Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona sehemu za ku invest zipo nyingi tu:

Hong Kong
Japan
Taiwan
Russia
Indonesia
Malaysia
Dubai

Etc.

Duh
Sifa kubwa ya T-Bill ambayo ni hati fungani inayo tolewa serikali ya USA ni kuwa ukinunua lzm ulipwe sababu uchumi wa USA ni mkubwa sana kuwa defaulty.

Uchumi wenye GDP 26 trilion kwa mwaka na makao makuu ya makampuni karibu yote makubwa hauwezi kuporomoka!

China na Saudia na Moscow mabilione wake excess capital zao watanunua T-BOND za USA sababu wana uhakika wa usalama wa pesa yao.

Hata sijui kuanza kutumia currencies zao ni porojo za mitandaoni tu,wote watanunua T-bill kwa US dollar.

Tujadili uchumi wa nchi hizi,nipo tayari
 
Wiki hii ni ya furaha sana baada ya manazi kufukuzwa kwenye ardhi ya Bakhmut.

Manazi hayatakiwi kabisa kuwepo Ukraine.tutayapiga manazi mpaka yajisalimishe yenyewe.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]










 
The Russian Federation failed to physically eliminate President of #Ukraine Volodymyr Zelensky so now the aggressor state will try to eliminate him politically.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo tulisema toka mwanzo hatumgusi hata aje Moscow bila mwaliko haguswi huyo.
 
Tutayafata manazi popote yalipo kwenye ardhi ya Ukraine.manazi hayatakiwi kuwepo Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230408_080912_237.jpg
 
Dunia inahitaji mataifa patanishi kama China na Urusi nasiyo mataifa chonganishi kama USA na vibaraka wake.

Hongera sana Saudi Arabia kwa kuamua kujitenga na yule muovu, mwenyezi Mungu awe nanyi katika maisha yenu mapya ya amani.
Na hili liemekuwa pigo kubwa sana kwa US. F.R Kennedy Junior kawachana ukweli
IMG-20230408-WA0004.jpg
yaani mpaka hii vita inaisha na US atakuwa hoi
 
"Russia doesn't work for a calendar, but for a result"

Wale LGBTQ mliokuwa mnataka Russia aimalize hii SMO ndani ya muda mchache, mkae kwa kutulia.View attachment 2579904
Nilishawaambia wale supporter wa machoko Ukraine na NATO kuwa Russia anapigana kushinda. Haijalishi itachukua karne ngapi ila Malengo lazima yafikiwe. Taratibu mtaanza kumuelewa anachokifanya.
 
Back
Top Bottom