Hii ni technology tu mkuu,wala sio uchawi!Ni kwamba anayefyatua anatumia GPS kuliongoza li-lock target,sasa Urusi wanachofanya ni kufuta GPS ya mfyatuaji na kuweka ya kwake,so in a sense you confuse it.Umesema kuwa urus wana namna ya kulifanya kombora lishambulie eneo tofaut na lilipokusudiwa huon km si kawaida???
Mtumish wa us akiwa na akili zake timamu amejikuta anavujisha taarifa ambazo aliapa kuzilinda huon km si kawaida???
Kwa hiyo hata lile kombola lililopotea target na kutwanga Urusi humohomo pia Ukraine walifuta GPS eee !!Hii ni technology tu mkuu,wala sio uchawi!Ni kwamba anayefyatua anatumia GPS,Sasa Urusi wanachofanya ni kufuta GPS ya mfyatuaji na kuweka ya kwake,so in a sense you confuse it.
Wenzetu wakifanya yao mnaita teknoloj sis huku gambosh tukifanya yetu mnaita uchawHii ni technology tu mkuu,wala sio uchawi!Ni kwamba anayefyatua anatumia GPS,Sasa Urusi wanachofanya ni kufuta GPS ya mfyatuaji na kuweka ya kwake,so in a sense you confuse it.
Tuambie, warusi chini ya utawala wa dikiteta Putin wanaweza kuamka na kupinga hadharani udhalimu wa yule dikiteta??Yes, au unafikiri hao wananchi wamefumba macho kama hao wanasiasa..
Mambo yanaenda kwa mpangilio, usifikiri viongozi wa west wanafanya mambo kwa kukurupuka kama yule dikiteta alivyofanya uvamizi bila kupiga hesabu sawasawa,Toka watangaze kupeleka leo ndio wanasema mafunzo yataanza baada ya wiki kadhaa? Yaani hivyo vifaru vinasubiri XI apokee simu akaombe kwa Putin yaishe visije vikaabika.
Mchawi wako lugha tu .... "Fire the front line near Bakhmut" ...na unakuja kwa mbwembwe.... Mchawi lugha ....Mambo badooooo; tuliaaaa, tuliaaaaa !!
Ukrainian soldiers fire a howitzer D-30 at the front line near Bakhmut, Donetsk region, Ukraine, on April 19, 2023 [Roman Chop/AP
Subir warusi waanze kuchakazwa kisha urudi na hii coment yako!Hao wakipelekwa meat grinder ndani ya siku mbili kwisha habari yao.
Drug addicts ndio wamekuwa wasemaji wa serikali ya dikiteta [emoji28]Medvedev: When the Germans intend to attack Russia, he should prepare for the parade of our army in Berlin.
Akijibu ni tag mkuu.Kwa hiyo hata lile kombola lililopotea target na kutwanga Urusi humohomo pia Ukraine walifuta GPS eee !!
Russia accidentally bombs own city near Ukraine
At least three people were injured as a jet fired a weapon into the city of Belgorod, according to Russian state media.
we ulitaka niandike kwamba Bakhmut inashikilikiwa na wale wahuni Wagner kwa 99% siyo.Mchawi wako lugha tu .... "Fire the front line near Bakhmut" ...na unakuja kwa mbwembwe.... Mchawi lugha ....
Huko near bakhumut ndiko majeshi ya adui yaliko,Sasa hambacho hujaelewa hapo ni Nini [emoji848][emoji848]Mchawi wako lugha tu .... "Fire the front line near Bakhmut" ...na unakuja kwa mbwembwe.... Mchawi lugha ....
kp kipanya44 mdogo wangu. Upo sawa kweli? Hizo taarifa zako ni kujifariji tu. Counteroffensive yoyote watakayofanya Ukraine haitabadilsha chochote. Sanasana wanaenda kuongeza hasara na vifo kwa vijana wao. Hii ipo wazi, you dont to have PhD kuona hili. Wenzako wengi hapa washaliona ila wewe bado tu unakaza fuvu. ShauriakoTuambie, warusi chini ya utawala wa dikiteta Putin wanaweza kuamka na kupinga hadharani udhalimu wa yule dikiteta??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri ni kwamba Huwa nascreenshot hizi coment zenu Moja baada ya nyingine Ili matunda ya counteroffensive yatakapojidhihirisha niwaumbue kama tulivyowaumbua wale waliokuwa wakidai urusi ataiteka ukraine ndani ya siku 3 [emoji28]kp kipanya44 mdogo wangu. Upo sawa kweli? Hizo taarifa zako ni kujifariji tu. Counteroffensive yoyote watakayofanya Ukraine haitabadilsha chochote. Sanasana wanaenda kuongeza hasara na vifo kwa vijana wao. Hii ipo wazi, you dont to have PhD kuona hili. Wenzako wengi hapa washaliona ila wewe bado tu unakaza fuvu. Shauriako
Ndiyo...kwani wewe unaonaje?!Kwa hiyo hata lile kombola lililopotea target na kutwanga Urusi humohomo pia Ukraine walifuta GPS eee !!
Russia accidentally bombs own city near Ukraine
At least three people were injured as a jet fired a weapon into the city of Belgorod, according to Russian state media.
Katib wa NATO na Zele tangu op ianze walishafanya vikao zaid ya miaNATO and President Volodymyr Zelensky signaled Ukraine’s readiness to launch an anticipated counteroffensive in the near future as the Ramstein conference kicked off on April 21.
NATO Secretary General Jens Stoltenberg, who visited Zelensky in Kyiv a day prior to the 11th meeting of the Ukraine Defense Contact Group at the Ramstein Air Base, said he is “confident” that Kyiv is ready to liberate more territories – without disclosing where or when.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Km unayashangaa ya Urusi utastaajabu km ungeyajua ya ufaransaTuambie, warusi chini ya utawala wa dikiteta Putin wanaweza kuamka na kupinga hadharani udhalimu wa yule dikiteta??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu nasikia pale Bakhmut kazi ishaisha, kituo kinachofuata ni Odessa siyo !! 😀 😀 😀Katib wa NATO na Zele tangu op ianze walishafanya vikao zaid ya mia
Matokeo yake silaha zinazopelekwa hazina ubora na miji inazid kuchukuliwa
Kimsingj vikao vyao havina tija kwa Ukraine labda kwa maslah yao binafs
Km ni tendo limeshafanyikaMkuu nasikia pale Bakhmut kazi ishaisha, kituo kinachofuata ni Odessa siyo !! 😀 😀 😀