jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
"Russian air defenses intercept 11 US-made HIMARS rockets in Ukraine operation - Russian Politics & Diplomacy - TASS" https://tass.com/politics/1600819
Dunia inahitaji mataifa patanishi kama China na Urusi nasiyo mataifa chonganishi kama USA na vibaraka wake.
Hongera sana Saudi Arabia kwa kuamua kujitenga na yule muovu, mwenyezi Mungu awe nanyi katika maisha yenu mapya ya amani.
USA hawana dini. USA ni joka na shetani mwekundi. Ana kiu ya damu.Excess capital ya Saudia watai bank wapi?
Moscow au Riyadh au Beijing?
Jamani tuache ushabiki kwenye haya kwa sababu tu ya imani za kidini kama ‘USA anachukia uislam’ jambo ambalo sio kweli.
USA anaupenda sana uislam na ushahidi upo.
Mkuu hapa tunajadili mambo ya geopolitics, millitary operations and war nasiyo mambo ya dini kama unavyodhani wewe na ndo maana unaona katika bandiko langu sijataja dini, dhehebu, nabii wala mtume yeyote bali nimetaja mataifa kadhaa na neno "MUNGU"Excess capital ya Saudia watai bank wapi?
Moscow au Riyadh au Beijing?
Jamani tuache ushabiki kwenye haya kwa sababu tu ya imani za kidini kama ‘USA anachukia uislam’ jambo ambalo sio kweli.
USA anaupenda sana uislam na ushahidi upo.
Kaulize mara tatu tofauti Waarabu walivyoungana kupigana na Israel. Hao ndio wapinzani wa maana, achana na makundi haya.Uwezo wa silaha za Israel mbele ya mpinzani gani wa maana hamas au?
Mkuu hapa tunajadili mambo ya geopolitics, millitary operations and war nasiyo mambo ya dini kama unavyodhani wewe na ndo maana unaona katika bandiko langu sijataja dini, dhehebu, nabii wala mtume yeyote bali nimetaja mataifa kadhaa na neno "MUNGU"
Kama unataka kujadili udini mtafute huyu mkenya MK254 atakufaa zaidi.
Mwaka 1972 si ndo alipigwa mpaka akaitema sinai?Kaulize mara tatu tofauti Waarabu walivyoungana kupigana na Israel. Hao ndio wapinzani wa maana, achana na makundi haya.
1. 1948
2. 1967
3. 1972
Afraca Adui Wetu mkuu ni Mwafrica kama hiki kichwa hapaExcess capital ya Saudia watai bank wapi?
Moscow au Riyadh au Beijing?
Jamani tuache ushabiki kwenye haya kwa sababu tu ya imani za kidini kama ‘USA anachukia uislam’ jambo ambalo sio kweli.
USA anaupenda sana uislam na ushahidi upo.
Sinai aliiteka 1967 kwa muda baada ya Egypt kuanzisha vita. 1972 Egypt ikarudisha Sinai yake ambayo wala Israel haikujenga na haikuwa na mpango nayo. Hata sasa wanaweza fanya patrol kwa pamoja maana kuna magaidi humo wanaisumbua Misri.Mwaka 1972 si ndo alipigwa mpaka akaitema sinai?
Tz si tuliishinda uganda mwaka 1979 haya sasa hivi wajaribuni kuiparamia uganda uone kitakacho wakuta kama hamjapoteana hapa.
Au hata hiyo Israel ijaribu kuiparamia Misri ya sasa ikione cha mtema kuni.