Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na hawa Waiingereza kujitia. ujiaji mwingi mbona mizinga. yao na missiles zinateketezwa na ADS zikiwemo kamikaze Drones za Urusi - juzi hapa niliona zikilipuliwa - lakini Waiingereza mara zote ndio. ujifanya wanaelewa kinacho endelea nchini Ukraine na kudai Russia ndiyo inapata hasara zaidi!! Ulaghai mtupu wa Waiingereza zana zao za kivita karibu zote zilizo pelekwa Ukraine Urusi imekwisha zitia kiberiti, vinavyo subiriwa kwa hamu ni vifaru vyao vya challenger, vyote vitaishia kwenye meat grinder za Warusi
 
Hii vita Itaisha pale tu Ukraine atakapokomboa maeneo yake kikamilifu, ikiwemo Crimea [emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
😃😃😃😃😃😃😃😂😡😃🇷🇺💪
 
Acha wamvue nguo
 
[emoji298]️Ex-commander of the US forces in Europe Ben Hodges gave his opinion about the upcoming counteroffensive of the AFU.

“It will begin in a few weeks and its main task will be to isolate Crimea. Ukraine will win this war if the Western partners transfer the necessary weapons,” Ben Hodges said.

[emoji329]: DW

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian Video Campaign Calls for ‘Real Men’ to Replace Enlisted Cannon Fodder

The Russian military is doing all it can to meet President Putin’s demand to recruit 400,000 volunteers to become contract professional soldiers this year.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
‘A Storm is Coming’: Counteroffensive Training With the Ukrainian Brigade Vowing to ‘Destroy’ the Enemy

While it has been renamed, the National Guard brigade traces its history back to 2014, when the defenders of Kyiv’s Maidan central square went to fight.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi bakhumut bado tu? [emoji23][emoji1787][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nmesikia Hizi tetesi, Ni kweli mkuu?[emoji1][emoji116]

In Ukraine, they began to prepare public opinion for leaving Bakhmut, which is already 90% controlled by Wagner's PVK fighters. Deputy Minister of Defense of Ukraine Ana Malyar: - "The situation in Bahmut is complicated";
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…