Kakijana
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 726
- 3,347
Haya ndio mafunzo makali ya kijeshi ya NATO? I think ukrainian soldiers trained to be killed, not to kill..[emoji24][emoji24][emoji24]VIDEO
Kifo Siri kubwa sana na Hujui lini na muda gani
Mwanajeshi wa Ukrein Alikuwa kajificha Kwenye mti dron ikiwa juu
Drone Ikitafuta Agle yakumtupia Bomu
lakini ikawa Ngumu kidogo
jirani yake Kulikuwa na Handaki
Sasa Ikabidi Bomu lirushwe kwenye handaki
masikini Baada ya kurushwa tu hata kabla halija lipuka jamaa Kajiburuza Ndani kama Anawahi Usalama wake kumbe ndio Kakimbilia Kifo humo!!
ile anaingia tu kitu kinawaka
ikawa ndio mwisho wake
View attachment 2587454
Vitani kuna Mengi aisee