Atakayeamini taarifa yeyote kutoka the American Empire of Evil and Lies ni kichaa na siamini kuna mtu wa hivyo tena.Nadhani ingekuwa busara kwako Kipanya kuacha tu kutuletea taarifa ambazo source yake ni the American Empire be of Lies and Evil.Jina lenyewe tells it all.A leaked U.S. intelligence report shows that China refused the Russian Wagner mercenary group's request for weapons, the Financial Times reported on April 20.
According to FT, Wagner's direct request to China suggested "it had some confidence Beijing would be open to arming Moscow, going beyond other non-lethal forms of support for the military campaign provided by Chinese companies."
Learn more: FT: US intelligence report suggests China refused Wagner mercenary group's request for arms
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taarifa nyingine za ajabu sana - hivi hamjui kwamba kiwanda hicho kilijengwa na Wataalamu wa Urusi - Amerika inahusika husika vipi na ujenzi na uwekaji mitambo ya kuzalisha umeme?? Hivi mtu na akili zake timamu anaweza kweli kisema eti kiwanda. analitaofisha kwa sababu kaweka software za kuongozea PLCs - naona huu ni utani uliyo pitiliza kiwango - Warusi watakichukua kiwanda walicho kijenga wao na kuweka mitambo ya kuzalisha umeme na wala Amerika haiwezi kuifanya lolote Urusi - wataishia. kwenye ngojera zao za kufurahisha baraza basi., bila ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya Urusi - labda kama hawajipendi.
Hivi hayo mazoezi yanafanyikaje?, Wanafanya kwa kuvipiga mabomu au kukimbiakimbia ndo vinanyofoka vyenyewe ?
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Unajaza kurasa na habari zako za kurudia rudia huna habari mpya kaa kimya ni moja ya ustaarabuDuring his first visit to Ukraine since the full-scale war, NATO Secretary General Jens Stoltenberg visited Bucha, which suffered from Russian aggression.
[emoji328]: NATO Press Service
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alisema by December, 2022 atakuwa karejesha majimbo yote. Ila sasa[emoji2][emoji2]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has said at a joint briefing with NATO Secretary General Jens Stoltenberg in Kyiv that at a meeting of the Ukraine Defense Contact Group at the Ramstein Air Base on April 21, it is important to discuss the issue of providing the Ukrainian army with long-awaited long-range weapons.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu rais wa Ukraine yeye anadhani bado yupo kwenye comedy kumbe warusi wamedhamiria kuipoteza Ukraine kwenye ramani ya dunia huku wakiacha matatizo chungu nzima huko Ulaya na MarekaniSerikali ya Ukraine imesema kwamba imesikitishwa na kuchukizwa kwa kitendo cha EU kushindwa kuwanunulia silaha za vita.
Ukraine imewaambia EU wahakikishe wanatekeleza makubaliano ya kuwapelekea silaha.
Tulia dawa ikuingie!Unajaza kurasa na habari zako za kurudia rudia huna habari mpya kaa kimya ni moja ya ustaarabu
Tunamfukuza mwizi kimyakimya [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Alisema by December, 2022 atakuwa karejesha majimbo yote. Ila sasa[emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tunamfukuza mwizi kimyakimya [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama Putin anavyodhani mahakama inatania, kumbe muda wowote pingu zitamhusuHuyu rais wa Ukraine yeye anadhani bado yupo kwenye comedy kumbe warusi wamedhamiria kuipoteza Ukraine kwenye ramani ya dunia huku wakiacha matatizo chungu nzima huko Ulaya na Marekani