Haya ndio mafunzo makali ya kijeshi ya NATO? I think ukrainian soldiers trained to be killed, not to kill..[emoji24][emoji24][emoji24]VIDEO
Kifo Siri kubwa sana na Hujui lini na muda gani
Mwanajeshi wa Ukrein Alikuwa kajificha Kwenye mti dron ikiwa juu
Drone Ikitafuta Agle yakumtupia Bomu
lakini ikawa Ngumu kidogo
jirani yake Kulikuwa na Handaki
Sasa Ikabidi Bomu lirushwe kwenye handaki
masikini Baada ya kurushwa tu hata kabla halija lipuka jamaa Kajiburuza Ndani kama Anawahi Usalama wake kumbe ndio Kakimbilia Kifo humo!!
ile anaingia tu kitu kinawaka
ikawa ndio mwisho wake
View attachment 2587454
Vitani kuna Mengi aisee
Mmarekani atanuna 😆😆😆😆Waziri wa Ulinzi wa China atatembelea Russia kuanzia kesho kutwa Jumamosi tarehe 16. Na atakuwepo hapo Russia kwa muda wa siku 4.
Bila shaka lugha ya mfalme imekuwa ngumuKama ilishindikana kipindi kile cha 10th package basi haiwezekani tena..maana idadi ya waajiriwa imeongezeka ku-replace wale mashoga walioondokaga
Warusi wa buza wanakwambia wataamini kwamba urusi wanachinjwa pale idadi itakapofikia million 27 🥱🥱Hata laki mbili tuu bado kumbe?
Wahamishe UNVisa ya nini tena kwa mabeberu, mwambieni aje South Africa, Uganda tupambane kuyadhibiti mabwabwa.
Unakula bange kama kachumbaliJana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱View attachment 2587445
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app