Hatimae kupitia hii SMO, Saudi Arabia [emoji1210] imekuwa nchi huru.Baada ya Miaka 10 Sasa Meli Vita Za Kirusi Zatia Nanga Saudia
Naona Saudia Kaanza Kujielewa Kutoka Kufumbazwa na Lile Taifa lahovyo
View attachment 2577564
China ana akiba kubwa ya pesa za kigeni, maana yake hiyo pesa imewekwa Kwa thamani ya dollar ili iwe rahisi kueleweka, lakini katika hiyo akiba ya pesa za kigeni kuna ruble, dollar, pound, yen, franc n.kKaribu sana.
China's foreign exchange reserves dropped to USD 3.133 trillion at the end of February 2023, down from the previous month's 10-month high of USD 3.184 trillion
Ifuatayo kutoka Foreign-exchange_reserves_of_China (vyanzo uone ukifungua tanbihi)China Foreign Exchange Reserves
Foreign Exchange Reserves in China decreased to 3416000 USD Million in June from 3442000 USD Million in May of 2026. This page provides - China Foreign Exchange Reserves - actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar and news.tradingeconomics.com
In July 2020, China's reserves totaled US$3,150 billion, which is the highest foreign exchange reserves of any country,[10] apparently more than twice the size of next country.[11] In December 2022, the reserves stood at US$3,120 billion.[1]
The exact composition of China's foreign exchange reserves is classified information.[5][12] In July 2019, China's State Administration of Foreign Exchange announced that at the end of 2014, US dollar assets accounted for 58% of China's total reserves, down from 79% in 2005; adding that its share of US currency assets was lower than the global average of 65% in 2014.[13] Analysts believe the remaining foreign exchange assets are held mostly in Euros, Japanese Yen, and British pounds.[12]
Maana yake: China ina akiba kubwa zaidi ya pesa za kigeni duiani, na mwaka 2019 zaidi ya nusu ilikuwa USD. Hata kama wamepunguza asilimia ya USD zaidi, bado itakuwa takriban nusu.
Kuna kipindi mmarekani alijiona kama mungu mtu, Hali ilivyo sasa haamini macho yakeMacron, Ursula wanakwenda China baada ya Biden kutopokelewa simu zake.
Xi- “ changes are coming after 100 yrs” huyu US anayepeleka silaha Taiwan unafikir China atamsikiliza au kumwelewa??. US ambaye anataka China amtenge Russia ili agenda zake zitimie unafikiri China yuko tayari??. Mbaya zaidi Xi kwenda Russia kiliwaumiza sana.
Siasa chafu za US walizopanda kwa muda mrefu ndo matokeo tunayoyaona sasa, wanavuna walichopanda. Walifikiri dunia ni yao hii, acha tuone nani mshindi.
OkSasa kwenye Russia Oil and Gas:
Swift haitumiki.
Western Oil and Gas Tankers hazitumiki
Western banks and insurance hazitumiki
Contracts zipo kwenye NDA agreements.
Hao westerns wanawezaje kufahamu current status za Revenues...?
Jinsi wanavyojiunga jamaa ndio atatengeneza siraha za kuwamuduRussia is too weak,wameisha mchungulia.
FINLAND is newest NATO ally.
Vitisho vya Russia kama mkijiunga tutawashughulikia vimepuuzwa
What next?Sweden
do you mean NATO went to Libya, Afghanistan, Iraq, Vietnam, Yugoslavia ...to promote peace, security, democratic values that you illustrate in your text?NATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.
No any NATO member has seen a military conflict with another member. Meanwhile, former Soviet block members have seen various wars and invasions.
Mkuu nimeleta juu chanzo kinachoonyesha USD ilikuwa asilimia 58 za Forex ya China mnamo 2019, labda imepungua kidogo. Pesa nyingine inayowekwa akiba ni Euro, halafu kwa kiasai kidogo Pauni na Yen. Ruble sijawahi kusikia. Franc haiko tena.China ana akiba kubwa ya pesa za kigeni, maana yake hiyo pesa imewekwa Kwa thamani ya dollar ili iwe rahisi kueleweka, lakini katika hiyo akiba ya pesa za kigeni kuna ruble, dollar, pound, yen, franc n.k
Nato haikuenda Vietnam.do you mean NATO went to Libya, Afghanistan, Iraq, Vietnam, Yugoslavia ...to promote peace, security, democratic values that you illustrate in your text?
Ikikufariji kuiona hivyo, ubarikiwe!Huyo Kanali wa Russia ni FSB, kwa hiyo usimuamini sana... ni kama yule kiongozi wa Wagner PMC - Prigozin uwaga anasemaga kwamba wameishiwa silaha.
WaUkraine wakija wanapoke kichapo heavily huku miji ikizidi kukombolewa.
Ni mbinu tu za kivita.
Kajificha Facebook anatafuta habari yoyote nzuri upande wa Ukraine ili aiposti.😆😆Wapi Kipanya 44
Hongera, manowari hizo ziko salama Saudia kuliko bahari karibu na Odessa!Baada ya Miaka 10 Sasa Meli Vita Za Kirusi Zatia Nanga Saudia
Naona Saudia Kaanza Kujielewa Kutoka Kufumbazwa na Lile Taifa lahovyo
View attachment 2577564
Labda wakisoma magazeti ya Kirusi?Sasa kwenye Russia Oil and Gas: Swift haitumiki. Western Oil and Gas Tankers hazitumiki Western banks and insurance hazitumiki Contracts zipo kwenye NDA agreements.
Hao westerns wanawezaje kufahamu current status za Revenues...?
Prigo ni fala sana,Prigozin uwaga anasemaga kwamba wameishiwa silaha.