jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hizo wachukue tu tunazovuna huko Donbas Ni assert nyingi Sana.The European Union and the Swedish Presidency of the Council of the European Union are working intensively to find a legal way to enable the Russian assets frozen in connection with the aggression to be used in the reconstruction of Ukraine.#
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walichelewa sana. Ingetakiwa wavunje tangu mwezi wa tatu mwaka 2022[emoji298]️Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, has introduced a bill about terminating an agreement with Belarus about mutual protection of state secrets to the Verkhovna Rada of Ukraine, the parliament's official website reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hadi wale ma-tom boy wenye hati za uthibitisho wa kuhama jinsia ya kike na kuitwa mwanaume japo anapata P km kawaida nao wanabebwa hadi frontline maana ameshahesabika kama mwanaume shupavu wa Ukrain[emoji23][emoji23]Hii nibora Kuliko ya Ukrein kukamatwa Barabarani Hakuna Cha nini unapakiwa kwenye Gari Safari hakuna kuaga Kaka,Mtoto wala Mama
pia Hawaangalia Kilema wala Mgonjwa
na Nilazima
Mimi pia na mashaka na hizi taarifa huwenda zimetoka ili kulazimisha Vita Kati ya urusi na NATONa yaweza pia kuwa hiyo ni kazi ya GRU.
Kwamba ninyi mwasema hamshiriki moja kwa moja vita hii mbona mna watu 97 ndani ya Ukraine?
Yote yawezekana.
Mimi naona ni ujanja tu kusema wanamrudisha Russia Kwa ajili ya grain deal Ila ukweli ni kuwa USA anafeel maumivu ya vikwavyo alivyoviweka, anakosa pesa nyingi Kwa kitendo chake cha kuzuia Russia asitumie SWIFT sasa anatafuta njia ya kurudisha mfumo huo kwenye soko la urusi,UN wapo kwenye Makubariano ya Kumrudisha Russia kwenye Mfumo wa SWIFT
ili kurahisisha Makubariano ya Ngano Barani Ulaya
Polepole Ukweli Utajulikana kwamba nani Anaumia na Vikwazo na Nani anamtegemea Mwingine Zaidi
URUSI SIO ZIMBABWE
The UN is negotiating the return of Russia to SWIFT for the sake of the Grain Agreement
Tunataka mpaka mcollapsemwambie amalize vita tugeukie na mengine mbona bado anahangaika na ka-Bakhmut mwezi wa tatu sasa ngoma imedinda.
hiyo leaks yenyewe Urusi haiamini sembuse weye - sawa Mrusi wa buza tumekusikia.
Mchawi lughaView attachment 2586224
Naona mmeamua kupigana spana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna sehemu kwenye hii mada nimefafanua ni mbali huko juu.Mkuu ni kweli anatumia hao wana jeshi wa kulipwa, wengi wao wakiwa wafungwa wa jela mbali mbali za ndani na nje ya Nchi yake. Mkuu ebu tuelimishane kidogo juu ya "Nchi kutumia jeshi la kununua badala ya Jeshi la Nchi yako"? Yaani Nchi ipo kwenye vita, tena vita kubwa unatumia jeshi la kukodi na wale wa kwako wana kula bata". Hii tafsiri yake ni nini? Tupeane maarifa Wakuu.
Umechanganya supu ya samaki na nguruwevipi urusi kwanini asiigeuze kama Libya kwa kuwa anapeleka misaada pale Ukraine kwa nini asiingie mwenyewe marekani akaigeuza magofu
Unaandika kwa uchungu sana kijanaView attachment 2586321hata wakirudisha unavyodai wewe ila kichapo kipo pale pale mwambie ajiandae kisaikologia hii vita haiishi leo ndugu.