MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Hello kwa Wapenda Amani na Haki Dunian
Mungu Yumwema bado Anatupa Uhai na Kuendelea Kuwa Mashuhuda wa Mrusi kuikomboa Dunia toka kwa mafedhuli!
Ukrein mpaka Sasa Wamesha Jaribu Ile counterattack Kama mara 3 hivi lakini Kila Wakijaribu Inakula kwao yaani Mrusi kajipanga Kikamilifu Anawasubiria Wakianza Tu Anakula Vichwa
Juzi walijaribu counterattack Huko Novobahmutovka
Kilicho wakuta Ndio hiki