Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nafarijika na kufurahi sana napoona na kusikia taarifa kama hizi zinazohusu vifo vya manazi.
 
Anaachaje kununua kwa discount achikichie mpunga wakati anajua kbs hiyo OP sio yeye bali amesukumizwa tuu kwakua yeye ndio alikua mwisho wa sakafu ya kibaraza? Tumuache ale posho ya jasho lake...hajaiba..hata mimi ningefanya hivohvo..chanini kujifia maskini kwa kutajirisha US kwa damu za wa-ukrain wenzie?
 
Kumbe wanazo nyingi tuu? Sasa wanakaa na zana za "opresa" za nini? Nkajua walishazisusa zote zimepelekwa ukrain zikapgwe kiberit wanunue f-16 had f-35
 
Hawajafika milion tuu had leo mwaka wa pili huu mkuu...ajabu sana
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]
China is becoming the economic superpower of the world while the west is choking on LGBTQ+, woke beers, Nike, Disney, gender ideology, racism, reparations, diversity, political persecution, pensions, climate change and fossil fuel bans

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Biggest loser of sanctions on Russia is the European Union (EU)

Russia is stream rolling through sanctions like its nothing

China and America are taking advantage of the situation big time

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Major General Kyrylo Budanov, chief of Ukraine’s military intelligence, has said that the moment has come for russia to collapse as a country.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ilishindikana kipindi kile cha 10th package basi haiwezekani tena..maana idadi ya waajiriwa imeongezeka ku-replace wale mashoga walioondokaga
 
Mwisho watampiga sanction general Milley
 
NEW WORLD ORDER:
WEF #KlausSchwab and your elite globalists are looking to turn the world into one World Government running them as a worker farm.

They are pushing y’all for…

  • Microchip implants
  • End fossil fuel consumption
  • Food/Resource rationing
  • Universal Basic Income
  • Normalize pedophilia
  • Digital currencies, #CBDCs
  • End fiat currencies, control money
  • End private farming, control food
  • Synthetic meats and bugs as food
  • Normalize #SocialCreditSystem
  • End commercial air travel
  • End ownership of fossil fuel vehicles
  • End asset & resource ownership
  • Mandatory vaccine subscriptions
  • End the concept of a family unit

#GreatReset #NewWorldOrder #Agenda2030 #WEFpuppet

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa...wameanza kususa baada ya kuona wanaaza kugeukwa polepole kwa ujinga wa akili za kushikiwa na US+UK wataelewa somo sasa..
 
[emoji635][emoji635][emoji1218][emoji1218][emoji1218][emoji1218][emoji1218]Unawez kuhisi kuw alilogwa yaan Bom limeingia yeye kalifata wakat alikuw Tayar yupo[emoji54][emoji22][emoji4] sehemu salama kuendelea kumbana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…