russian President Vladimir Putin pledged to continue their close friendship, while Western countries warned Beijing against supplying weapons to Moscow. So far, there has been no indication that China has done such a thing, U.S. officials say.
Trade overall between Russia and China jumped by 29.3% to $190 billion in 2022, up from $147 billion the year prior, according to Chinese customs figures cited by the South China Morning Post.
— Natasha Turak
Sasa hivi utaona Antony Blinken anasafiri kwenda Europe kutuliza huu upepo.
EU naona wameshachoka sasa na hii vita ya USA hapo Ukraine.
Chanzo cha habari yako??? Hivi habari hii iwe ya kweli alafu uipate wewe kabla ya kp kipanya44 maviii,, na kama hii habari ingekuwa ya kweli basi hivi zamani ishafunguliwa uzi na lile kubwa jinga la kikenya MK254Serikali ya Russia kupitia bunge la Duma, limepanga kupitisha sheria mpya ya kulazimisha vijana wa nchi hiyo kuingizwa moja mwa moja jeshini ili kwenda Ukraine kwenye vita.
Zoezi hili lilifanyika mapema mwaka huu ambapo vijana wengi walipinga zoezi hilo na kuwepo kwa maandamano.
Safari hii serikali ya Russia imeamua kupitisha zoezi hilo kwa kuzima huduma zote muhimu kwa wananchi ambao wapo kwenye umri wa kuingia jeshini na watapinga zoezi hilo.
Russia ina mfumo mmoja (Gosuslugi) wa kutoa huduma zake kwa wananchi zikiwemo huduma za kusajili biashara, kufanya maombi ya leseni ya udereva na kuongeza muda, kuhamisha anuani ya unapoishi kufungua akaunti benki na kuomba mkopo, kuanzisha biashara na kuomba pasi ya kusafiria.
Hivyo kwa kutumia anuani ya barua pepe serikali imeamua badala ya kutumia kipande cha barua au Notice kama pale mwanzo iloitwa "Partial Mobilization" safari hii mwananchi yoyote ambae ni mlengwa atapoksea ujumbe kupitia sanduku la barua pepe aikimtaarifu kuwa amechaguliw akwenda vitani na ana siku 20 za kujiandikisha.
Endapo mtu ametumiwa ujumbe huo na akaudharau sheria itayopitishwa na Duma itataka mtu huyo asipate huduma zozote za "Gosuslugi" ikiwemo kutoweza kufanya kazi za kujiajiri.
Achana kabisa na Wachina,Wachina sio watu,washamloga huyu.wakuu huyu macron au ametolewa copy Baada ya kwenda china [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yupo Netherlands lkn bado anaendeleza compaign Europe kutokuwa remote ya USA Kwenye migogoro yake na nchi nyingine. Mfano hapa " Europe must not be a "follower" of either Washington or Beijing on Taiwan."
Pia anashangaa Europe alikuwa mbabe eti Leo yeye ndo anapangiwa na USA nini kifanyike ......Nani awekewe sanctions[emoji23][emoji23]
nukuu " This means that we must strive to be rule-makers rather than rule-takers."
Je. Unabii ndio unaenda kutimia kuanguka Kwa ule mti mkubwa wa magharibi???
............hotuba yake hii
Macron outlines vision for 'European sovereignty’ at a Hague speech disrupted by hecklers
French President Emmanuel Macron delivers a speech to the Nexus Institute in the Amare theatre in The Hague on April 11, 2023 as part of a state visit to the Netherlands. [emoji2398] AFP - Ludovic Marin
Speaking at the Hague on Tuesday, French President Emmanuel Macron spoke of his vision for a new era of “European sovereignty” in which the Continent can choose its own partners and “shape its own destiny”. His address was briefly disrupted by protesters who attempted to shout him down.
Macron's speech, made during the first state visit to the Netherlands by a French president in 23 years, was closely watched by analysts and allies alike as it centered on European sovereignty. It came just days after the French leader sparked concerns among allies after he said in an interview that Europe must not be a "follower" of either Washington or Beijing on Taiwan.
“European sovereignty” might have once sounded like just a “French idea”, Macron said, or even “wishful thinking”, but pointed to the danger of a Europe that is too dependent on other world powers, saying it places Europe in the position of not being able to decide for itself.
European sovereignty should mean that the Continent can “choose our partners and shape our own destiny” rather than being “a mere witness [to] the dramatic evolution of this world”, he said.
“This means that we must strive to be rule-makers rather than rule-takers."
But Macron also said Europe would maintain robust relationships with its allies.
"[T]his we can do in a cooperative manner in keeping with our spirit of openness and partnership.”
Macron said the pandemic was a “wake-up call” as Europe discovered how dependent it was on other nations.
Protesters disrupt speech
Just as Macron began his address, protesters disrupted the speech.
“Where is French democracy? When did we lose it?” they shouted from the theatre, in a likely reference to the French president’s controversial pension reform at home.
Two female protesters held up a yellow banner saying “President of violence and hypocrisy” while one male protester on the other side of the theatre held a blue banner aloft.
“I can answer this question if you give me some time,” Macron responded.
Security guards escorted the demonstrators out of the hall after about one minute, and Macron noted that: ‘A democracy is exactly a place where you can demonstrate.”
He went on to say that it was “very important to have social debate” and that “I can answer all the questions you have on what we are discussing in France”.
Take international news everywhere with you! Download the France 24 app
People who do “whatever (they) want” against laws they disagree with “put democracy at risk”, he said.
Macron is facing the biggest challenge of his second term over his flagship pension overhaul, which includes raising the retirement age from 62 to 64 and demanding people work longer for a full payout.
The 45-year-old French leader has faced a series of protests and strikes in France against the reform, with a new day of industrial action scheduled for Thursday.
(FRANCE
Upumbavu wake ni kuandika hivyo??Taharifa?!?!?!?! Duh....stupid