Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298] A bipartisan group in U.S. Congress is drafting a package of sanctions that would target leading Hungarian political figures tied to the Viktor Orban government, mostly affiliated with the Fidesz party.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298] Over the past day, Ukraine’s Defense Forces repelled 49 russian attacks. At the same time, the Ukrainian Air Force delivered three strikes targeting enemy manpower and equipment clusters.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulitakaje?!?! Acheni hizo nyie?!?! Wewe hujaona Marais wa nchi ambayo ni kinara wa mashoga 'wakiwatukuza' wake na watoto wao??? Vipi kuhusu Biden, vipi kuhusu Obama na mke wake pamoja na watoto wao wawili?! Comments nyingine za hovyo Sana...
 
Tribunal Orders Russia to Compensate Naftogaz for Crimean Losses

International Arbitration Tribunal in the Hague orders Russia to pay compensation for losses and lost property of Naftogaz in Crimea

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
VIDEO
Kifo Siri kubwa sana na Hujui lini na muda gani
Mwanajeshi wa Ukrein Alikuwa kajificha Kwenye mti dron ikiwa juu
Drone Ikitafuta Agle yakumtupia Bomu
lakini ikawa Ngumu kidogo
jirani yake Kulikuwa na Handaki
Sasa Ikabidi Bomu lirushwe kwenye handaki
masikini Baada ya kurushwa tu hata kabla halija lipuka jamaa Kajiburuza Ndani kama Anawahi Usalama wake kumbe ndio Kakimbilia Kifo humo!!
ile anaingia tu kitu kinawaka
ikawa ndio mwisho wake

Your browser is not able to display this video.

Vitani kuna Mengi aisee
 
Haikua war of occupation, bali "Operation chasing NATO"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ulishasikia kwenye tukio lolote la Pentagon anaandamana na dadake na watoto wake? eti Powerful Sister. ha ha ha
Hata ofisini kwa Kim Jong huwezi mkuta akiwa na familia yake..unamkuta na makamanda wa nyota tupu..hata obama hvyohvyo ofisin humkut na michelle, utamkuta na ma CIA FBI na kina "mandonga" wengine wengine
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
Lula calls for an end to US dollar dominance while in Beijing:

"Every night, I ask myself why all countries are forced to do their trade backed by the dollar? Why can't we do trade backed by our currency?"

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…