Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa wanakimbilia China kuomba Xi aongee na Putin yaishe.

"I had a telephone conversation with President Zelensky before my visit to China. Ukraine will be an important topic of my meetings with President Xi and Premier Lee". States #UrsulavonderLeyen"
 
Kwa hiyo NATO akishambuliwa kutokea Tanzania (hata kama sio Tanzania imehusika) basi ni halali kwa NATO kuivamia Tanzania!?
Mkuu usipinde habari. Mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka maeneo ya Afghanistan. Serikali ya Afghanistan ilikataa kuwakamata washambuliaji au kuwakabidhi kwa hao walioshambuliwa.
Naona namna jinsi NATO ilivyojibu haikuwa sawa lakini si ajabu. Katika sheria ya kimataifa tendo lilikubaliwa, ingawa hawakutumia busara.
Pia walijibu jinai kwa matendo yaliyoleta maumivu na vifo kwa watu wengi wasiohusika.

Mfano wako wa Tanzania ni ajabu. Tuwaze kundi linasababisha vifo vya watu elfu nyingi katika nchi fulani, ilhai linaandaa na kupanga shughuli hizo pale Shinyanga. Je serikali ya Tanzania itafanya nini kama jambo linajulikana? Itawakamata? Au itawatetea? Ikiwatetea si ajabu kama nchi iliyoshambuliwa itaingia kijeshi Tanzania . . . Utamlaumu nani??
 
Mkuu pole wewe kwa "uchovu wa propaganda"
Kwanza nikushtue tuu kwamba watu sio wajinga tena kama mnavyofikiri, unawapingia NATO kitu wanachokisema wenyewe, wew nia yako hasa ni nini? Angalia sifa ya hako kadude Kinzhal kwanza...

#Kinzhal rapidly accelerates to Mach 4 (4,900 km/h), and may reach speeds of up to Mach 10 (12,350 km/hr)#
Yaani kanaweza kutokea Urusi kakaingia USA na kurudi tena Urusi ndani ya 1hr..lisaa limoja, yaan kakipgwa kutokea pale Moscow kanafika New york kwa nusu saa..dk 30 tuu..

About kinzhal missile struck ukrainian comand center bunker
-------------------------------------
#On March 19, 2022, the Russian Ministry of Defense claimed it had fired a Kinzhal missile at a munitions depot around the town of Deliatyn in southwestern Ukraine#

Sasa kama wewe unapenda story nzurnzur tuu za NATO hawawez kukusimulia hizi za kutisha...

#Russia likely developed the unique missile to more easily target critical European infrastructure (e.g. airfields, warehouses, command centers, etc.) and to counter U.S. theater missile defenses such as THAAD#

Ndio maana hawatak kujipendekeza km kule Iraq na Libya...

#The United States was able to track the missile “in real-time” during its flight, according to CNN citing U.S. government officials#

Unaelewa maana ya real time? Yaani walikaona LIVE..kwenye radar zao pale ukrain...walikaona kaleee kanatumwa ndani ya sekunde kameshazama kwenye matundu yao ya kujificha...sasa watakaonaje in real time km sio comand center ilikua pale palipopigwa(ukrain) maana kadude kanakimbia sio poa..kilometa 4 kwa sekunde moja..yaani kanatoka mombasa hadi kakamega kwa dakika tatu na nusu, 3½minutes

"it's almost impossible to stop it. There's a reason they're using it..." Joe Biden

#wasemaji wa NATO wanakwambia hivi#
"US official said the Pentagon had not been able to confirm that the launch took place"
Wakati tayari wao ndio wakwanza kukatrack kadude kinzhal "in real time" ikimaanisha hao "United state" waliokiona live hawakua US, bali kwenye comand center Ukrain

Sasa mkuu usipende kufichaficha maana wenzio wameficha sanaaa...wanasemaje..?....false, misleading, and unevidenced claims as well as outright propaganda, often targeting nato and seeking undermining Western support to Ukrain have become a hallmark feature of this conflict, as reported widely by western media and others.....
Ila ukiskia makelele tuu jua vimeumana huko ground..

Ni mtu mwenye akili "dhaifu" tuu ataamin eti warusi wanakufa ila waukrain wanawaua warusi...yaani nipo kwako nakupiga..unajibu, naendelea kukupga alafu useme mimi ndio nakufa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unajaribu kujibu mchango wangu kwa kujadili jambo tofauti??
Niliandika "Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???"
maana naona tukio hilo halikuwepo. Habari ingeweza kuthibitishwa kwa
a) kuleta majina ya majanerali wanaodaiwa kuwepo huko
au b) angalau kuimarishwa kwa kuleta taarifa rasmi ya jeshi la Urusi.

Sasa unajaribu kujibu kwa mahubiri marefu kuhusu roketi ile (ambako naona hujapeleleza mtupo wa kombora). Ukijaribu kutetea roketi ililengwa kwa kituo cha kamandi unaleta taarifa eti Warusi walishambulia stoo ya grenedi!!

Hujaleta chochote kinachoonyesha shambulio dhidi ya kamandi ya NATO katika Ukraine lilitokea wala chochote kwamba kituo cha kamandi kilikuwepo.

(na umeepukana kugusa sehemu nyingine za stori kuhusu mahali pake Lviv ambako "Warusi walikuta maiti 40" ilahali hakuna askari wa Kirusi aliyefika Lviv!!)
 
Mkuu usipinde habari. Mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka maeneo ya Afghanistan. Serikali ya Afghanistan ilikataa kuwakamata washambuliaji au kuwakabidhi kwa hao walioshambuliwa.
Naona namna jinsi NATO ilivyojibu haikuwa sawa lakini si ajabu. Katika sheria ya kimataifa tendo lilikubaliwa, ingawa hawakutumia busara.
Pia walijibu jinai kwa matendo yaliyoleta maumivu na vifo kwa watu wengi wasiohusika.

Mfano wako wa Tanzania ni ajabu. Tuwaze kundi linasababisha vifo vya watu elfu nyingi katika nchi fulani, ilhai inaandaa na kupanga shughuli hizo pale Shinyanga. Je serikali ya Tanzania itafanya nini kama jambo linajulikana? Itawakamata? Au itawatetea? Ikiwatetea si ajabu kama nchi iliyoshambuliwa itaingia kijeshi Tanzania . . . Utamlaumu nani??
Mkuu wacha kuwapaka mafuta hao westerns.. Countries kwa mgongo wa chupa ukifanya hivo unakuwa unatetea unafki na uovu wanao ufanya kwenye nchi za watu hususani nchi dhaifu kama kina iraq...libya wakati wa utawala obama afaghanistan ....syiria
Nato imefanya maovu na vurugu nyingi chini ya jua ....ingekuwa marekna kavamia hapo ukraine mngekuwa mnaisifia marekna na mngemtetea ila kwa sababu ni the great Russia basi imekuwa taabu ....em kuweni wakweli bwana...
 
Sasa wanakimbilia China kuomba Xi aongee na Putin yaishe.

"I had a telephone conversation with President Zelensky before my visit to China. Ukraine will be an important topic of my meetings with President Xi and Premier Lee". States #UrsulavonderLeyen"

Hata mimi nashangaa sana kwa nini sasa hivi wanakimbilia China.
Si waendelee kuleta silaha zao...
 
"Emmanuel Macron arrived in China for a three-day visit. No welcome. The Chinese President was absent. Not a single official to welcome him. Macron could shake hands only with the the guy who opened the door of the airplane. What a humiliation"…
AIBU KWERI KWERI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iran and Saudi Arabia sign joint statement in China, agreeing to resume flights, facilitating visas for citizens
Naona Sasa Saudia Anaupiga mwingi Kutoka mikononi mwa Jibwa Koko lili Mpa Chuki Za Kila Aina kwa Jirani Zake
Sasa Wametiliana Sain Na Iran huko China
Usafiri Wa Anga Baina yao Pia Urahisi wa Visa kwa Raia Wakila Upande
huu ndio Mwanzo Mzuri
 
Ukisikia Kichapo Ndio hiki
Kifaru cha Ukrein
T-72 Kimepokea Kipigo mpaka Kikasimama Kuomba Poo
Yaani Kifaru kimesimama kama Miguu ya Kizee Biden!!
IMG_20230406_121107.jpg
 
Mkuu wacha kuwapaka mafuta hao westerns.. Countries kwa mgongo wa chupa ukifanya hivo unakuwa unatetea unafki na uovu wanao ufanya kwenye nchi za watu hususani nchi dhaifu kama kina iraq...libya wakati wa utawala obama afaghanistan ....syiria
Nato imefanya maovu na vurugu nyingi chini ya jua ....ingekuwa marekna kavamia hapo ukraine mngekuwa mnaisifia marekna na mngemtetea ila kwa sababu ni the great Russia basi imekuwa taabu ....em kuweni wakweli bwana...
Mkuu sina sababu ya kumsifu yeyote asiyestahili sifa!
Naelewa tatizo la Marekani wana mfumo ambako muda wote mkuu anahofia uchaguzi unakuja kila baada ya miaka miwili-miwili - na pamoja na ujinga mkubwa (maana ni nchi mojawapo ambako utaalamu mkuu uko sambamba na ujinga mkubwa) katika nchi hiyo kuhusu dunia nje ya mipaka yake mara nyingi atafanya maazimio mabaya.
Maazimio mengine hadi jinai kabisa kama shambulizi ya pili Irak.
(ila - mbali na ushabiki- je tuko pamoja kukubali vita ya kwanza ya kutetea Kuwait??)

Sioni sababu yoyote kuvumilia propaganda ya kijinga kama ile ya handaki ya majenerali ya NATO iliyosemekana kutokea eneo la Lviv mita 130 chini ya ardhi.
Nimesikia mahubiri mengi hapa lakini sijamsikia hata MMOJA aliyejaribu kueleza yale yanaoonekana wazi kabisa: hakuna Mrusi Lviv (wala Kyiv) aliyeweza kutambua maiti 40, je majenerali wa NATO wafanye nini Lviv (kilomita 20 kutoka mpaka wa Poland eneo la NATO!!!), hao majenerali ni akina nani??? , kwanini jeshi la Urusi halikuwa na tangazo lolote???
 
Iran and Saudi Arabia sign joint statement in China, agreeing to resume flights, facilitating visas for citizens
Naona Sasa Saudia Anaupiga mwingi Kutoka mikononi mwa Jibwa Koko lili Mpa Chuki Za Kila Aina kwa Jirani Zake
Sasa Wametiliana Sain Na Iran huko China
Usafiri Wa Anga Baina yao Pia Urahisi wa Visa kwa Raia Wakila Upande
huu ndio Mwanzo Mzuri

Yaani USA wanaumia sana kwa nchi kuwa na mahusiano mazuri.
Yaani wana mambo ya kichawi sana.
 
Back
Top Bottom