Na mafanikio ya ma trilion hayo nikupoteza zaidi ya 20% ya eneo la Ukraine (mshirika wao)Katibu Mkuu wa NATO akiwa Kyiv asema kuwa msaada wa wanachama wa muungano huo kwa Ukraine tayari umefikia £150billion ( takriban Trilion 400 za kitanzania).
Hujiamini?😧😧😧SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE
Urusi ni wajeuri sana,hilo onyo wala haliwatishi.wataingia,watakagua na kuchukua Kila kitu.Najiuliza hilo la onyo Kali walimaanisha nini? Kwamba watampiga mrusi akikaidi??? 😄😄😄😄😄
Na Wala hawatafanya kuichunguza kwa Siri,bali watafanya hadharani,mchana kweupe.Watakuwa tayari wameshafanya hivyo
Mafuta ujitenga haraka Sana kwenye maji ila nakumbuka watoto enzi zile walikuwa wanamjua Rais wa super power kuliko hata hata wa hapa tz saiz ukimuuliza mtoto Rais wa super power haraka anakuambia Putin yaani Biden ni zaidi hata ya kiduku ndiko tunakoelekea?Wamarekani Sasa waamua kusema ukweli
View attachment 2594779
[emoji779]️[emoji631][emoji635]American lawyer Todd Callender: Russia now has the strongest economy on the planet because they have the resources that everyone needs.
Everyone else has ruined their countries by following the world's economic reform plan. Vladimir Putin went through that school and instead of following it by destroying his country, he thought, "no, let's not do that." So my point is that the rest of the world is being destroyed. And now Putin is picking up the pieces. In a very short time, they will be the dominant power, just like the United States used to be.
[emoji336] InfoDefenseENGLISH
[emoji336] InfoDefense
97%Hivi bakhumut bado tu? [emoji23][emoji1787][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ina maana vifurushi vimeisha mapema hivyo? Sisi raia wa hiari wa Moscow tunaitaka na kuilazimisha EU na NATO na Marekani waendelee kutupatia hisani yao kama kawaida kwa kutugaia vifurushi vingine.EU wamesema kwamba, hawawezi tena kuweka sanctions kwa Russia kwa sababu sanctions zote wameshazimaliza.
#Kumbe ndio maana siku hizi hatuwasikii tena na makelele yao ya "New Sanctions Package"... Badala yake wanakimbilia China kumuomba President Xi Jiping aongee na President Putin.
View attachment 2594347
View attachment 2594348