Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The European Union and the Swedish Presidency of the Council of the European Union are working intensively to find a legal way to enable the Russian assets frozen in connection with the aggression to be used in the reconstruction of Ukraine.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo wachukue tu tunazovuna huko Donbas Ni assert nyingi Sana.
 
[emoji298]️Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, has introduced a bill about terminating an agreement with Belarus about mutual protection of state secrets to the Verkhovna Rada of Ukraine, the parliament's official website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walichelewa sana. Ingetakiwa wavunje tangu mwezi wa tatu mwaka 2022
 
Hii nibora Kuliko ya Ukrein kukamatwa Barabarani Hakuna Cha nini unapakiwa kwenye Gari Safari hakuna kuaga Kaka,Mtoto wala Mama
pia Hawaangalia Kilema wala Mgonjwa
na Nilazima
Hadi wale ma-tom boy wenye hati za uthibitisho wa kuhama jinsia ya kike na kuitwa mwanaume japo anapata P km kawaida nao wanabebwa hadi frontline maana ameshahesabika kama mwanaume shupavu wa Ukrain[emoji23][emoji23]
 
Na yaweza pia kuwa hiyo ni kazi ya GRU.

Kwamba ninyi mwasema hamshiriki moja kwa moja vita hii mbona mna watu 97 ndani ya Ukraine?

Yote yawezekana.
Mimi pia na mashaka na hizi taarifa huwenda zimetoka ili kulazimisha Vita Kati ya urusi na NATO
Maana ukiangalia Kwa umakini ni kama ulaya wamechoka na hii Vita sasa wanatafuta njia ya kujitoa, na hizi hotuba za France zinazidi kuongeza Kasi ya ulaya kuachana na vita, sasa kinachofanyika ni kuingiza NATO kwenye vita kabla NATO haijavunjika maana kama wakiingia vitani sasa hivi inakuwa Ile room ya uchaguzi wa kujitoa inatoweka maana mnakuwa katika wakati wa kujilinda na mambo mengine inabidi yasimame
 
UN wapo kwenye Makubariano ya Kumrudisha Russia kwenye Mfumo wa SWIFT
ili kurahisisha Makubariano ya Ngano Barani Ulaya

Polepole Ukweli Utajulikana kwamba nani Anaumia na Vikwazo na Nani anamtegemea Mwingine Zaidi

URUSI SIO ZIMBABWE

The UN is negotiating the return of Russia to SWIFT for the sake of the Grain Agreement
Mimi naona ni ujanja tu kusema wanamrudisha Russia Kwa ajili ya grain deal Ila ukweli ni kuwa USA anafeel maumivu ya vikwavyo alivyoviweka, anakosa pesa nyingi Kwa kitendo chake cha kuzuia Russia asitumie SWIFT sasa anatafuta njia ya kurudisha mfumo huo kwenye soko la urusi,

Kingine kashagundua watu wanaachana na dollar Kwa kisingizio wakitaka kuagiza mafuta au bidhaa Urusi inabidi watumie pesa za nchi husika Kwa sababu ya vikwazo alivyowekewa urusi

Kwa lugha nyepesi USA anaanza kuhisi maumivu ya kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia baada ya kuitenga urusi, maana ndiyo imesababisha China na urusi kukua Kwa ushawishi wao Kwa Kasi duniani
 
hiyo leaks yenyewe Urusi haiamini sembuse weye - sawa Mrusi wa buza tumekusikia.
IMG_20230413_111230.jpg


Naona mmeamua kupigana spana 😆😆😆😆😆😆😆
 
Baada ya Siku 30 China na Misri zitafanya Biashara Kwa Pesa Zao zandani
yaani Paund ya Misri na Yuan ya China pekee



China decides after 30 days that it will deal with Egypt in the Egyptian pound and the Chinese yuan in commercial transactions
Egypt will provide $17 billion worth of imports from China
 
Mkuu ni kweli anatumia hao wana jeshi wa kulipwa, wengi wao wakiwa wafungwa wa jela mbali mbali za ndani na nje ya Nchi yake. Mkuu ebu tuelimishane kidogo juu ya "Nchi kutumia jeshi la kununua badala ya Jeshi la Nchi yako"? Yaani Nchi ipo kwenye vita, tena vita kubwa unatumia jeshi la kukodi na wale wa kwako wana kula bata". Hii tafsiri yake ni nini? Tupeane maarifa Wakuu.
Kuna sehemu kwenye hii mada nimefafanua ni mbali huko juu.

Ila kwa kifupi sana ni kwamba Russia ikiwa ni nchi kubwa na yenye maslahi sehemu kadhaa za dunia hii ina majeshi ya kukodi ambayo yasimamiwa na MoD na GRU ambayo ni idara ya ujasusi wa kijeshi ya Russia.

Jeshi hili la Wagner ndilo lilochukua Crimea mwaka 2014 wakiwasaidia waasi wa Donbas walokuwa wakipigana kujikomboa kutoka kwa serikali ya Ukraine.

Mwanzilishi wa jeshi hili la akiba au Private Army aitwa Dmitriy Utkin ambae alikuwa ni luteni kanali na brigedia kamanda katika idara nyeti ndani ya GRU ambayo kazi zake ni siri. Russia si tu wana Wagner bali pia wana kampuni kubwa ya ulinzi ilitwayo Moran Security Group iloundwa na wanajeshi wa zamani ambayo ina mikataba ya kutoa mafunzo sehemu mbalimbali duniani.

Kuna kampuni ingine inoitwa Slavonic Corps ambayo ina ofisi Hong Kong na Utkin alikuwa akifanya nayo kazi na akawa yupo Syria kwenye SO.

Mkuu wa OPs za Wagner barani Afrika ni kanali Pikalov au jina lake la kazi ni Mazay na hata raisi mmoja hivi barani Afrika ana mshauri wa usalama ambae ni raia wa Russia.

Russia pia wana kikosi maalum ndani ya jeshi ambacho chashugulika na masuala ya baiolojia tu na hutumia namba 99795 na hufanya shughuli zake karibu na mji wa St Petersburg.

Lakini si Russia tu mwenye hizi shughuli za wahandisi au "Contractors" wa kijeshi nchi nyingi ziloendelea kama US (Blackwater) , UK, Canada, France( French Foregn Legion)na zingine nyingi tu zina vikosi vya kijeshi vya akiba au Private Army.

Hivyo basi vikosi hivi huundwa kutokana na malengo ya nchi husika khasa hizi nchi kubwa kubwa khasa malengo kuhusu maslahi yaliyo nje.
 
Putin kabadilisha vitu vingi Sana.
Waziri wa mambo ya nje wa Syria Faysal Mekdad akiwa amekaribishwa Saudi Arabia baada ya muda mrefu wa mgogoro wa Syria na nchi za magharibi na US pamoja na baadhi ya nchi za kiarabu kuto utambua uongozi wa Bashar Al Assad.
Ftliqz7XoAEwx1N.jpg
 

EU's economic chief says hardest part is over in transition from Russian gas​

107224001-Gentpic.PNG

The European Commissioner for the economy, Paolo Gentiloni, has hailed the EU's swift transition away from its dependency on Russian gas and said next winter will be less challenging.

"We were expecting a terrible winter, a winter of recession and problems with energy supplies, blackouts," he told CNBC's Joumanna Bercetche in Washington, D.C. on Wednesday. "We didn't have recession and we were able to go out from dependency from Russian gas in eight months. I think, amazing results."

Asked whether he believed the energy crisis was over, he said: "I think it will be a challenge also for next winter, maybe a less dramatic challenge than it has been in the past winter, because we should remember we had a more than 40% dependency from Russian fossil fuels, and this is now down around 7%.

He said the EU would be refiling storage from the end of April without Russian gas and said it was important to diversify pipelines, noting increased Chinese demand following its lockdown reopening may bring liquefied gas prices up.

"More optimistically, the big, big challenge was last winter, next winter will also be challenging but we already know we were able to do something amazing," Gentiloni said.
— Jenni Reid
 

Poland 'sceptical' about France's push for peace talks​

Polish foreign minister Zbigniew Rau has said he is "sceptical" about a push by France to initiate peace talks between Ukraine and Russia.

French President Emmanuel Macron held talks with his Chinese counterpart Xi Jinping last week in the hope of convincing him to use his relationship with Russia's Vladimir Putin to end the war in Ukraine.

But Mr Rau said today that Poland is "sceptical about French initiatives to lead to some form of talks between Russia and Ukraine" and sees no signs that "Russia is ready to revise its policy of territorial conquests".

"The possible result of such talks cannot be any separate guarantees for Russia, apart from the observance of the norms of international law," he added.

https://news.sky.com/story/ukraine-...rritory-12541713?postid=5767184#liveblog-body
 
Back
Top Bottom