Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro-NATO tunapowaeleza Russia anazichapa na Marekani + NATO + Ukraine muwe mnaelewa...

Mungu ibariki Russia, Mungu wabariki Wagner (kampuni ya machalii walinzi tu) kwa kuyadhibiti na kuyaadhibu vilivyo majeshi ya mabeberu huko Ukraine

Screenshot_20230407-062820_Chrome.jpg
 
China, Malaysia Plan To Establish Asian Monetary Fund

China and Malaysia are about to start talks on establishing an Asian Monetary Fund as the countries look to reduce reliance on the US dollar in bilateral trade.

There have been previous discussions on the establishment of the Fund, which struggled to take off due to the strength of the US dollar. But as de-dollarization gains momentum, many countries are dumping the greenback in their trade settlements.

Subscribe to RT
 
Moscow likely fired Russian general over poor performance in eastern fighting​

Moscow fired a Russian colonel-general, following his poor performance in the fighting taking place in eastern Ukraine, the U.K. Ministry of Defence wrote in its daily intelligence update. Reports of the dismissal have surfaced in Russian media and social media.

"The Russian MoD has highly likely dismissed Colonel-General Rustam Muradov as commander of the Eastern Group of Forces (EGF) in Ukraine. The EGF under Muradov has suffered exceptionally heavy casualties in recent months as its poorly conceived assaults repeatedly failed to capture the Donetsk Oblast town of Vuhledar," the U.K. ministry wrote on Twitter.

The operations "attracted intense public criticism from across the spectrum of Russian commentators — including Muradov's own troops," the posts said, adding that he is the "most senior military dismissal of 2023 so far."
 
Majibu ni haya, US anatumia mabavu na vitisho kwa kila anachokitaka kwakua anaamini katika usemi "mwenye nguvu, mpishe apite" ndio maana anagharamia jeshi lake kubwa duniani hata kwa kupora nchi zingine atahakiki anajihudumia kwa kila amana iliyopo duniani, anaamin hakuna taifa kubwa duniani lililowahi kudumu, hivyo ndio maana haogopi kutumia chances zote anazopata kula bata, ila hata bahati mbaya akija kudondoka angalau ameweka heshima.

Uchina ni taifa linalotafuta upenyo alionao US, anaamin akikaa vizuri bila mgogoro na wenzie atamvua US nguvu aliyo nayo na kuichukua yeye, hivyo hataki mirija yake ikatwe kabla hajafikia malengo ya kuishika power aliyo nayo US,na hyo power imelala ulaya, ndio maana anakwepa mitego yote ya US, sakata la Huawei akasema sawa akanyamaza, sakata la Yuan-devaluation US alimchachamalia akasema sawa kaka haina shida, Puto akasema samehe kaka ile ni bahat mbaya, Sakata la Pelosi akakunja mkia kama mbwa mwoga kumbe ni chatu mwindaji, leo hii Westen wanamiminika pale Uchina..wanafuata nini? Wanaenda kumchimba mkwara, unaungana nasisi au tukukatie biashara zako west, huo ni mkwara kwakua hata uchina amezikopesha sana nchi za west kwenye kandarasi nyingi kafanya kwa mikopo nusu na nusu kawezeshwa..ana mikataba mingi sana na west, viwanda karibia nusu vya west vimewekezwa uchina kwa cheap labor wa kichina..hivyo wachina wakajibebea maarifa mengi ya west kiubweete..hivyo hii mikwara wanayomkimbilia mchina mbiombio ni kamari wanacheza la mikwara.
Urusi hana time na pesa ipi au pesa ya nani itamsaidia ktk international trade kwakua anajitosheleza huduma muhimu, chakula ajira technolojia na energy..hivyo yeye Urusi hana haja na kuishika dunia kwakua alishawahi kuwa hapo kwa umoja wa USSR akasambaratishwa na US...taifa ambalo lina uchu ni mataifa matatu..US, UK na China..UK anamtumia US kuupata msuli wa kupigia makabali yake anayoyataka, US anaitumia Ulaya kama justification(mhuri) ya anachokitaka iwe kinguvu au kivyovyote, Uchina anatumia ushawishi na diversification ya man power yake kufikia malengo..hvyo china hawezi ikataa Dollar wala Urusi hawez chagua ni fedha ipi atumie..yeye anachotaka ni transactions zake ziende sawa basi..
Okey mkuu
 
Ndo maana mi nasemaga China hawezi ingia frontline amtetee Russia, China anajua jinsi alivyotumia nguvu kufika hapo hawezi kubali kurudi kwenye umaskini kisa Russia,China yupo neutral
 
Iran and Saudi Arabia sign joint statement in China, agreeing to resume flights, facilitating visas for citizens
Naona Sasa Saudia Anaupiga mwingi Kutoka mikononi mwa Jibwa Koko lili Mpa Chuki Za Kila Aina kwa Jirani Zake
Sasa Wametiliana Sain Na Iran huko China
Usafiri Wa Anga Baina yao Pia Urahisi wa Visa kwa Raia Wakila Upande
huu ndio Mwanzo Mzuri
Dunia inahitaji mataifa patanishi kama China na Urusi nasiyo mataifa chonganishi kama USA na vibaraka wake.

Hongera sana Saudi Arabia kwa kuamua kujitenga na yule muovu, mwenyezi Mungu awe nanyi katika maisha yenu mapya ya amani.
 
Back
Top Bottom