Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Chui kaanza kuonesha makucha yake hapa training tu.
Sawa,ila Zelensky alikua ni orijino.
Aisee west Wana Hali ngumu,Hawa ndo walitakiwa kuja kupigana na MightyRussia?Chui kaanza kuonesha makucha yake hapa training tu.View attachment 2592132
View attachment 2592133
View attachment 2592134
SawaSamahani naomba link niicheck tafadhali,
Mkuu kwamba hujui kuwa kherson city(tena ni makao makuu ya jimbo) ipo chini ya Ukraine.kuwa serious!Kipanya 44 upo kherson sehemu gani.View attachment 2591727
Mkuu kama Ukraine wanaweza ndio ishindikane collective west?kuwa serious!Aisee west Wana Hali ngumu,Hawa ndo walitakiwa kuja kupigana na MightyRussia?
Jamani kaunta ofensivu inaanza lini?