Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ahaaaaa! Kumbe hata Marekani wenyewe rais ndiye kila kitu. Aisee! Ngoja watu waendelee tu kumshukuru Mheshimiwa Sa100 kwa mikopo na miradi ya maendeleo.

Serikali ni serikali tu, haijalishi ni ya Antarctica au Planet Mars.
 
Habari hizi zimfikie kp kipanya44 popote pale alipo
 
Colombia refuses to supply weapons to Ukraine — president

The weapons in the country will also not be sent to Russia, Gustavo Petro stressed

Tass.
Marekani hataki kumaliza vita wakati hana uwezo wa kuiendeleza. Amebaki kuzilazimisha nchi zote zipelike silaha Ukraine kupigania maslahi yake. PUMBAFU SANA, anafikiria dunia bado ipo ktk enzi za ujima. Sasahivi nchi kibao zinamtolea nje na hana la kufanya. USUPA PAWA bye bye
 
Alisema by December, 2022 atakuwa karejesha majimbo yote. Ila sasa[emoji2][emoji2]
Kwa mfano akaulizwa ni zipi sababu za kutofanikisha malengo yake?

Zelensky: 1. Russian continued aggression and heavy, leathal weapons 2. NATO & US failure to supply modern conventional weapons, including long-range missiles 3. EU packages of sanctions don't actually work
 
Waende hadi pale Meksiko mpakani kabisa. Hawa Wamarekani muda wao wa ukiranja wa dunia unahesabika.
 
^the aggressive policy that ignores the sovereignty and the rights of other peoples^

Poor Amerikkkka doesn't think anymore! She simply breaths fire!
 
Awamu hii US atafunuliwa maovu yake yote; na huu ndio mwisho wake kama montresi wa dunia.
 
In Ukraine, they began to prepare public opinion for leaving Bakhmut, which is already 90% controlled by Wagner's PVK fighters. Deputy Minister of Defense of Ukraine Ana Malyar: - "The situation in Bahmut is complicated";
SMO ya Mrusi ni moto wa kuotea mbali. Ni kama chui au simba amemkaba prey wake shingoni, ametulia naye huku akimsikilizia ajisalimishe mwenyewe katika pumzi ya mwisho.
 
Mtu kafungwa kitanzi huko tayari, soma katika lugha mbalimbali.
Российские военные и подразделения ЧВК "Вагнер" взяли под свой полный контроль не менее 500 метров "дороги смерти" Часов Яр - Бахмут, что блокирует возможность ВСУ снабжать свои силы в Артёмовске.
@wagner_group_pmc

The Russian military and units of the Wagner PMC have taken full control of at least 500 meters of the "death road" of the Yar-Bakhmut clock, which blocks the ability of all forces to supply their forces in Artemovsk.
@wagner_group_pmc

Das russische Militär und Einheiten des Wagner PMC haben die volle Kontrolle über mindestens 500 Meter der „Todesstraße“ der Yar-Bakhmut-Uhr übernommen, die die Fähigkeit aller Streitkräfte blockiert, ihre Streitkräfte in Artemovsk zu versorgen.
@wagner_group_pmc

L'armée russe et les unités du PMC Wagner ont pris le contrôle total d'au moins 500 mètres de la "route de la mort" de l'horloge Yar-Bakhmut, ce qui bloque la capacité de toutes les forces à approvisionner leurs forces à Artemovsk.
@wagner_group_pmc

Os militares russos e as unidades do Wagner PMC assumiram o controle total de pelo menos 500 metros da "estrada da morte" do relógio Yar-Bakhmut, que bloqueia a capacidade de todas as forças de abastecer suas forças em Artemovsk.
@wagner_group_pmc

Militer Rusia dan unit PMC "Wagner" telah mengambil kendali penuh setidaknya 500 meter dari "jalan kematian" Chasov Yar - Bakhmut, yang menghalangi kemampuan Angkatan Bersenjata Ukraina untuk memasok pasukan mereka di Artyomovsk.
@wagner_group_pmc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…