Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Tena wasahauUkisema mji haujanguka basi unatakiwa muda uwo uwe unaongea maneno hayo ukiwa kwenye jengo la halmashauri ya mji.tofauti na hapo basi utakuwa unaongea maneno ya kanga.
Bakhmut imeanguka na kurudi tena wasahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingekuwa kweli CNN, BBC, aljazeera, vyombo vyote vya magharibi vingejaa hiyo habari lakini source yake ni Facebook, kuweni serious na bando za watu.Urusi yapoteza askari karibu 500 kwa mpigo!
...
Russia loses around 500 more soldiers
Russia lost 460 soldiers and an artillery system over the course of 14 April.www.pravda.com.ua
Ukraine mwezi huu ukiisha wataweka silaha chini, Zelensky hapeleki pesa mstari wa mbele yeye anapeleka kwenye account zake uko Swiss account, Cayman islands etc. Watu wake wanapukutika Kama mchwa.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298] Since the outset of russia’s full-scale invasion, Ukraine’s Defense Forces have eliminated 182,660 russian invaders, including 590 over the past day.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji4][emoji4]yaani ni kama kitumbua hakieleweki nyuma wapi mbele wapi .......jamaa analialia silaha zimeisha ila anamega ardhi mdogo mdogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwisho atamega mpaka kiev mpakani na poland na bado atalalamika silha zimeishaHuyu jamaa huwaga haelewek! Mara hana silaha halaf anaendelea kuchukua maeneo
Huo ndo uanaume Sasa,Updates [emoji298]
Ramzan Kadyrov refused to meet with five Chechens released from Ukrainian captivity during the latest cancellation. He believes that now they must prove with arms in their hands that they did not avoid the battle and were captured against their will.
“The justifications may be different, but be that as it may, the warrior must prove that he had no other choice. And you need to prove it by returning to the front line. Therefore, I did not meet with the returnees,” Kadyrov wrote.
We are talking about five Chechens from the Akhmat-Sever regiment, released yesterday from Ukrainian captivity. They were taken prisoner on 14 December.
Wazilete zote tuzikaange [emoji39]Updates [emoji298]
[emoji631][emoji1255] American Black Hawk helicopter in service with Ukraine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenye update kuhusu bakhumut tunaomba atujulishe zoezi la kujiondoa askari wa ukraine linaendeleaje, maana tangu juzi tuliambiwa wanaondoka huko[emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
afu kuna mbuzi anakwambiaHuko Lisichansk na Gorsky Kundi kubwa la Askari wa Ukrein wanaji salimisha
Karibu Wanajeshi 1000 Walisha Jisalimisha Wengi wao Wakilalamika kuwa Wanauliwa sana
hawana Silaha wala Pesa
Unaambiwa Ndani ya Masaa 24 Wanauliwa mpaka 1000
Kitu ambacho wameogopa na Kuanza Kujisalimisha huku sehemu kubwa Ikiwa imezungukwa na Wanajeshi wa Urusi
View attachment 2590985
The Ukrainian military began to surrender en masse, both near Lisichansk and Gorsky. The total number of prisoners can reach 1000 people.
The Ukrainian army suffered huge losses near Lisichansk
The number of people killed in the last 24 hours can reach up to 1000 people.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo mig 29 Ni ndege za mrusi mwnyw[emoji1][emoji298][emoji298] Slovakia has completed the transfer of all promised to Ukraine 13 MiG-29 fighters.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
bakhmuti ile Ni meat grinder,Point ni kwamba Russia kupigana hapo bakhumut kwa takriban mwaka mzima ni aibu hambayo haitafutika!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bora kujisalimisha tu Kama huna nyenzo na huon dalili za kumshinda adui yako[emoji4]Huko Lisichansk na Gorsky Kundi kubwa la Askari wa Ukrein wanaji salimisha
Karibu Wanajeshi 1000 Walisha Jisalimisha Wengi wao Wakilalamika kuwa Wanauliwa sana
hawana Silaha wala Pesa
Unaambiwa Ndani ya Masaa 24 Wanauliwa mpaka 1000
Kitu ambacho wameogopa na Kuanza Kujisalimisha huku sehemu kubwa Ikiwa imezungukwa na Wanajeshi wa Urusi
View attachment 2590985
The Ukrainian military began to surrender en masse, both near Lisichansk and Gorsky. The total number of prisoners can reach 1000 people.
The Ukrainian army suffered huge losses near Lisichansk
The number of people killed in the last 24 hours can reach up to 1000 people.
Huko Lisichansk na Gorsky Kundi kubwa la Askari wa Ukrein wanaji salimisha
Karibu Wanajeshi 1000 Walisha Jisalimisha Wengi wao Wakilalamika kuwa Wanauliwa sana
hawana Silaha wala Pesa
Unaambiwa Ndani ya Masaa 24 Wanauliwa mpaka 1000
Kitu ambacho wameogopa na Kuanza Kujisalimisha huku sehemu kubwa Ikiwa imezungukwa na Wanajeshi wa Urusi
View attachment 2590985
The Ukrainian military began to surrender en masse, both near Lisichansk and Gorsky. The total number of prisoners can reach 1000 people.
The Ukrainian army suffered huge losses near Lisichansk
The number of people killed in the last 24 hours can reach up to 1000 people.
afu kuna mbuzi anakwambia
LEO TUMEWACHINJA WARUSI ZAIDI YA MIA 500 blah blahhh blahn...
Wakibisha wanahitajia bakoraHa ha haa,
Urusi bana,ni kama imepiga jiwe moja lakini imeua ndege wengi vile!
Ni kitendo cha kujilinda,yaani dimilitalization,de nazidication na de natosification of Ukraine,lakini matokeo yake Sasa kimetokea kua kama kitendo Cha kulipiza kisasi dhidi ya marekani.nitaeleza.
Nayo Finlanda na Sweden ni kama wahalifu wawili waliokua wameketi sehemu pamoja na watu wema bila kujulikana kama hao wawili ni wahalifu.
Polisi walikua katika shughuli zao za kawaida wala hawakua wakiwa jua hao jamaa wawili ni wahalifu,lakini walipopita mbele Yao TU wahalifu wale wakakurupuka na kutoka nduki,ndipo polisi kwa kuona hivyo wakajua Hawa Wana jambo la kujibu,nao wakaanza kuwafatilia.
Iko hivi,Urusi wala haikua na mawazo,shida wala mgogoro wowote na Sweden na Finland.
Kwa mtazamo wangu,mara TU baada ya Urusi kuivamia Ukraine,Ni kama walipangwa hivi nao waombe uanachama wa NATO ili kuichanganya Urusi na kuitoa ktk malengo yake ya SMO.Lakini kwa bahati mbaya waliwakuta wacheza Chess walishausoma mchezo,Putin mara moja akasema Hana tatizo na akina Finland kujiunga na NATO.yeye tatizo lake ni Ukraine.Hapa nadhani mtego ulirukwa kikamilifu.
Sasa basi kosa la sweden na Finland kama wakijiunga na NATO ni moja nalo ni kubwa sana ni kwamba wwshaingizwa kwenye orodha ya nchi ambazo zitashambuliwa kwa nguvu zote na Urusi iwapo vita baina ya NATO na Urusi itatokea.jamani hili sio jambo dogo.Kabla ya kujiunga kama vita baina ya NATO kama ingetokea Urusi wala asingizifanya chochote Finland na nduguye.
Nakumbuka wakati wa mzozo wa Marekani kutaka kuweka mfumo wa rada nchini Romania na mfumo wa kutungua makombora nchini Checks, eti kwa ajili ya kujilinda ulaya na nchi korofi kama Korea Kaskazini na Iran.
Urusi ilizionya nchi m ili hizo kua zimekubali kuwa malengo ya silaha za maangamizi za Urusi kwa kukubali kuwekewa mifumo hiyo?
Maana Urusi ilisema kwa sababu silaha hizo ni kwa ajili ya Urusi,nayo Urusi itaelekeza silaha zake za maangamizi kwa nchi hizo.
Kwa kauli hiyo TU,wananchi wa n chi hizo wakaandamana kuwataka watawala wao waachane kabisa na mpango huo,nao ukasitishwa.
Tuachane na akina Finland.
Kwa Nini nasema alietaka kulinda mipaka yake (Urusi)Sasa ni kama analipiza kisasi.
Lengo la hii SMO ni kulinda mipaka yake,lakini Sasa,ama kwa kujipanga yaani kujua,ama kwa kutokujua huenda Urusi imepata nafasi ya kulipiza kisasi kwa kuanguka kwa USSR.
Kisasi ni kisasi TU,kisasi sio lazima kifanane na ulivyomfanyia mtu.hata kumuaibisha TU ni kisasi wakati yeye alikudhurumu.huu ni mfano TU.
Kila nikiangalian OP hii inavyoenda nawaza pengini ni kitendo Cha kulipiza kisasi,ni kama muvie Fulani hivi la akili kubwa sana.
Nasema hivi kwa sababu.
Nchi nyingi zimeona double standard za west,hata raia wa west wenyewe wameona hivyo.
Kwamba akipigwa Palestine ni sawa lkn akipigwa Ukraine ni haramu.Hapa Urusi kafanikiwa kuichonganisha jumuiya ya west na jumuiya ya kiarabu Dunia nzima.
West kutaka afrika ijitenge na Urusi,waafrika wamegoma ,wamekumbuka visa vya west wakati wa ukoloni.
Hapa Urusi kacheza vizuri.
Marekani alizoea kutumia Dola kama silaha ,Urusi kafanikiwa kuifanya sehemu kubwa ya Dunia kuanza kuiepuka dola.matokea yake Dola inaenda kua Hela ya kawaida TU.
Uwezo wa NATO kijeshi.
Aisee hapa ndio penye utamu.
Unajua hesabu Huwa hazidanganyi.
Na hapa ndio Kuna swali ambalo Pro NATO hua hawataki kabisa kulisikia achilia mbali kulijibu.
iko hivi.
Ukraine imepewa na inaendelea kupewa misaada ya Hali ya juu sana ya silaha,ujasusi wa kivita,fedha,uungwaji mikono,ushauri na Kila aina ya michango kutoka wataalamu wabobevu wa fani zote kutoka nchi zinazoaminika sana hapa duniani kuanzia Wataalamu kutoka NATO,G7,EU,west Europe na Kila aina ya uchwara
Namba zinahoji hivi kama USA na NATO walienda kumpiga Saddam Hussein wa Iraq kwa kuivamia Kuwait,Kama NATO walienda kumpiga Slobodan Milosevc wa Serbia/Yugoslavia kwa kuwapiga Bosnia and Herzegovina na Kosovo,kama walienda kumpiga Muamar Gadafi alipowapiga wapinzani wake Libya.Bahati nzuri au mbaya zote hizo hazikua wanachama wa NATO lkn NATO walienda.
Leo hii matukio yote hayo yanafanana kabisa na tukio la Ukraine.
sasa NATO wanasubiri Nini kuingia vitani dhidi ya Urusi kwa staili ileile waliyotumia kwa nchi nilizozitaja?
Mfano wa kizembe kabisa katika smo hii.
Unaweza kuilinganisha halii hii hivi:
Uwezo wa kufikiri wa raisi wa Urusi peke yake,amewazidi Marais zaidi ya 30 wa west ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa majeshi wa Urusi peke yake, amewazidi wakuu wa majeshi wa nchi zaidi ya 30 za west ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa ujasusi wa Urusi peke yake,amewazidi wakuu wa ujasusi wa nchi za NATO ktk smo hii.
Waziri wa fedha na uchumi wa Urusi peke yake uwezo wa kufikiri,amewazidi mawaziri wa fedha na uchumi wa west ktk smo hii.
Huuni mfano mwepesi TU lkn ukweli ni kwamba. USA na west wake walitaka
Putin atikiswe,
hajatikiaika.
Jeshi lishundwe halijashindwa,
Mambo yavurugike,
majasusi wa Urusi wamedhibiti.
Uchumi wa Urusi uvurugike,umevurugika wao.
Fedha ya Urusi ianguke,lkn imepanda thamani na Dola imeanza kupuuzwa..
Matokeo yake.
NATO kuonekana Haina faida.
USA ushawishi kuisha,
Dola kupoteza umaarufu,
Uchumi wa west kuanguka,
Na west kua nchi zisikokua na maana.
Balance of power kuja
Na kuibuka kwa Brics kidunia yaani nchi nyingi kujiunga.
Uonevu kuisha.
Nchi kuheshimiana,hakuna kulazimishana mambo yasiyofaa.
Marekani hatakaa avamie nchi yoyote tena kwani ataonekana alichokipinga kwa Urusi ni kipi na anachokifanya ni kipi.
Urusi kutaka kulinda mipaka yake imejikuta inaikomboa Dunia.
ProRussians huwa hamkubali kuwa mnapigika .Ninyi na Yule waziri WA habari WA Saddam,Al-Sahhaf hamna tofauti sana .😂Ingekuwa kweli CNN, BBC, aljazeera, vyombo vyote vya magharibi vingejaa hiyo habari lakini source yake ni Facebook, kuweni serious na bando za watu.
🤣🤣🤣😀😀😀aaaah Ha ha ha haaYaani data za kp kipanya44 zinategemea siku hiyo ameamkaje.
Siku akiamka na ma stress yake utasikia, "Leo tumewachinja 1,000"