Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ngoja nikueleweshe kwenye ili.

3. Nchi zinalazimika ku invests kwenye USD assets ili ziweze ku trade pindi zinapofanya international trades. Otherwise, hakuna haja ya ku hold USD denominated investments
Mkuu hii ni kweli kabisa. Kama umeshaelewa hiyo, je umejiuliza pia kwa nini hadi leo watu wengi wanapendelea kufanya biashara na mikataba kwa US$?
Labda kwa sababu katika miaka hii yote sarafu hiyo ilikuwa thabiti zaidi?
Imeanza kushuka na itaendelea polepole kushuka lakini hadi sasa watu huiona kama sarafu imara zaidi.
 
Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱
1680682036076.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Romanian government will provide #Ukraine with more than $800,000 to strengthen its defense through the #NATO Defence and Related Security Capacity Building Initiative.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#Ukraine and #Germany signed a statement on the expansion of energy partnership for the "green" recovery and reconstruction of the Ukrainian #energy industry.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tunazidi kuwachinja tu🥱🥱🥱

.
Sniper teams of the Special Operations Forces of the Armed Forces of #Ukraine near #Bakhmut eliminate the enemy who tries to advance and assault Ukrainian positions at night.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#standwithUkraine
The U.S. Department of Defense has published a photo of military aid included in a new security assistance package for #Ukraine announced on April 4.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]

The Armed Forces of #Ukraine eliminated about 176,240 Russian troops in Ukraine from February 24, 2022 to April 5, 2023, including 550 invaders over the past day alone.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.

No any NATO member has seen a military conflict with another member. Meanwhile, former Soviet block members have seen various wars and invasions.
Wamepromoti demokras gani Libya, iraq Afghanistan nk nk?? Kama sio kuwaacha kwenye matatizo zaidi
 
Weka statistics Acha kuropoka
Umri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)
Umoja wa Ulaya: wastani miaka 81
Marekani: miaka 77 wastani kitaifa (hapa lazima kuzingatia idadi kubwa ya maskini na ubaguzi wa rangi! - watu weusi wana wastani kama Warusi)

Viwanda vya Urusi vilitoa magari 450,000 kwenye mwaka 2022, vilitoa milioni 1.2 kwenye mwaka 2021.
Kuhusu hali ya maendeleo nchini: Jielimishe kwa mfano kuhusu Inguchetia na Tuva. Zote maeneo maskini sana (na hali halisi maeneo yasiyo ya Warusi, ni koloni zilizovamiwa na urusi kwenye karne ya 19 na 20). Warusi wanawekeza katika mji kama Moscow na Peterburg - huko kwenye maeneo ya mbali wanapuuza hali ya watu.
1680683318353.png

1680683413185.png

Lorino, Siberia, Urusi (sawa picha za majengo yalioharibika unaweza kupata hata kuhusu miji ya Marekani, ila hali ya vijiji ambako watu wanaishi ni jambo tofauti...)
 
Mkuu samahani hujui habari za handaki hiyo. Maana hakuna handaki ya majenerali wa NATO iliyopigwa. Unaamini stori tu.
Wewe tatizo lako ni nini hasa!! Kufa kwa Majenerali hasa wa Merikani maana naona hao ndio unawajali zaidi kuliko majenerali wa kutoka UK,Ukraine na Poland, au unasikitishwa sana na a very high kinetic war head ya Kinzhal missile in destroying fortified underground bunker na ku-vapourise a cream ya majenerila kutoka NATO nations walio kuwa wanasimamia na kutoa ushauri kwa Zelensky na jeshi lake kwa kuwapatia intel info za movement za jeshi la Urusi zinazo naswa na kuchukuliwa picha na satellite za Kimerikani, baadae jeshi la Ukraine linapewa cordinates ili walenga shabaha za kushamubulia mizinga na wanajeshi wa Urusi

Narudia kusema kwa mara nyingine tena kwamba unaonekana suala zima umelivalia njuga kweli kweli - unafikiri it can't be real, it cant be!!, after all unafikiri majenerali hasa hasa wa Kimerikani ni unexpendable hata kama wametumwa na wakubwa zao kusimamia a very risky mission critical operations nchini Ukraine - vyombo vya kinteligensia vya Putin got a wind of what was going on kwenye kile Wamerika/NATO na Ukraine walifikiri ni impregnable bunker ndio maana Warusi wakaona hisiwe taabu na wao wakawajia na kitu kizito namely a very heavy war head travelling at MACH 10+ capable of destroying fortified targets like underground bunkers au kwenye tunnels zilizo chimbwa hata chini ya milima, nimejirudia hapa kwa lengo maalumu - nataka kuwakumbusheni kwamba Taifa la Urusi si la kubezwa hata kidogo wale wote wanao fikiri wanaweza kuizingira Urusi kwenye mipaka yake ma ku-spring up a surprise attack towars her wanajidanganya.
 
Mkuu sijali majenerali kwa jumla kama ni Poland MArekani Urusi.... Ila hadithi hiyo tumejadili tafadhali lete hoja badala ya mahubiri:
1) mantiki gani kuficha majenerali wa NATO Lviv kwenye handaki kama wangeweza kufanya kila kazi waziwazi kiomita 20 kutoka Lvin nchini Poland ???
2) mantiki gani ukiamini taarifa kuwa "Warusi wamekuta maiti 40 za WaNATO baada ya pigo" kama mahali pa tukio paliripotiwa ni Lviv (baadaye walihamisha kwenda Kyiv) - yote miji pasipo Warusi!!!
3.) Mantiki gani jeshi la Urusi lina mafanikio makubwa lakini hapa hakuna neno rasmi kutoka siasa au jeshi la Urusi???? Taarifa zote ni mablogu ya propaganda tu bila uthibitisho wa jeshi la kirusi??

Swali la uwezo wa Kizhal kufikia kina hili tuache sasa, 1-3 itoshe.

Karibu sana!
 
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,

Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????

Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,

Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda

Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Kama china akifikia uamuzi huo dollar itakuwa na wakati mgumu sana, Hii vita marekani akiendelea kushupaza shingo mbeleni huko kuna majanga.
 
Mkuu hii ni kweli kabisa. Kama umeshaelewa hiyo, je umejiuliza pia kwa nini hadi leo watu wengi wanapendelea kufanya biashara na mikataba kwa US$?
Labda kwa sababu katika miaka hii yote sarafu hiyo ilikuwa thabiti zaidi?
Imeanza kushuka na itaendelea polepole kushuka lakini hadi sasa watu huiona kama sarafu imara zaidi.

Dunia imekuwa na bado ipo kwenye mfumo ambao ulianzishwa na westerns na ukiongozwa na US.
Katika huo mfumo ndio hiyo USD imekuwa ni currency inayotumia. Swala ili halina mjadala.

Kinachofanyika sasa hivi ni kutaka kuondokana na huo mfumo na pia kuondokana na ulazima wa kutumia USD. Naomba nikupe mfano: Hapa Tanzania, most of our trades we are doing with Chinese, say more than 60%. Kama ndio hivyo, Je, kuna ulazima gani wa kutumia USD na hoa China wakati USA hayupo hapo kwenye transactions. Ndio maana sasa, nchi zinakubaliana kuanza kutumia Local currencies.

Ili ni zoezi endelevu na la muda mrefu na sio jambo la overnight. Litachukua muda sana kuja kukaa sawa.
Lakini pia kumbuka kwamba, wakati haya mambo yanaendelea, uchumi wa USA unazidi kuumia kwa USD yao kupungua kwenye mzunguko wa biashara baina nchi na nchi.
 
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,

Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????

Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,

Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda

Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Mkuu China haitaki USD ishuke haraka. Maana imejenga akiba kubwa ya USD (pesa, hisa, madeni ya serikali za US) na USD kama ingeporomoka ingekuwa hasara kubwa kwa China. Pia nguvu ya uchumi wa China inategemea hali ya sarafu yake. USD ikishuka, bidhaa za China zitakuwa ghali zaidi.
China inatunza akiba kubwa kabisa ya USD duniani (nje ya Marekani) inataka kutunza thamani yake.
Mabadiliko yote lazima yatokee polepole sana.
 
Naomba source ya hii habari yako
 
Wamepromoti demokras gani Libya, iraq Afghanistan nk nk?? Kama sio kuwaacha kwenye matatizo zaidi
Sisi tunazungumzia wanachama wa NATO, hiyo statement haijata mtu wa nje. Na kinyume cha NATO kuna kikoba cha watu masikini kilikuwa kinaitwa Soviet Union kilipigania North Korea, kikapigana Afghanistan kikashindwa na Mujahedeen, baadae maisha yakawa magumu kikavujika na sasa kikapigana chenyewe. Who is the boss between the two?
 
Naomba source ya hii habari yako
Karibu sana.
China's foreign exchange reserves dropped to USD 3.133 trillion at the end of February 2023, down from the previous month's 10-month high of USD 3.184 trillion
Ifuatayo kutoka Foreign-exchange_reserves_of_China (vyanzo uone ukifungua tanbihi)
In July 2020, China's reserves totaled US$3,150 billion, which is the highest foreign exchange reserves of any country,[10] apparently more than twice the size of next country.[11] In December 2022, the reserves stood at US$3,120 billion.[1]
The exact composition of China's foreign exchange reserves is classified information.[5][12] In July 2019, China's State Administration of Foreign Exchange announced that at the end of 2014, US dollar assets accounted for 58% of China's total reserves, down from 79% in 2005; adding that its share of US currency assets was lower than the global average of 65% in 2014.[13] Analysts believe the remaining foreign exchange assets are held mostly in Euros, Japanese Yen, and British pounds.[12]

Maana yake: China ina akiba kubwa zaidi ya pesa za kigeni duniani, na mwaka 2019 zaidi ya nusu ilikuwa USD. Hata kama wamepunguza asilimia ya USD zaidi, bado itakuwa takriban nusu.

​

Umedadavua vyema..,hata kutokuwepo migogoro miongoni mwa hayo mataifa ya NATO ni mafanikio tosha!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haya masupapawa uchwara tulishakubaliana yanatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yenyewe yanadhania NATO ipo kwa ajili ya kile kijiji cha kuchuuza gesi na mafuta wakati NATO yenyewe on its own inasaidia kuondoa migogoro. Wanachama wa NATO wengi ni nchi kubwa kiuchumi, hasa wale wa mwanzo.
Hao kabla ya NATO walishapigana WW1 ikaisha wakakaa miaka 21 wakapigana WW2, baadae wakaona wakae kwenye umoja wajadili mambo yao hadi sasa umoja una miaka zaidi ya 70 hawajawahi pigana hata mara moja.

Meanwhile kile kikoba cha maskini watumiaji nguvu bila akili kilichokuwa kinanuka umaskini mpaka ukata ukakiua kimeshapigana mara kibao na leo hii members wa NATO wanakisaidia kisiendelee kupigana. Lawama sijui za nini
230404142132-02-finland-nato-040423-super-169.jpeg
 
Umri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)
Umoja wa Ulaya: wastani miaka 81
Marekani: miaka 77 wastani kitaifa (hapa lazima kuzingatia idadi kubwa ya maskini na ubaguzi wa rangi! - watu weusi wana wastani kama Warusi)

Viwanda vya Urusi vilitoa magari 450,000 kwenye mwaka 2022, vilitoa milioni 1.2 kwenye mwaka 2021.
Kuhusu hali ya maendeleo nchini: Jielimishe kwa mfano kuhusu Inguchetia na Tuva. Zote maeneo maskini sana (na hali halisi maeneo yasiyo ya Warusi, ni koloni zilizovamiwa na urusi kwenye karne ya 19 na 20). Warusi wanawekeza katika mji kama Moscow na Peterburg - huko kwenye maeneo ya mbali wanapuuza hali ya watu.
View attachment 2577093
View attachment 2577097
Lorino, Siberia, Urusi (sawa picha za majengo yalioharibika unaweza kupata hata kuhusu miji ya Marekani, ila hali ya vijiji ambako watu wanaishi ni jambo tofauti...)
Nchini kwako Hali ikoje...na mchango wako ni upi?
 
Back
Top Bottom