Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

,,
1681896172559.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama Mnakumbuka Ile Video ya Mwaka Jana mwishoni
Ambayo Ukrein walionyesha Wakiwapiga Live Mateka wa Urusi Risasi bila Huruma
Pia Kuna Video Nyingine Dogo mmoja Ana mwamlisha Mateka Wa Kirusi Asogee Mbele na Alale Chini Kabla hajalala Akapewa yakichwa na kumfumua Ubongo kisha Jamaa Anacheka
Dogo huyo ni huyu hapa
View attachment 2588575

Sasa Jamaa Kadakwa na

WAGNER Walicho Mfanyia Kiukweli Video nimeshindwa Kuimaliza
Huyu kakiona
Hawakumkamata umetunga shekhe
Alwa akbari
 
Hivi hii Bakhmut inatwaliwa lini na Putin maana tumechoka kuona wanajeshi wa Ukraine wakirandaranda huko.. mara 80% mara 95% tushike lipi?

33DF49X-highres-1681866872.jpg

Ukrainian soldiers rest on the front line near Bakhmut [Anatolii Stepanov/AFP]
English lugha nyepesi sana.
Ngoja nikutafsilie ili uweze kuelewa nini walicho mainisha.
Wanasema " wanajeshi wa Ukraine wa msatari wa mbele wakipumzika karibu na bakhmut " ni sawa na kusema wanajeshi wa Tanzania wakipumzika karibu na dar ina maana hawapo dar wapo karibu na dar. Usipo elewa huwezi elewa tena
 
Sikia, wale wahuni wa Putin Wagner group ndiyo walituambia kwamba wanakaribia kuuteka mji wote wa Bukhmut, kwa wakati huo wanadai walikuwa wameushika kwa zaidi ya 80%, sasa najiuliza wiki sasa na ushee mbona wajeda wa Ukraine wanakula pilau na kurandaranda hapo Bakhmut town? majibu tafadhali.
 
Kaa kwa kutulia majibu yatakuja baada ya kupokea xi simu.
 
Mwamba anakichafua kila Kona mwaka huu tumewashika kende NATO.
Lavrov met with Maduro and invited him to Russia on behalf of Putin “I want to fulfill a pleasant mission and convey to you the message of Russian President Vladimir Putin. He also asked me to verbally convey his best wishes and greetings to you. You have his invitation to visit the Russian Federation at any convenient time,” the minister said.
FuEBfCTWAAAw5bm.jpg
 
Back
Top Bottom